Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ajifungua kiumbe wa ajabu Handeni

Mwanamke mmoja mkazi wa Kata ya Sindeni wilayani hapa, Mwajuma Seif (50) amejifungua mtoto mwenye umbile la ajabu hali iliyomtisha na kufikia hatua ya kuwaomba madaktari wamfunge kizazi kwa kudai amechoka na anaogopa kubeba mimba zaidi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MAMA AJIFUNGUA MTOTO WA AJABU

Na Dustan Shekidele, Morogoro My God! Mama aliyetambulika kwa jina la Swaumu Sadick (25), mkazi wa Manzese jijini Dar, amejikuta yeye na manesi wakitimua mbio kwa woga baada ya kujifungua kiumbe wa ajabu. Swaumu Sadick akiwa hospitali baada ya kujifungua mtoto huyo. Kwa mujibu wa shuhuda wetu, tukio hilo ambalo kwa sasa ni gumzo, lilijiri hivi karibuni mishale ya saa 8:00 usiku kwenye Kituo cha Afya Cha Kijiji cha Mlali...

 

11 years ago

Mwananchi

Aliyezaa mtoto wa ajabu Handeni alonga

>Tangu mwaka 2012 zaidi ya watoto 154 wamezaliwa na wanawake walio juu ya umri wa miaka 50. Miongoni mwao, wamo waliotokana na teknolojia ya upandikizaji.

 

10 years ago

Michuzi

TAMASHA LA HANDENI KWETU KUFANYIKA DESEMBA 31 WILAYANI HANDENI MKOANI TANGA

TAMASHA kubwa la umataduni linalojulikana kama 'Handeni Kwetu' limepangwa kufanyika Desemba 13 mwaka huu, katika Uwanja wa Azimio, wilayani Handeni, mkoani Tanga.Mratibu Mkuu wa Tamasha la Handeni Kwetu, Kambi Mbwana, akizungumza jambo katika tamasha la mwaka lililofanyika Desemba 14. Mwaka huu tamasha hilo litafanyika Desemba 13, Siku ya Jumamosi, katika Uwanja wa Azimio, wilayani Handeni, mkoani Tanga. Picha na Maktaba Yetu.Wasanii wa kundi la ngoma za asili la Mgambo JKT, wilayani...

 

11 years ago

Michuzi

JK KUIFUNGUA BARABARA YA MKATA — HANDENI NA HANDENI — KOROGWE MKOANI TANGA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kesho anatarajiwa kuifungua rasmi barabara ya Mkata - Handeni ambayo ujenzi wake umekamilika kwa kiwango cha lami.  Kwa muibu wa taarifa kutoka Wizara ya Ujenzi, Barabara hii ina urefu wa kilometa 53.2.   Akiwa Wilayani Handeni, Rais Kikwete ataifungua pia barabara ya Korogwe – Handeni ambayo vile vile imekamilika kujengwa kwa kiwango cha lami.  Barabara hii ina urefu wa kilometa 65. Katika hatua nyingine mnamo...

 

11 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AZIFUNGUA BARABARA ZA MKATA — HANDENI NA KOROGWE — HANDENI MKOANI TANGA.

 Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (mwenye koti jeusi katikati) akiwa na baadhi ya Mawaziri, Wabunge na Viongozi wa mkoa wa Tanga wakishiriki kuifungua rasmi barabara ya Handeni – Mkata na Handeni - Korogwe huko mkoani Tanga.  Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (aliyenyoosha mkono) akifurahia jambo na Waziri wa Ujenzi Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli anayempongeza kiongozi wa kikundi cha ngoma ya Selo baada ya kutumbuiza wakati wa sherehe za ufunguzi wa barabara ya Mkata – Handeni - Korogwe....

 

10 years ago

GPL

MAPEDESHEE, CHIEF KIUMBE KAWAZIDI UJANJA

Mohamed Abdallah Kiumbe,'Chif kiumbe' mwenye kanzu yanjano. JINA alilopewa na wazazi wake ni Mohamed Abdallah Kiumbe, lakini baada ya mihangaiko yake huku na kule, akipiga hatua taratibu za maendeleo, akajikuta amepata umaarufu mkubwa mno, sasa akijulikana kama Chief Kiumbe. Ninamfahamu kiasi huyu jamaa, ni mchangamfu, mtu wa watu, lakini usisahau, ni kijana wa kisasa. Enzi hizo ukikutana naye kwenye kumbi za starehe, huwezi...

 

11 years ago

GPL

BATULI ADAIWA KUJIWEKA KWA CHIFU KIUMBE

Stori: Waandishi wetu Staa wa filamu Yobunesh Yusuph ‘Batuli’ amedaiwa kujiweka kwa Pedeshee Chifu Kiumbe baada ya siku kadhaa zilizopita kumfuata na kumtaka amsaidie katika project ya filamu yake . Staa wa filamu Yobunesh Yusuph ‘Batuli’. Kwa mujibu wa chanzo chetu, baada ya msanii huyo kupewa sapoti ikiwa ni pamoja na gari la kushutia, mdada huyo amekuwa akijionesha kuwa pedeshee huyo ni mtu wake. ...

 

11 years ago

GPL

BELINA AJIFUNGUA

Belina Mgeni. Stori: Imelda Mtema
MWANAMITINDO maarafu Bongo, Belina Mgeni amejifungua mtoto wa kike. Mtoto wa Belina. Mrembo huyo alijifungua juzikati katika Hospitali ya TMJ, iliyopo Mikocheni, jijini Dar es Salaam ambapo mwanamitindo huyo hakusita kuanika furaha yake mbele ya paparazi wetu kisha akatangaza jina la kichanga hicho, Naila. “Kiukweli siku zote ukimuomba Mungu unafanikiwa kwani nilikuwa… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani