Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ajali zakatisha maisha ya watu 3

WATU watatu wamekufa katika matukio matatu jijini Dar es Salaam, likiwemo la mtembea kwa miguu Mwalimu Yusuph (50) aliyekufa baada ya kugongwa na pikipiki.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

AJALI YA MIKUMI WATU 7 WALIPOTEZA MAISHA

 Ajali ya mabasi iliyotokea jana MikumiWatu saba wamefariki dunia na wengine zaidi ya 48 kujeruhiwa vibaya baada ya basi la Msanga Line walilokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na basi la Luwinzo katika eneo la hifadhi ya taifa ya Mikumi, wilaya Kilosa, Morogoro.

Ajali hiyo ilitokea jana saa 6:45 mchana, baada ya basi la Msanga Line linalosafiri Dar es Salaam kwenda Mahenge, wilayani Ulanga, Morogoro kugongana na basi la Luwinzo lililokuwa linatoka Njombe kwenda Dar...

 

11 years ago

Mwananchi

Watu saba wapoteza maisha katika ajali

Watu saba wamefariki dunia papo hapo katika ajali ya barabarani iliyotokea usiku wa kuamkia Januari 5 mwaka huu katika eneo la Mti mmoja, wilayani Monduli.

 

10 years ago

CloudsFM

HII NDIYO AJALI ILIYOPOTEZA MAISHA YA WATU TISA MBEYA

Watu tisa kati yao wanaume saba na wanawake wawili wamefariki dunia baada ya gari waliokuwa wakisafiria lenye namba za usajili t.203 ARZ aina ya Toyota Coaster lililokuwa likiendeshwa na dereva John Emanuel (36) mkazi wa Mlowo-Mbozi likiwa linatokea mjini Mbeya kwenda Tunduma wakati akijaribu kulipita gari lenye namba T.789 AZL/T.123 AXV aina ya Tata truck eneo ambalo kuna mlima na mbele yake kuna kona lilitokea gari T.903 CVF aina ya tata basi hivyo dereva wa coaster kulazimika kuingia...

 

11 years ago

Michuzi

AJALI YA MAGARI MAWILI NA PIKIPIKI YAPOTEZA MAISHA YA WATU WAWILI.

Gari aina ya Range Rover lenye likiwa limeharibika vibaya baada a kugongana uso kwa uso na gari dogo  Gari dogo aina ya Toyota Corolla lilikiwa limeharibika vibaya baada ya kugongana uso kwa uso na Range Rover katika makutano ya barabara ya Arusha/Moshi jirani kabisa na kipita shoto(Keep left) cha Arusha
Mifuko maalumu ya kuzuia abiria asiumie wakati wa ajali ikiwa imefumuka baada ya ajali .Pikipiki ikiwa chini ya gari aina ya Range Rover baada ya kugongwa.
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

 

10 years ago

GPL

AJALI IMETOKEA JIJINI MBEYA, ZAIDI YA WATU 20 WAMEDAIWA KUPOTEZA MAISHA

Baadhi ya wakazi wa jirani na eneola tukio wakitazama gari lilivyopata ajali kando kando ya mto Kiwira.

Wananchi wa Kiwira wakienda kuangalia ajali hiyo.

Wananchi wa Kiwira wakiangalia baadhi ya Miili ya Watu waliopoteza maisha kwenye ajali hiyo. Taarifa iliyoifikia Globu ya Jamii hivi punde toka Wilayani Rungwe,…

 

10 years ago

Michuzi

watu wili wadaiwa kupoteza maisha kufuatia ajali ya basi la Ruksa

Basi la Ruksa aina ya Scania lenye namba za usajili  T 273 ACX llililokuwa likitokea mkoani Kigoma kwenda wilayani Kahama mkoani Shinyang'a likiwa limepata ajali katika kijiji cha Kanyonza wilayani Kakonko,mkoani Kigoma ambapo watu Wawili walipoteza maisha papo hapo na wengine 65 kujeruhiwa katika Ajali hiyo ya Septemba 08,2014,majira ya saa Sita mchanaPichani juu na chini ni Jeshi la polisi wilaya ya Kakonko lilifika eneo hilo na kuwachukuwa waliojeruhiwa  na kuwapeleka katika hospitali ya...

 

11 years ago

Michuzi

Watu watatu wapoteza maisha na wengine kujeruhiwa katika ajali ya magari mawili

Na Abdulaziz Lindi
Watu watatu wamefariki Dunia baada ya Magari mawili yenye tela kila moja kuacha njia na kupinduka na kufasabisha vifo vya watu hao na kujeruhi wengine wawili katika ajali iliyotokea Jana Huko Tarafa ya Rondo wilaya ya Lindi Mkoani Lindi.
Ajali hiyo Iliyohusisha gari aina ya HOWO lenye Usajili T270BZU na Tela na T260AZU Pamoja na Lori aina HOWO T871 BTH Tela T 626 BTT yote yaliacha njia
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Lindi kamishna msaidizi Renatha Mzinga amethibitsha...

 

11 years ago

Dewji Blog

Watu 2 wapoteza maisha kwenye ajali ya basi la Smart eneo la Lugoba leo asubuhi

unnamed

Basi la Smart likiwa limepinduka eneo la Lugoba.

unnamed (1)

Mmoja wa majeruhi wa ajali hiyo akiwa amepoteza fahamu baada ya kupata mshtuko.

unnamed (2)

Watu wawili Wamefariki Dunia Kutokana na Ajali ya Basi la Smart Asubuhi ya leo.

Basi Hilo Lililokuwa likitokea Jijini dar es salaam Kuelekea Mombasa Nchini Kenya Limeacha Njia Na Kupinduka na Kusababisha Vifo vya watu Wawili pamoja na Kujeruhi abiria wanaokadiriwa kufika 20 .Ajali hiyo imetokea katika Eneo la Mkata na Lugoba  Barabara Kuu ya Chalinze...

 

11 years ago

Bongo5

Simu za abiria waliopoteza maisha kwenye ajali ya ndege ya MH17 zinapokelewa na watu walioziiba

Familia za abiria waliopoteza maisha kwenye ajali ya ndege ya MH17 wanasema simu za wapendwa wao zinapokelewa na wezi waliozichukuia kwenye eneo ilipoangakua ndege hiyo nchini Ukraine. Baadhi ya vitu vilivyosambaa baada ya ndege hiyo kudunguliwa na kuanguka Ndugu hao waliopiga simu za wapendwa wao, wameliambia gazeti moja la Uholanzi kuwa simu hizo zinapokelewa na […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani