Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAETHIOPIA 48 WAKAMATWA MKOANI PWANI

Na John Gagarini, Kibaha
JESHI la Polisi mkoani Pwani linawashikilia raia 48 wa nchi ya Ethiopia kwa tuhuma za kuingia nchini bila ya kibali.
Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake mjini Kibaha Kaimu kamanda wa Polisi mkoani humo, Mrakibu Mwandamizi wa Polisi (SSP) Athuman Mwambalaswa alisema kuwa watuhumiwa hao walitelekezwa vichakani.
Kamanda Mwambalaswa alisema kuwa tukio hilo lilitokea Agosti 21 mwaka huu majira ya saa 7 usiku katika Kijiji cha Visakazi Ubena Zomozi tarafa ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Waethiopia 11 wakamatwa Pwani

JESHI la Polisi mkoani Pwani linawashikilia watu 11 wanaodaiwa kuwa raia wa Ethiophia kwa kosa la kuingia nchini kinyume cha sharia. Waethiophia hao walikamatwa juzi, saa tisa usiku, katika kijiji...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Waethiopia 100 wakamatwa Pwani

JESHI la Polisi Mkoa wa Pwani linawashikilia raia 100 wa Ethiopia kwa kosa la kuingia nchini bila kibali katika matukio mawili tofauti. Wahamiaji hao haramu walikamatwa saa 10:00 asubuhi Februari...

 

10 years ago

BBCSwahili

Waethiopia 100 wakamatwa Kenya

Wahamiaji haramu 100 kutoka Ethiopia wamekamatwa mjini Nairobi

 

11 years ago

Mwananchi

Waethiopia 47 wadakwa Msitu wa Mwidu Pwani

Raia 47 wa Ethiopia wamekamatwa katika Msitu wa Mwidu ulioko eneo la Chalinze wilayani Bagamoyo Mkoa wa Pwani.

 

10 years ago

GPL

MSAKO: WAGANGA WA KIENYEJI 55 WAKAMATWA MKOANI MWANZA

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Valentino Mlowola (kushoto) akionyesha baadhi ya nyara walizokutwa nazo waganga hao.…

 

11 years ago

GPL

AJALI MKOANI PWANI

AJALI hii ilitokea jana jirani na eneo la Hospitali ya Zinga Bagamoyo mkoani Pwani ambayo iliyahusisha magari mawili madogo na pikipiki. (Picha na Global Whatsapp 0753 715 779)

 

10 years ago

Michuzi

WAHAMIAJI HARAMU 64 RAIA WA ETHIOPIA WAKAMATWA MKOANI DODOMA

Na. Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma.

Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma kwa kushirikiana na Wananchi limewakamata Wahamiaji haramu 64  raia wa nchi ya ETHIOPIA (Wahabeshi) katika Kijiji cha KIDOKA, Kata ya KIDOKA, Tarafa ya GOIMA, Wilaya ya na CHEMBA na Mkoa wa DODOMA, mmoja kati yao alikutwa akiwa amefariki dunia aliyetambuliwa kwa jina moja la TAJIRU anayekadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 25 – 30. Watu hao walikuwa wakisafirishwa kwa Lori lenye namba za usajili T.353 AYW Mitsubishi...

 

11 years ago

Michuzi

WAHAMIAJI HARAMU 46 WAKAMATWA NA JESHI LA POLISI MKOANI RINGA

Wahamiaji Haramu hao walikamatwa juzi katika kitongoji cha Gezaurole katika kata ya Ruaha Mbuyuni tarafa ya Mahenge wakati jeshi la polisi likiwa katika doria ya kawaida na kulitilia mashaka gari hilo lililokuwa limebeba matenga ya Nyanya.  Kiongozi wa Wahamiaji Haramu,akiwagawia wenzake mikate  ilionunuliwa na wanahabari waliokuwepo kwenye tukio hilo kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi mkoani humo.  Kiongozi wa Wahamiaji Haramu,akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na sakata lao...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani