Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wakimbizi wengi wafa maji pwani Libya

Mashua ya wakimbizi yazama katika pwani ya Libya na wakimbizi zaidi ya mia moja wahofiwa kuwa wamekufa

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Wahamiaji 40 wafa maji pwani ya Italy

Zaidi ya watu 40 wamekufa maji katika pwani ya Sicily nchini Itali

 

10 years ago

KwanzaJamii

ZAIDI YA WAHAMIAJI 200 WAFA MAJI WAKITOKEA LIBYA

Wahamiaji wengi kutoka Libya wameripotiwa kupoteza maisha yao baada ya mashua waliyokuwa wakisafiria kuzamaikielekea upande wa Italia. Kwa mujibu wa wanajeshi wa majini wa Libya, watu hao walikuwa wakijaribu kuvuka kuelekea Ulaya. Msemaji wa majeshi ya majini ya Libya, Ayub Qassem amethibitisha watu 36 wameokolewa baada ya mashua yao iliyokuwa imebeba watu 250 ilipozama karibu na eneo la Tajoura, mashariki mwa Tripoli. Hata hivyo, amefichua ya kwamba maiti nyingi bado zinaelea...

 

10 years ago

BBCSwahili

Wakimbizi saba wa Burundi wafa Kigoma

Wakimbizi saba wa Burundi wamepoteza maisha kutokana na ugonjwa wa kuhara, Kigoma magharibi mwa Tanzania

 

11 years ago

Habarileo

Watu saba wafa Njombe, Pwani

 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe, Fulgence NgonyaniWATU saba wamekufa katika mikoa ya Njombe na Pwani katika ajali za gari na mtoto kutumbukia kwenye ndoo.

 

10 years ago

Michuzi

WANNE WAFA AJALAINI MKOANI PWANI

Na John Gagarini,Globu ya Jamii KibahaWATU wanne wakiwemo watatu wa familia moja wamefariki dunia na mmoja kujeruhiwa baada ya gari walilokuwa wakisafiria kuacha njia na kupinduka.
Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo kamanda wa Polisi mkoani Pwani Ulrich Matei alisema kuwa watu hao walikuwa wakimpeleka mgonjwa hospitali.
Kamanda Matei alisema kuwa tukio hilo lilitokea Januari 5 mwaka huu majira ya saa 6:30 mchana huko eneo la Fukayosi Tarafa ya Msata wilaya ya Bagamoyo.
Alisema kuwa ajali hiyo...

 

11 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA MAJI MHE AMOS MAKALLA ATEMBELEA MIRADI YA MAJI MIKOA YA PWANI NA DAR ES SALAAM

 Naibu Waziri wa Maji, Mhe Amos Makalla ameanza ziara yake ya siku nne ya kukagua miradi ya maji katika mikoa ya Pwani na Dar es Salaam kwa kutembelea tenki la maji la Chuo Kikuu cha Ardhi na mradi wa maji Ruvu Juu.  “Serikali hailengi tu kuleta maji, ila pia kutatua tatizo la upotevu wa maji. Bali, tumejiandaaje kupokea maji ya kutosha kutokana na mradi mkubwa unaoendelea Ruvu Juu. Hivyo, hatuna budi kukarabati au kujenga kabisa upya matenki yote mabovu kabla ya kuanza kupata maji...

 

10 years ago

GPL

WANNE WAFA WAKIHOFIA KUTOKEA AJALI HUKO PWANI

WATU wanne wamefariki dunia na mmoja kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha basi la Abiria la Hajees likitokea Tanga kwenda Dar es Salaam na lori katika eneo la Mandera Mkoani Pwani leo asubuhi. Akithibitisha kutokea kwa ajali hiyo, Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani, SACP Ulrich Matei amesema kuwa abiria hao waliruka kutoka katika basi hilo kuhofia ajali ya kugongana na lori lililokuwa likitokea mbele ya basi hilo na ndipo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wajane wengi wafa kwa kukosa haki

BAADHI ya wanawake katika kata ya Magubike na Maguha, wilayani Kilosa, Morogoro, wamesema  wanawake wengi  wajane  hufariki mapema  kutokana na kukosa haki ya kumiliki mali ikiwemo ardhi wanapofiwa na waume...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Watanzania wengi wafa kwa mgonjwa yasiyoambukiza

MAKAMU wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal, amesema Watanzania wengi wanakufa kutokana na magonjwa yasiyoambukiza na mengine kwa kutokufanya mazoezi hivyo kuwa na uzito mkubwa. Dk. Bilal, alitoa kauli hiyo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani