Mmoja auawa,tisa wajeruhiwa Tarime
MTU mmoja ameuawa na wengine tisa wamejeruhiwa vibaya baada ya wafuasi wanaosadikiwa kuwa ni wa vyama vya Chadema na CCM kupambana katika kata ya Nyanungu, wilaya ya Tarime mkoani Mara.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi11 Sep
Mmoja afa, watano wajeruhiwa Tarime
11 years ago
GPLMMOJA AFARIKI DUNIA, WATANO WAJERUHIWA AJALINI TARIME LEO
11 years ago
Mwananchi15 May
Tisa wafariki dunia, 10 wajeruhiwa
9 years ago
StarTV15 Nov
Askari mmoja afariki, watatu wajeruhiwa
Askari mmoja wa Jeshi la Polisi mkoani Singida amekufa papo hapo na wengine watatu kujeruhiwa, baada ya gari ndogo ya jeshi hilo waliyokuwa wakisafiria kwenda doria kuacha njia na kupinduka.
Ajali hiyo imetokea jana Ijumaa majira ya saa tatu usiku wakati askari hao wa kituo kidogo cha Nduguti Wilaya ya Mkalama wakiwa njiani kwenda eneo la Iguguno barabara kuu ya Singida-Mwanza kufanya doria.
Akizungumza na waandishi wa habari Ofisini kwake, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida Kamishina...
10 years ago
Habarileo19 Sep
Jambazi raia wa Kenya auawa Tarime
WATU wawili akiwemo mkazi wa kitongoji cha Nchoke katika Kijiji cha Kubiterere, Kata ya Mwema wilayani hapa, Mwikwabe Kirutu (30) wameuawa katika mapambano baina ya wananchi na majambazi waliokuwa na bunduki mbili za kivita kijijini hapo.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
AJALI YAUA MMOJA TARIME
11 years ago
Mwananchi14 Jun
Bomu lalipuka Zanzibar,mmoja afa saba wajeruhiwa
9 years ago
StarTV21 Dec
Ajali ya basi igunga Mtu mmoja afariki, 38 wajeruhiwa
Mtu mmoja amefariki dunia na wengine 38 kujeruhiwa baada ya Basi la Allys Coach lenye namba za usajili T 560 AKM lililokuwa likitokea Igunga kuelekea Mwanza kuyumba na kuanguka katika kijiji cha Igogo kata ya Nanga wilayani Igunga Mkoani Tabora.
Ajali hiyo imetokea majira ya saa 12 na nusu asubuhi na chanzo chake kikidaiwa kuwa ni mwendo kasi wa dereva kutaka kulipita gari la mizigo.
Ajali hizi zimekuwa zikigharimu maisha ya watu na wengine kuwaachia ulemavu wa kudumu,sababu zikielezwa ni...
10 years ago
StarTV29 Dec
Mtu mmoja afariki, wengine 21 wajeruhiwa katika ajali Singida
Na Emmanuel Michael, Singida.
MTU mmoja amefariki dunia na wengine 21 kujeruhiwa baada ya basi dogo aina ya Kosta walilokuwa wakisafiria kutoka Shinyanga kwenye harusi kurejea nyumbani Morogogo kupinduka mkoani Singida.
Ni wakati wa mwingine ambapo mkoa wa Singida umejawa na simanzi na huzuni baada ya kushuhudia mtu mmoja aliyepoteza maisha na wengi 21 wakilazwa kwa matibabu kutokana na ajali ya barabarani.
Mkuu wa Wilaya ya Singida Queen Mlozi ni miongoni mwa viongozi wa kwanza...