Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AKAMATWA KWA KUKODISHA BUNDUKI KWA MAJAMBAZI

MTU mmoja, Taratibu Hemedi (74) ambaye ni mmiliki wa bunduki aina ya shotgun na mwanaye Hemedi Taratibu (32) wamekamatwa na polisi kwa tuhuma za kukodisha silaha hiyo kwa majambazi. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Tanga, ACP Costantine Massawe alisema hivi karibuni kuwa watu hao walikamatwa baada ya watu  watano wanaodhaniwa ni majambazi kukamatwa na polisi wilayani Korogwe mkoani Tanga kwa tuhuma za kukutwa na bunduki hiyo na...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Majambazi wampora bunduki askari, Pwani

Dar/Pwani. Matukio ya uporaji bunduki askari kwa watu wanaosadikiwa kuwa majambazi, yameanza kujipenyeza katika jiji la Dar es Salaam huku mkoa wa Pwani wakiendelea kuvamia na kuvunja vituo vya polisi.

 

10 years ago

GPL

MAJAMBAZI WAPORA BUNDUKI, WAITUMIA KUIBA PESA DUKANI

Raia waliokuwepo eneo la tukio wakishangaa. Duka la vinywaji lililoibiwa. Sehemu ambayo majambazi wameiba bunduki aina ya Shot Gun.…

 

10 years ago

GPL

MWANAMKE AKAMATWA KWA UNGA WA BIL.2 NYUMBANI KWA MBUNGE

Mwanamke (Doreen John Mlemba) anayedaiwa kukamatwa na unga. Na Makongoro Oging’/Uwazi MWANAMKE mmoja aliyetambuliwa kwa jina la Doreen John Mlemba, mwenyeji wa Same mkoani Kilimanjaro, mwishoni mwa mwaka uliopita alikamatwa kwa kuhusishwa na shehena ya madawa ya kulevya aina ya Heroin, yenye thamani ya shilingi bilioni 2.5. Madawa hayo yalikutwa kwenye nyumba moja iliyopo eneo la Ununio, Tegeta jijini Dar es Salaam,...

 

9 years ago

Dewji Blog

Mchungaji wa kanisa akamatwa kwa tuhuma ya kumficha ndani mtoto wake kwa miaka 12

IMG_1239

Kijana mkazi wa kijiji cha Itaja tarafa ya Mgori wilayani Singida, Timotheo David (30), akiwa amelazwa wodi namba nne hospitali ya mkoa wa Singida baada ya kuletwa na jeshi la polisi siku mbili zilizopita. Inadaiwa kuwa Timotheo baada ya kuugua Malaria kali mwaka 2003 na kuchanganyikiwa akili, alifungiwa ndani chumbani toka wakati huo hadi juzi alipotolewa na polisi na kuletwa hospitalini. Kwa mujibu wa Kaimu Mganga mfawidhi hospitali ya mkoa, Dk.Napaiya Petro, Timotheo hana ugonjwa wo wote...

 

10 years ago

BBCSwahili

Awatisha watu kwa bunduki bandia studioni

Mtu aliyekuwa amebeba bunduki bandia amekamatwa ndani ya studio ya matangazo ya televisheni nchini Uholanzi na kusababisha matangazo kusitishwa kwa muda.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mbaroni kwa kukutwa na bunduki, sare za polisi

JESHI la Polisi Mkoa wa Tanga linawashikilia watu watano kwa tuhuma za kukutwa na bunduki aina ya Shotgun na sare za Jeshi la Polisi ambazo zilitumika katika matukio ya uhalifu...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Lissu: Katiba ya wananchi haiwezi kupitishwa kwa mitutu ya bunduki

MWANASHERIA wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, (CHADEMA), Tundu Lissu, amesema Katiba ya Wananchi haiwezi kupitishwa chini ya ulinzi mkali wa vikosi vya ulinzi na usalama vyenye mitutu ya bunduki,...

 

11 years ago

CloudsFM

MAHAKAMA YAELEZWA JINSI BILIONEA ERASTO MSUYA ALIVYOUAWA KINYAMA KWA KUTUMIA BUNDUKI YA SMG

Bunduki ya kivita aina ya Sub Machine Gun (SMG) iliyotumika kumuua mfanyabiashara tajiri wa Mirerani, Erasto Msuya, ilinunuliwa kwa Sh4 milioni nchini Kenya, Mahakama imeelezwa.
Imeelezwa pia kwamba wauaji wanne waliokwenda eneo la tukio kutekeleza mauaji hayo, walilipwa Sh5 milioni kila mmoja na washirika wao wakilipwa Sh3 milioni kila mmoja.

Hayo yamo katika maelezo ya mashahidi 57 kwa washtakiwa yalisomwa mbele ya Hakimu Mkazi wa Mkoa Kilimanjaro, Munga Sabuni juzi na mawakili wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani