Fahmi Dovutwa adai kutishiwa kuuawa
Sumu iliyomwagwa na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Seif Shariff Hamad imeanza kuwatafuna baadhi ya viongozi Taasisi ya Demokrasia nchini (TCD), akiwamo mwenyekiti wake, John Cheyo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLMWENYEKITI WA UPDP FAHMI DOVUTWA AFANYA MAHOJIANO NA GLOBAL TV ONLINE
Mwenyekiti wa Chama cha UPDP Taifa na Mjumbe wa Mkutano wa Bunge Maalum la Katiba, Fahmi Dovutwa akisikiliza swali wakati akihojiwa ndani ya Global TV Online. Fahmi Dovutwa akipozi na Mhariri wa…
10 years ago
Mwananchi31 May
NANI NI NANI URAIS: Fahmi Dovutwa: Mwenyekiti wa chama cha UPDP
Historia yake
Fahmi Nasoro Dovutwa ni Mwenyekiti wa kitaifa wa Chama cha United Peoples Democratic Party (UPDP). Alizaliwa Februari 27, 1957 mjini Kisarawe mkoani Pwani (Amefikisha miaka 58 Februari mwaka huu).
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ARLRee19CK43E2POR*mFcVgVFaXn0O*IJwX3TJj3AoIZAoCiDTBAfjrAwRn1PltjAtlQJQRor-pXI1XbNGpzZ2v7z3pRhgDS/DIAMOND.jpg?width=650)
ALI KIBA KUTISHIWA KUUAWA, DIAMOND KUHOJIWA POLISI
Andrew Carlos na Shakoor Jongo
SAKATA la staa wa Bongo Fleva, Ally Saleh ‘Ali Kiba’ kunusurika kuuawa na watu wasiojulikana kwa kutumia bastola limechukua sura mpya, safari hii, Nasibu Abdul ‘Diamond’ amefunguka kuwa amejiandaa kuhojiwa na polisi. Ally Saleh ‘Ali Kiba’. Kwa mujibu wa chanzo chetu katika jeshi hilo jijini Dar, Diamond ambaye amekuwa akitajwa sana katika sakata hilo kupitia...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-L0PnCHpewT0/Vbz_AxWlvMI/AAAAAAAHtIM/ENz3J-ggd6k/s72-c/DSC_5634.jpg)
MBIO ZA URAIS 2015: MCHUNGAJI MTIKILA WA DP, FAHMI DOVUTWA WA UPDP,MAXMILLIAN LYIMO WA TLP WACHUKUA FOMU ZA UTEUZI ZA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI NEC
![](http://3.bp.blogspot.com/-L0PnCHpewT0/Vbz_AxWlvMI/AAAAAAAHtIM/ENz3J-ggd6k/s640/DSC_5634.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-GohRAeWI1Mw/Vbz_A9asL_I/AAAAAAAHtIE/XpMWjagnr3E/s640/DSC_7629.jpg)
5 years ago
BBCSwahili02 Mar
Rais wa Guinea-Bissau Cipriano Cassamá ajiuzulu baada ya 'kutishiwa kuuawa'
Guinea-Bissau, yenye historia ya mapinduzi, imekuwa na marais wawili baada ya chaguzi zilizosusiwa.
10 years ago
Mwananchi21 Aug
Wadai kulawitiwa, kutishiwa maisha Kigamboni
Wanafunzi wenye umri kati ya miaka 9 hadi 12 katika Shule ya Msingi Kivukoni iliyopo Kigamboni wanalawitiwa na vijana wa mitaani na kutishiwa maisha iwapo watatoa taarifa za kufanyiwa vitendo hivyo, uchunguzi wa gazeti hili umebaini.
9 years ago
Bongo525 Aug
Exclusive: Diva apanga kumshtaki Diamond kwa madai ya kudhalilishwa na kutishiwa kupigwa
Mtangazaji wa Clouds FM, Diva aka The Bawse amedai kupanga kumfungulia mashtaka Diamond Platnumz kwa madai kuwa staa huyo alimdhalilisha live kwenye redio na kumtishia kumpiga. Tukio hilo lilitokea jana mchana kwenye kipindi cha XXL ambapo mtangazaji wa kipindi hicho, Bdozen alitaka kujua kwanini wawili hao hawaelewani. Diamond alidai kuwa Diva amekuwa akimuongelea vibaya kwenye […]
11 years ago
Tanzania Daima19 Feb
Dovutwa awavaa CCM
MWENYEKITI wa Chama cha UPDP, Fahmin Dovutwa amesema mchakato wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa kuwahoji wanachama wake walioanza mbio za urais 2015 unatia shaka. Dovutwa alitoa kauli hiyo juzi...
10 years ago
GPLMAMA MJANE ANA SIKU TATU HAJATOKA NJE AKIDAI KUTISHIWA KUUWAWA KISA ARDHI
Mama Aureria Msuya (mjane) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani). Waandishi wa habari wakizungumza na mama huyo(hayupo pichani) akiwa kajifungia ndani.…
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania