Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAPEDESHEE, CHIEF KIUMBE KAWAZIDI UJANJA

Mohamed Abdallah Kiumbe,'Chif kiumbe' mwenye kanzu yanjano. JINA alilopewa na wazazi wake ni Mohamed Abdallah Kiumbe, lakini baada ya mihangaiko yake huku na kule, akipiga hatua taratibu za maendeleo, akajikuta amepata umaarufu mkubwa mno, sasa akijulikana kama Chief Kiumbe. Ninamfahamu kiasi huyu jamaa, ni mchangamfu, mtu wa watu, lakini usisahau, ni kijana wa kisasa. Enzi hizo ukikutana naye kwenye kumbi za starehe, huwezi...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Video: Young Dee — Ujanja Ujanja

Video mpya ya rapper Young Dee wimbo unaitwa ” Ujanja Ujanja” video imeongozwa na Khalfani Khalmandro Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Bongo5

Music: Young Dee — Ujanja Ujanja

Rapper Young Dee baada ya kuacha video ya wimbo mpya wa “Ujanja Ujanja” hii ni Audio Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

11 years ago

Mwananchi

Ajifungua kiumbe wa ajabu Handeni

Mwanamke mmoja mkazi wa Kata ya Sindeni wilayani hapa, Mwajuma Seif (50) amejifungua mtoto mwenye umbile la ajabu hali iliyomtisha na kufikia hatua ya kuwaomba madaktari wamfunge kizazi kwa kudai amechoka na anaogopa kubeba mimba zaidi.

 

11 years ago

GPL

BATULI ADAIWA KUJIWEKA KWA CHIFU KIUMBE

Stori: Waandishi wetu Staa wa filamu Yobunesh Yusuph ‘Batuli’ amedaiwa kujiweka kwa Pedeshee Chifu Kiumbe baada ya siku kadhaa zilizopita kumfuata na kumtaka amsaidie katika project ya filamu yake . Staa wa filamu Yobunesh Yusuph ‘Batuli’. Kwa mujibu wa chanzo chetu, baada ya msanii huyo kupewa sapoti ikiwa ni pamoja na gari la kushutia, mdada huyo amekuwa akijionesha kuwa pedeshee huyo ni mtu wake. ...

 

11 years ago

GPL

SALHA: MAPEDESHEE NI JANGA MISS TZ

Stori: Jelard Lucas
MISS Tanzania 2011, Salha Israel ametoboa siri kuhusiana na mapedeshee ambao wamekuwa wakiwapa usumbufu mkubwa kiasi cha kuonekana ni janga la kitaifa kwa warembo. Miss Tanzania 2011, Salha Israel. Akizungumza na Ijumaa kwenye mahojiano maalum hivi karibuni ndani ya ofisi za gazeti hili, Salha alikiri kuwepo kwa watu wenye nia mbaya wanaotumia utajiri wao kujipatia wasichana hali inayosababisha kuichafua...

 

10 years ago

GPL

LULU AWATIKISA MAPEDESHEE BUKOBA

Stori:Hamida Hassan
Staa wa Filamu za Kibongo Elizabeth Michael ‘Lulu’ hivi karibuni alijikuta kwenye wakati mgumu baada ya mapedeshee wa Bukoba kumganda na kumzonga huku kila mmoja akitaka namba yake ya simu. Staa wa Filamu za Kibongo Elizabeth Michael ‘Lulu’ akisherehesha. Lulu aliongozana na wasanii wengine akiwemo Kulwa Kikumba ‘Dude’ kwenye uzinduzi wa hoteli iitwayo Nalfin...

 

9 years ago

GPL

MH! ETI RAY, STEVE NYERERE NAO MAPEDESHEE

MIAKA michache iliyopita, nilipata kuwa mdau mkubwa wa muziki wa dansi, nikipatikana katika karibu kumbi zote ambazo bendi kubwa zilifanya mambo yao jijini Dar es Salaam. Huko, nilikutana na watu wengine waliokuwa na ‘wazimu’ zaidi kuliko mimi. Hawa, waliitwa majina ya kutukuzwa na wanamuziki, wengi wao wakitajwa kwenye nyimbo. Ninamkumbuka ‘mshkaji’ Fikiri Madinda, Papaa Chosta, Hussein Makabureta,...

 

10 years ago

GPL

MALAIKA: KWA PENZI LANGU, MAPEDESHEE WAJIPANGE

Mwanamuziki anayefanya poa, Diana Malaika ‘Malaika’. Andrew Carlos  Mwanamuziki anayefanya poa, Diana Malaika ‘Malaika’ amefunguka kuwa wapo wanaume kibao wanaomtaka kimapenzi lakini kutokana na namna alivyoweka muziki mbele, mapedeshee hao wajipange sana kumnasa. ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1J3UnJ1

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani