Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ALI KIBA KUTISHIWA KUUAWA, DIAMOND KUHOJIWA POLISI

Andrew Carlos na Shakoor Jongo
SAKATA la staa wa Bongo Fleva, Ally Saleh ‘Ali Kiba’ kunusurika kuuawa na watu wasiojulikana kwa kutumia bastola limechukua sura mpya, safari hii, Nasibu Abdul ‘Diamond’ amefunguka kuwa amejiandaa kuhojiwa na polisi. Ally Saleh ‘Ali Kiba’. Kwa mujibu wa chanzo chetu katika jeshi hilo jijini Dar, Diamond ambaye amekuwa akitajwa sana katika sakata hilo kupitia...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

A-Z ALI KIBA ALIVYONUSURIKA KUUAWA!

Musa Mateja Hatari sana! Mkali wa Ngoma ya Chekecha Cheketua, Ali Saleh Kiba ‘King Kiba’ amenusurika kifo baada ya kuvamiwa nyumbani kwake na majambazi ambao walimteka mlinzi na ndugu yake mmoja kisha kuwashushia kibano kikali huku wakiwaamuru wawapeleke kwenye chumba anacholala msanii huyo, Ijumaa Wikienda lina A-Z. Mlango nyumbani kwa Alikiba ukionekana jinsi ulivyovunjwa na majambazi na kuiba vitu. Akizungumza...

 

10 years ago

Mwananchi

Fahmi Dovutwa adai kutishiwa kuuawa

Sumu iliyomwagwa na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Seif Shariff Hamad imeanza kuwatafuna baadhi ya viongozi Taasisi ya Demokrasia nchini (TCD), akiwamo mwenyekiti wake, John Cheyo.

 

10 years ago

Mwananchi

Ni mpambano wa Ali Kiba V Diamond

Kitendawili cha muda mrefu cha ‘nani mbabe kati ya Ali Kiba na Diamond’ huenda kikapata moja ya majawabu yake leo usiku, wakati wa tamasha la Tuzo za Muziki za Kilimanjaro (KTMA) zitakazofanyika kwenye ukumbi wa Mlimani City.

 

11 years ago

GPL

ALI KIBA VS DIAMOND WANAGOMBEA UFALME

INAWEZEKANA lisiwe jibu sahihi lakini kwa kiasi fulani linatoa picha juu ya kinachoendelea kwenye ulimwengu wa Bongo Fleva, kila kona gumzo ni juu ya nani mkali kimuziki kati ya Diamond Platnumz dhidi ya Ali Kiba. Ali Kiba. Nasibu Abdul ‘Diamond’ ndiye staa kwa sasa na amedumu kileleni kwa miaka kadhaa, hilo halina ubishi, lakini Ali Kiba amerejea kwa kutoa nyimbo mbili za Kimasomaso na… ...

 

10 years ago

GPL

ALI KIBA ATANGAZA VITA NA DIAMOND!

Brighton Masalu VITA! Saa chache tu baada ya kutua kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar akitokea nchini Marekani kwa shughuli za kimuziki, staa wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba ametangaza kile kinachotafsirika kuwa ni vita dhidi ya hasimu wake kwenye anga la muziki huo, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Ijumaa Wikienda lina ‘full’ stori. Staa wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba....

 

11 years ago

GPL

ALI KIBA, DIAMOND WAFIKA PABAYA!

Na Sifael Paul
Hatimaye! Kwa mara ya kwanza staa ‘the big name’ wa Bongo Fleva ndani na nje ya Bongo, Ali Saleh Kiba ameibuka na kumlipua hasimu wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, hali inayotafsiriwa kwamba bifu lao sasa limefika pabaya ikidaiwa kwamba wanagombea nyota (ustaa). Staa ‘the big name’ wa Bongo Fleva ndani na nje ya Bongo, Ali Saleh Kiba. Kupitia Kipindi cha The Sporah...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ali Kiba: ‘Kolabo’ na Diamond haitatokea

NYOTA wa muziki wa kizazi kipya nchini, Ali Kiba, amesema haitakuja kutokea kufanya ‘kolabo’ na msanii wa muziki huo, Naseeb Abdul ‘Diamond Platinum’ katika maisha yake. Kauli hiyo ya Ali...

 

5 years ago

BBCSwahili

Rais wa Guinea-Bissau Cipriano Cassamá ajiuzulu baada ya 'kutishiwa kuuawa'

Guinea-Bissau, yenye historia ya mapinduzi, imekuwa na marais wawili baada ya chaguzi zilizosusiwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani