Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BATULI ADAIWA KUJIWEKA KWA CHIFU KIUMBE

Stori: Waandishi wetu Staa wa filamu Yobunesh Yusuph ‘Batuli’ amedaiwa kujiweka kwa Pedeshee Chifu Kiumbe baada ya siku kadhaa zilizopita kumfuata na kumtaka amsaidie katika project ya filamu yake . Staa wa filamu Yobunesh Yusuph ‘Batuli’. Kwa mujibu wa chanzo chetu, baada ya msanii huyo kupewa sapoti ikiwa ni pamoja na gari la kushutia, mdada huyo amekuwa akijionesha kuwa pedeshee huyo ni mtu wake. ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

BATULI ADAIWA KUITIKISA NDOA YA MTUNIS

HABARI za motomoto kutoka vyanzo vya uhakika, zinasema kuwa staa wa kike anayekuja juu kwa sasa katika tasnia ya filamu Bongo, Yobnesh Yusuph ‘Batuli’ ameitikisa ndoa ya mwigizaji mwenzake, Nice Mohammed ‘Mtunis’ kwa madai ya kutoka naye kimapenzi. Mkali katika tasnia ya filamu Bongo, Yobnesh Yusuph ‘Batuli’. Chanzo chetu, kwa sharti la kutochorwa jina lake gazetini kilifunguka kuwa ishu...

 

11 years ago

GPL

ROSE NDAUKA ADAIWA KUMTIBULIA DILI BATULI


Stori:Hamida Hassan na Gladness Mallya
Mastaa wawili, Yobnesh Yusuph ‘Batuli’ na Rose Ndauka wamedaiwa kuwa kwenye bifu chanzo kikidaiwa ni Rose kumtibulia mwenzake dili la ile project ya kusafisha jiji iliyofanyika hivi karibuni. Malkia wa filamu za kibongo Yobnesh Yusuph ‘Batuli’. Akizungumza na Ijumaa kwa sharti la kutotajwa jina lake, chanzo kilisema, wazo la project ile alikuwa nalo Batuli...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AHUDHURIA MAZISHI YA CHIFU KINGALU WA 14 WA WALUGURU, NA KUSIMIKWA KWA CHIFU KINGALU 15 KIJIJINI KINOLE, MOROGORO


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa pole na pia kumpongeza Kiongozi mpya wa kabila la Waluguru wa Mkoa wa Morogoro Chifu Kingalu wa 15 baada ya kusimikwa rasmi kijijini Kinole mkoani Morogoro leo Alhamisi Julai 3, 2015 kufuatia kifo na hatimaye mazishi ya kaka yake Marehemu Chifu Kingalu wa 14.
Kiongozi mpya wa kabila la Waluguru wa Mkoa wa Morogoro Chifu Kingalu wa 15 akiongea machache baada ya kusimikwa rasmi kijijini Kinole mkoani Morogoro leo Alhamisi Julai 3, 2015 kufuatia kifo na...

 

5 years ago

CCM Blog

CHIFU ADAM WA PILI ASIMIKWA RASMI KUWA CHIFU WA WAHEHE

   Chief Adam wa Pili Adam Abdul Adam Sapi Mkwawa Mwamuyinga jana alisimikwa rasmi na kukabidhiwa miiko ya utawala wa kabila la Kihehe baada ya kufikisha umri wa kuongoza.

Hafla hiyo imefanyika katika Uwanja wa Mashujaa uliopo Kalenga Mkoani Iringa ambapo Umoja Wa Machief Tanzania UMT umeshiriki.
Chief Adam wa Pili anachukua nafasi ya baba yake, Chief Abdul Mfwimwi aliyefariki mwaka 2005.

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete atawazwa kuwa chifu msaidizi wa waluguru na chifu kingalu huko kinole, morogoro, apewa jina la Chidukila

 CHIFU wa Waluguru Kingalu Mwanabanzi wa 14, akijiandaa kumtawaza Rais Jakaya Mrisho Kikwete kuwa Chifu Msaidizi wa kabila hilo katika sherehe za aina yake zilizofanyika katika uwanja wa Shule ya Msingi ya Kinole, kata ya Makuyuni, Morogoro vijijini Agosti 22, 2014.  Rais Kikwete pia alipewa jina la CHIDUKILA, lenye kumaanisha "muibukaji", kwa maana ya kwamba Rais Kikwete ana uhuru wa kuibuka kijijini Kinole bila taarifa wala kusubiri kualikwa.
 CHIFU wa Waluguru Kingalu Mwanabanzi wa 14,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

GEMMA AKILIMALI: Mwalimu anayefanya makubwa kwa taifa bila kujiweka mbele

LEO katika safu yetu ya Mwanamama tunawaletea Mwalimu Gemma Akilimali. Mama huyu alizaliwa Januari 27, mwaka 1950. Ni mwanaharakati wa kutetea haki za binadamu, mwalimu, msomi, mwanafamilia, muumini imara wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Ajifungua kiumbe wa ajabu Handeni

Mwanamke mmoja mkazi wa Kata ya Sindeni wilayani hapa, Mwajuma Seif (50) amejifungua mtoto mwenye umbile la ajabu hali iliyomtisha na kufikia hatua ya kuwaomba madaktari wamfunge kizazi kwa kudai amechoka na anaogopa kubeba mimba zaidi.

 

9 years ago

Bongo5

Nyumba ya Batuli yateketea kwa moto

Nyumba ya muigizaji wa filamu, Batuli imetekea kwa moto. Nyumba hiyo ipo maeneo ya Mbezi Beach jijini Dar es Salaam. “Nilikuwa saluni najiandaa ili niende kwenye fainali za TMT ndipo nilipopigiwa simu na majirani majira ya saa tatu usiku kuwa nyumba yangu inaungua na imeteketea yote kwa moto,” Batuli aliiambia Clouds FM. “Iliniuma sana vitu […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani