ALIYEFANYA MAUAJI YA KINYAMA JIJINI ARUSHA AKAMATWA
![](http://1.bp.blogspot.com/-bYNeliYF8NM/VekpLbG1ZnI/AAAAAAABUyY/8sspRL5Ao8Q/s72-c/275bLiberatus-Sabas.jpg)
Na Woinde Shizza
Mtuhumiwa mauaji ya kutisha ya kumkata viungo vya mwili marehemu zikiwemo sehemu za siri, viganja vya mikono na matiti mauaji yaliotokea kwenye hotel ya A Square Belmot amekamatwa na jeshi la polisi mkoani Arusha.
Akiongea na vyombo vya habari ofisini kwake kamanda wa polisi, Naibu kamishna wa jeshi la polisi mkoani hapa Liberatus Sabas (pichani) alisema kuwa mtuhumiwa alikamatwa juzi majira ya asubuhi katika eneo la TRA House jijini hapa.
Kamanda Sabas alisema kuwa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania04 Sep
Padri mtarajiwa akamatwa kwa mauaji Arusha
NA JANETH MUSHI, ARUSHA
JESHI la Polisi mkoani Arusha linamshikilia mwanafunzi wa mwaka wa tano wa masomo ya falsafa katika Chuo cha Dini cha Kanisa Katoliki kilichopo Segerea, Dar es Salaam kwa tuhuma za mauaji.
Elijus Lyatuu (31), anashikiliwa kwa tuhuma za kumuua Alfred Kimbaa (18) maarufu kwa jina la Mandela mwanzoni mwa wiki katika Hoteli ya A Square Belmont katikati ya Jiji la Arusha.
Mtuhumiwa huyo anadaiwa alimuua Kimbaa usiku wa kuamkia Jumatatu katika hoteli hiyo na kuchukua baadhi...
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-6rYIJZ9kmEY/VeloXU5D-CI/AAAAAAAC-eA/icSQwmYIR_Y/s72-c/sabas-may10-201328.jpg)
MTUHUMIWA WA MAUAJI YA KUTISHA YALIYOTOKEA MKOANI ARUSHA AKAMATWA
![](http://4.bp.blogspot.com/-6rYIJZ9kmEY/VeloXU5D-CI/AAAAAAAC-eA/icSQwmYIR_Y/s640/sabas-may10-201328.jpg)
Akiongea na vyombo vya habari ofisini kwake kamanda wa polisi, Naibu kamishna wa jeshi la polisi mkoani hapa Liberatus Sabas alisema kuwa mtuhumiwa alikamatwa juzi majira ya asubuhi katika eneo la TRA House jijini Arusha.
Sabas ...
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-69ZEnctRvmI/VZU_irfwd5I/AAAAAAAHmcI/HcmRLh5It7U/s72-c/sabas-may10-201328.jpg)
MUTUHUMIWA WA MAUAJI YA KUTISHA YALIYOTOKEA MKOANI ARUSHA AKAMATWA
![](http://2.bp.blogspot.com/-69ZEnctRvmI/VZU_irfwd5I/AAAAAAAHmcI/HcmRLh5It7U/s640/sabas-may10-201328.jpg)
Na Woinde Shizza,
wa libeneke la kaskazini blog
Mtuhumiwa mauaji ya kutisha ya kumkata viungo vya mwili marehemu zikiwemo sehemu za siri, viganja vya mikono na matiti mauaji yaliotokea kwenye hotel ya A Square Belmot amekamatwa na jeshi la polisi mkoani Arusha.
Akiongea na vyombo vya habari ofisini kwake kamanda wa polisi, Naibu kamishna wa jeshi la polisi mkoani hapa Liberatus Sabas (pichani) alisema kuwa mtuhumiwa alikamatwa juzi majira ya asubuhi katika eneo la TRA House jijini hapa....
11 years ago
Tanzania Daima19 Dec
Mauaji ya kinyama tena
WAKATI kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), mkoani Mwanza, Clement Mabina akiua naye kuuawa na wananchi kutokana na mgogoro wa ardhi, watu wengine watatu wameuawa na polisi jana, huku kituo...
9 years ago
Mtanzania03 Dec
Mauaji ya kinyama yarejea Geita
NA VICTOR BARIETY, GEITA
MAUAJI ya kinyama ambayo yanahusishwa na imani za kishirikina yameanza kurejea mkoani Geita, baada ya watu wanne wa familia moja wakazi wa kijiji cha Bugalama wilayani Geita kuuawa.
Watu ambao majina yao hajatambuliwa mara moja, wameuawa kwa kuchinjwa shingo kama kuku.
Waliouawa katika tukio hilo lililotokea Desemba Mosi, ni wanawake watatu na mtoto mmoja.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita,Latson Mponjoli alipoulizwa jana alikiri kutokea kwa tukio hilo.
Akisimulia...
10 years ago
Dewji Blog08 Nov
Makamu wa Rais Dkt. Bilal afungua mkutano wa maadhimisho ya miaka 20 ya mahakama ya mauaji ya Kimbari ya Rwanda ICTR Jijini Arusha
![3](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/11/32.jpg)
![5](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/11/52.jpg)
![6](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/11/61.jpg)
![7](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/11/72.jpg)
![4](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/11/41.jpg)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitazama baadhi ya picha za kumbukumbu...
9 years ago
BBCSwahili10 Dec
Mtuhumiwa wa mauaji ya Rwanda akamatwa
9 years ago
BBCSwahili18 Dec
Akamatwa akihusishwa na mauaji Califonia
10 years ago
Dewji Blog07 Sep
Mtuhumiwa wa mauaji ya askari akamatwa
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini Inspekta Jenerali (IGP) Ernest Mangu.
Na Mwandishi wetu
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini Inspekta Jenerali (IGP) Ernest Mangu amesema usiku wa kuamkia jana wamempata mtuhumiwa mmoja Wa ujambazi aliyedaiwa kuua askari Polisi wawili,kujeruhi 2 na kupora silaha mbalimbali katika kituo cha Polisi Bukombe.
Hayo aliyasema leo kwenye mkutano wa wadau wa sekta ya mifugo uliofanyika katika mkoa huu mwanza.
IGP Mangu amesema wamefanikiwa kumpata mtuhumiwa mmoja ambaye...