Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Majambazi wampora bunduki askari, Pwani

Dar/Pwani. Matukio ya uporaji bunduki askari kwa watu wanaosadikiwa kuwa majambazi, yameanza kujipenyeza katika jiji la Dar es Salaam huku mkoa wa Pwani wakiendelea kuvamia na kuvunja vituo vya polisi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Majambazi wampora kadinali Brazil

Watu waliokuwa wamejihami wamemuibia Askofu mkuu wa Rio de Janeiro nchini Brazil msalaba wake na pete

 

11 years ago

Mwananchi

Majambazi wampora meneja Kampuni ya Olam Sh47 milioni

Majambazi wenye silaha juzi mchana walimpora meneja wa Kampuni ya Ununuzi wa Korosho na Ufuta ya Olam, Jafari Mgumba takriban Sh47 milioni.

 

10 years ago

GPL

MAJAMBAZI WAPORA BUNDUKI, WAITUMIA KUIBA PESA DUKANI

Raia waliokuwepo eneo la tukio wakishangaa. Duka la vinywaji lililoibiwa. Sehemu ambayo majambazi wameiba bunduki aina ya Shot Gun.…

 

11 years ago

Tanzania Daima

Bunduki yaua askari wanyamapori

ASKARI wa wanyamapori wa kituo cha Mtemera kilichopo Pori la Akiba la Selous, Hassan Nindi (59), amefariki dunia baada ya bunduki aina ya shotgun aliyokuwa nayo kumfyatukia. Taarifa kutoka kwa...

 

11 years ago

GPL

AKAMATWA KWA KUKODISHA BUNDUKI KWA MAJAMBAZI

MTU mmoja, Taratibu Hemedi (74) ambaye ni mmiliki wa bunduki aina ya shotgun na mwanaye Hemedi Taratibu (32) wamekamatwa na polisi kwa tuhuma za kukodisha silaha hiyo kwa majambazi. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Tanga, ACP Costantine Massawe alisema hivi karibuni kuwa watu hao walikamatwa baada ya watu  watano wanaodhaniwa ni majambazi kukamatwa na polisi wilayani Korogwe mkoani Tanga kwa tuhuma za kukutwa na bunduki hiyo na...

 

11 years ago

Habarileo

Askari majambazi jela miaka 30

MAHAKAMA ya Mkoa wa Mbeya imewahukumu watu watano wakiwemo askari wawili wa polisi na magereza kwenda jela miaka 30 kila mmoja kwa kosa la unyang’anyi wa kutumia silaha.

 

10 years ago

Habarileo

Majambazi waua polisi 2 kizuizi cha Dar, Pwani

Kamanda wa Polisi, Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman KovaASKARI wawili wa Jeshi la Polisi waliokuwa kazini eneo la kizuizi cha polisi cha kijiji cha Kipara Mpakani Vikindu wilayani Mkuranga mkoani Pwani, wameuawa na majambazi na kuporwa silaha.

 

10 years ago

Habarileo

Askari JKT auawa akisaidiana na Polisi kukabili majambazi

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Iringa, Ramadhani MungiWATU wawili akiwemo jambazi mmoja na askari mwanafunzi wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), wamekufa na wengine kunusurika kuuawa katika tukio lililotokea juzi, mjini Mafinga mkoani Iringa wakati majambazi wakirushiana risasi na askari wa Jeshi la Polisi.

 

11 years ago

Michuzi

Matukio ya Kuaga mwili wa askari aliyeuawa na majambazi Tabora

Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora ACP. Suzan Kaganda leo tarehe 30/04/2014 jioni amewaongoza waombelezaji na watendaji kutoka vyombo vya usalama, askari, taasisi za serikali na zisizo kiserikali za mkoa wa Tabora kuuaga mwili wa Askari PC JUMANNE ambaye aliyefariki baada kupigwa risasi na majambazi akiwa katika majukumu ya utendaji kazi. Mwili wa marehemu PC JUMANNE ukishushwa  kupelekwa ukumbini kwa ajili ya kuagwa RPC Tabora ACP. Suzan Kaganda akiongoza  waombelezaji kuaga mwili wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani