ALI KIBA: KILLY, CHEED WALINIAMSHA USIKU KUNIAGA WANAONDOKA
![](https://1.bp.blogspot.com/-2nauLsJbCvs/XpaYfXMwFEI/AAAAAAALm-A/kpvIYSRooRMEzcfMuLe3ah0ibopXEYaowCLcBGAsYHQ/s72-c/b223c0c0-7beb-4ae2-b804-6cf4911a740c.jpg)
Na Bakari Madjeshi, Michuzi TV
Msanii wa Bongo Fleva nchini, Ali Saleh Kiba amesema ameshangazwa na kitendo cha kuondoka kwa Wasanii waliokuwa kwenye Kundi lake la Kings Music Records, Ally Killy Omary ‘Killy’ na Rasheed ‘Cheed’, amesema hakutarajia kuondoka kwa Wasanii hao katika Kundi hilo.
Kupitia Kipindi cha Tunalinda View cha Clouds TV – Kupitia Mtandao wake wa Instagram wakati akiwa ‘Live’, Kiba amesema alizungumza na Wasanii hao kwa dakika tano tu, kabla yakuomba kung’atuka kwenye Kundi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLALI KIBA AVAMIWA USIKU WA KUAMKIA LEO
11 years ago
GPLALI KIBA AONYESHA MANJONJO TAMASHA LA USIKU WA MATUMAINI
11 years ago
GPLALI KIBA ATUA GLOBAL TV ONLINE, AELEZEA ALIVYOJIANDAA KWA MAKAMUZI YA USIKU WA MATUMAINI 2014
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-CDbPuBkpdqs/VXppv-0faJI/AAAAAAAATPo/2-SKNfIA8pE/s72-c/IMG_8684.jpg)
ALI KIBA NA ABDU KIBA WALIVYOWARUSHA WASHINGTON DC..WAKISINDIKIZWA NA AJ UBAO !
![](http://2.bp.blogspot.com/-CDbPuBkpdqs/VXppv-0faJI/AAAAAAAATPo/2-SKNfIA8pE/s640/IMG_8684.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-TLHpBTM-VN8/VXppzvt5WtI/AAAAAAAATQg/Q2KIP7dpSME/s640/IMG_8711.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-vKSD7mM66kI/VXppzO84QiI/AAAAAAAATQQ/LknsqisA5WE/s640/IMG_8706.jpg)
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
10 years ago
Dewji Blog02 Jun
Ali Kiba & Abdu Kiba kuwarusha Live Washington DC Jumamosi hii tarehe 6
![](http://2.bp.blogspot.com/-wOB1bfQRNDs/VW059j1PcII/AAAAAAAATG4/6vu20bb0OCc/s640/Alikiba%2Bdc1.png)
10 years ago
Michuzi10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-wOB1bfQRNDs/VW059j1PcII/AAAAAAAATG4/6vu20bb0OCc/s72-c/Alikiba%2Bdc1.png)
ALI KIBA & ABDU KIBA KUWARUSHA LIVE WASHINGTON DC JUMAMOSI HII MEI 6
![](http://2.bp.blogspot.com/-wOB1bfQRNDs/VW059j1PcII/AAAAAAAATG4/6vu20bb0OCc/s640/Alikiba%2Bdc1.png)
KWA MARA YA KWANZA SHOW YA AINA YAKE KATI YA WANA NDUGU WAWILI ALI NA ABDU KIBA ITAFANYIKA WASHINGTON DMV,JUMAMOSI HII PALE FIRE STATION 1, 8131,GEORGIA AVENUE,DOWN TOWN SILVER SPRING,VIP PACKAGE ZINAPATIKANA,FREE PARKING