Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ALAT yaipongeza MSD kwa kazi nzuri

BOHARI ya Dawa nchini (MSD) imepongezwa na wajumbe wa Mkutano Mkuu wa 31 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT), kwa kufikia asilimia 85 ya upatikanaji wa dawa, pamoja na kufanikisha upelekaji wa dawa na vifaa tiba moja kwa moja hadi ngazi ya kata.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Shirikisho la Muziki Tanzania latoa pongezi kwa Bunge Maalum la Katiba kwa kazi nzuri

2

Rais wa Shirikisho la Muziki Tanzania (TMF), Addo November (katikati) akizungumza na waandishi wa habari, wakati akilipongeza Bunge Maalum la Katiba kwa kuingiza katika vipengele vitatu vinavyolinda maslahi ya wanamuziki. Kulia ni Mwanamuziki Kasim Mapili na Samatta Rajabu.

Na Anitha Jonas –Maelezo.

SHIRIKISHO la Muziki Tanzania limetoa pongezi za dhati kwa Bunge Maalum  la Katiba lililokuwa likiongozwa na Mwenyekiti wa Bunge hilo Mhe. Samuel Sitta kwa kuingiza Ibara tatu katika Rasimu ya...

 

10 years ago

Habarileo

Madiwani wampongeza ofisa mipango kwa kazi nzuri

BARAZA la madiwani la halmashauri ya wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma lililovunjwa rasmi juzi, limempongeza Ofisa mipango wa halmashauri hiyo Thekla Nyoni kutokana na utendaji mzuri wa kazi.

 

5 years ago

Michuzi

RC NJOMBE AWAPONGEZA WALIMU WAWILI LUDEWA KWA KAZI NZURI


Na Shukrani Kawogo, Njombe.

Mkuu wa mkoa wa Njombe Christopher Ole Sendeka amewapongeza walimu wawili wa shule ya msingi Nindi iliyopo wilayani Ludewa mkoani Njombe kwa juhudi wanazofanya kwa kuwafundisha wanafunzi wa shule hiyo kwa moyo wote bila kujali upungufu wa walimu walionao.

Walimu hao waliofahamika kwa majina ya Rebeca Mhagama Pamoja na Judith Kayombo wamekuwa wakifundisha wawili tu katika mikondo kumi na moja huku jumla ya wanafunzi wote ikiwa ni 308 wa shule ya msingi na 42 wa...

 

9 years ago

Michuzi

ASKOFU DR MDEGELLA ATAKA WATANZANIA KUMWOMBEA RAIS DR MAGUFULI KWA KAZI NZURI


Askofu wa kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT( Dayosisi ya Iringa Dr OwdenBurg Mdegella akimpa baraka ya Christmas mtoto Monica Kasesela huku babake mkuu wa wilaya ya Iringa Bw Richard Kasesela na binti yake Cathelin Kasesela wakishuhudia baada ya kumalizika kwa ibada ya pili katika usharika wa kanisa kuu

Askofu Dr Mdegela akitoa baraka

Mwalimu wa kwaya ya vijana katika kanisa kuu Bw Lupyana Samweli akipokea baraka za Christmas kutoka kwa askofu wa kanisa...

 

11 years ago

Michuzi

Vodacom yamzawadia askari wa kikosi cha Usalama Barabarani kwa kazi nzuri

Mfanyaakazi wa Idara ya Masoko wa Kampuni ya Vodacom Albert Maneno (wa tatu kushoto) akiongea kabla ya kukabidhi Sh. 2 milioni kwa askari wa kikosi cha Usalama Barabarani Moses Alphag (wa kwanza kushoto) aliyeibuka kidedea katika program ya kuibua hamasa ya kazi kwa askari hao jijini Dar es salaam iliyoendeshwa na kituo cha Redio Clouds FM. Fedha hizo zimetolewa na wafanyakazi wa Vodacom pamoja na wananchi mbalimbali walioguswa na programu hiyo. Wa kwanza kulia ni Kamanda wa Polisi Kanda...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kinana: Mama Anne Kilango Malecela ni Katapilla la Same Mashariki, amsifu kwa kazi nzuri

1

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mbunge wa jimbo la Same Mashariki na Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi mama Anne Kilango Malecela wakati alipowasili katika kijiji cha Maone akiwa katika ziara yake ya Kikazi yenye lengo la kukagua na kuhimiza utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010 na kuhimiza uhai wa Chama Cha Mapinduzi CCM ambapo alikagua mradi wa chuo cha ufundi cha Maone na kumsifu mbunge wa jimbo hilo Mama Anne Kilango kuwa ni Katapilla...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani