Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Alat kuwatunukia tuzo mameya na wenyeviti

Mameya na wenyeviti wa halmashauri za jiji, manispaa na wilaya zilizofanya vyema katika maendeleo ya wananchi, watatunukiwa tuzo maalumu ili kuibua ari ya kuwatumikia wananchi na Serikali kwa jumla.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

ALAT kutoa tuzo kwa Wenyeviti, Mameya

JUMUIYA ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) imezindua mpango wa kuwapa tuzo Wenyeviti na Mameya kwa Uongozi na Utendaji uliotukuka, ambao utahusisha maoni kutoka kwa wananchi kupitia ujumbe mfupi wa simu za mkononi pamoja na tovuti ya jumuiya hiyo.

 

11 years ago

Mwananchi

Pinda atangaza vita na mameya, wenyeviti wanaokuza migogoro

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda amesema ataanza kuwavua madaraka mameya na wenyeviti watakaobainika kukuza migogoro ndani ya halmashauri zao kwa kuwa inachangia kwa kiasi kikubwa kurudisha nyuma maendeleo ya wananchi.

 

11 years ago

Dewji Blog

Pinda akutana na mameya na wenyeviti wa halmashauri mjini Tanga

PG4A4469

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akizungumza na baadahi ya washiriki wa mkutanono kati yake na Mameya ya Majijiji Miji na manispaa pamoja na wenyeviti wa halmashauri za miji na wilaya mjini Tanga Juni 30, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

10 years ago

Dewji Blog

Mkutano mkuu wa 31, tuzo za viongozi wa serikali za mitaa (Mayors Award) na miaka 30 ya ALAT kufanyika aprili 8-11, 2015 jijini Dar

1 (1)

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) ambaye pia ni Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Dk. Didas Masaburi (katikati), akizungumza na waandishi wa habari jijini jana kuhusu Mkutano Mkuu wa 31 wa ALAT utakaokwenda sambamba na Tuzo za Viongozi wa Serikali za Mitaa ‘Mayors Award’ na Miaka 30 ya ALAT, utakaofanyika katika hoteli ya Kunduchi jijijni Dar es Salaam. Kushoto ni Katibu Mkuu wa ALAT, Habraham Shamumoyo na (kulia) ni Afisa Mkuu wa Fedha wa Benki ya NMB ambao ndio...

 

11 years ago

Michuzi

SITTA ATANGAZA MAJINA YA WENYEVITI NA MAKAMU WENYEVITI KAMATI ZA BUNGE MAALUM LA KATIBA

N a Magreth Kinabo ,Dodoma Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba,Mhe. Samwel Sitta leo (jana), ametangaza majina ya wenyeviti na makamu wenyeviti wa Kamati za bunge hilo.  Majina hayo yametangazwa na Mwenyekiti huyo  baada ya uchaguzi wa viiongozi hao uliofanyika  (jana) Machi 24 , mwaka  2014 mjini  Dodoma . Mwenyekiti ametangaza majina haya baada ya kuunda kamati hizo  jana kwa mujibu wa kanuni ya 54 (1) ya kanuni za Bunge Maalum za Mwaka 2014 ambazo zimetungwa chini ya kifungu cha 26...

 

5 years ago

Michuzi

MKURUGENZI KAGURUMJULI AWEKA HISTORIA KINONDONI KUKAMILISHA MIRADI YA BILIONI 231.8 KWA KIPINDI CHA MIAKA MITANO ALAT YA MTUNUKU TUZO

Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni limeweka historia ya ukamilishaji wa miradi mikubwa kwa kipidi cha miaka mitano ya uongozi wa Mhe. Rais Dk. John Magufuli iliyogharimu kiasi cha Shilingi Bilioni 231.8.
Akisoma taarifa ya utekelezaji wa shughuli za Halmashauri hiyo katika kipindi hicho Mkurugenzi Ndug. Aron Kagurumjuli amesema kuwa kwaupande wa miradi ya kisekta imefanikiwa kutekeleza shughuli mbalimbali za kiuchumi, kisiasa, kijamii pamoja na miradi ya Maendeleo kwa...

 

5 years ago

Michuzi

MKURUGENZI KAGURUMJULI AWEKA HISTORIA KINONDONI KUKAMILISHA MIRADI YA TAKRIBAN BILIONI 242.8 KWA KIPINDI CHA MIAKA MITANO, ALAT YAMPA TUZO.


 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni imeweka historia katika suala la utekelezaji wa miradi ya maendeleo na ile ya kimkakati kwa kipindi cha miaka mitano iliyogharimu takribani shilingi bilioni 242.8 fedha zilizotokana na vyanzo vya mapato ya ndani, Serikali kuu na wadau wengine wa maendeleo.

Taarifa hii imetolewa wakati wa uwasilishaji wa taarifa za utekelezaji wa shughuli za Serikali kwa kipindi cha miaka mitano katika kikao cha mwisho cha Baraza la Madiwani kilichofanyika leo katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani