Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Akamatwa akihusishwa na mauaji Califonia

Mtu mmoja amekamatwa akihusishwa kushiriki mauaji yaliyotokea San bernadino nchini Marekani

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Mtuhumiwa wa mauaji ya askari akamatwa

Ernest-Mangu

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini Inspekta Jenerali (IGP) Ernest Mangu.

Na Mwandishi wetu

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini Inspekta Jenerali (IGP) Ernest Mangu amesema usiku wa kuamkia jana wamempata mtuhumiwa mmoja Wa ujambazi aliyedaiwa kuua askari Polisi wawili,kujeruhi 2 na kupora silaha mbalimbali katika kituo cha Polisi Bukombe.

Hayo aliyasema leo kwenye mkutano wa wadau wa sekta ya mifugo uliofanyika katika mkoa huu mwanza.

IGP Mangu amesema wamefanikiwa kumpata mtuhumiwa mmoja ambaye...

 

9 years ago

BBCSwahili

Mtuhumiwa wa mauaji ya Rwanda akamatwa

Marekani inasema kuwa mtu mmoja anayetuhumiwa kuhusika pakubwa katika mauaji ya kimbari nchini Rwanda mwaka 1994, amekamatwa.

 

11 years ago

BBCSwahili

Kijana akamatwa kwa mauaji London

Kijana mwenye umri wa miaka 15, amekamatwa na polisi kwa mauaji ya msichana mwenye umri sawa na wake mjini Londn, Uingereza

 

9 years ago

BBCSwahili

Muingereza akamatwa Bangladesh kwa mauaji

Bangladesh imewakamata watu wengine watatu, akiwemo raia mmoja wa Uingereza, kuhusiana na mauwaji ya mwanablogu

 

9 years ago

BBCSwahili

Mshukiwa akamatwa kuhusu mauaji ya Paris

Polisi nchini Ufaransa wamemkamata mwanamume eneo la Paris kwenye uchunguzi wao kuhusu mashambulio ya Novemba 13.

 

10 years ago

BBCSwahili

Msanii Suge Knight akamatwa kwa mauaji

Polisi nchini Los Angeles inasema kuwa msanii wa muziki wa rap kutoka Marekani Marion Suge Knight amekamatwa kutokana na mauaji

 

9 years ago

Vijimambo

ALIYEFANYA MAUAJI YA KINYAMA JIJINI ARUSHA AKAMATWA


Na Woinde  Shizza

Mtuhumiwa mauaji ya kutisha ya kumkata viungo vya mwili marehemu zikiwemo sehemu za siri, viganja vya mikono na matiti mauaji yaliotokea kwenye hotel ya A Square Belmot amekamatwa na jeshi la polisi mkoani Arusha.
Akiongea na vyombo vya habari ofisini kwake kamanda wa polisi, Naibu kamishna wa jeshi la polisi mkoani hapa Liberatus Sabas (pichani)  alisema kuwa mtuhumiwa alikamatwa juzi majira ya asubuhi katika eneo la TRA House jijini hapa.
Kamanda Sabas alisema kuwa...

 

5 years ago

CCM Blog

MSHUKIWA MKUU WA MAUAJI YA KIMARI RWANDA AKAMATWA


Mshukiwa mkubwa wa mauaji ya kimbari akamatwaHaki miliki ya pichaUS STATE DEPARTMENTFélicien Kabuga, miongoni mwa watuhumiwa wa mauaji ya kimbari ya Rwanda, amekamatwa karibu na mji wa Paris, wizara ya sheria ya Ufaransa imetangaza.Bwana Kabuga ameshikiliwa na polisi mjini Asnières-Sur-Seine, eneo ambalo alikuwa anaishi kwa utambulisho wa uongo.Mahakama ya kimataifa ya mauji ya kimbari yaliyotokea Rwanda yamemshtaki bwana Kabuga mwenye umri wa miaka 84-kwa uhalifu dhidi ya ubinadamu.Anadaiwa kuwa mfadhili mkuu wa wahutu ambao waliuwa...

 

9 years ago

Mtanzania

Padri mtarajiwa akamatwa kwa mauaji Arusha

LiberatusSabasNA JANETH MUSHI, ARUSHA

JESHI la Polisi mkoani Arusha linamshikilia mwanafunzi wa mwaka wa tano wa masomo ya falsafa katika Chuo cha Dini cha Kanisa Katoliki kilichopo Segerea, Dar es Salaam kwa tuhuma za mauaji.

Elijus Lyatuu (31), anashikiliwa kwa tuhuma za kumuua Alfred Kimbaa (18) maarufu kwa jina la Mandela mwanzoni mwa wiki katika Hoteli ya A Square Belmont katikati ya Jiji la Arusha.

Mtuhumiwa huyo anadaiwa alimuua Kimbaa usiku wa kuamkia Jumatatu katika hoteli hiyo na kuchukua baadhi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani