Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Exclusive: Diva apanga kumshtaki Diamond kwa madai ya kudhalilishwa na kutishiwa kupigwa

Mtangazaji wa Clouds FM, Diva aka The Bawse amedai kupanga kumfungulia mashtaka Diamond Platnumz kwa madai kuwa staa huyo alimdhalilisha live kwenye redio na kumtishia kumpiga. Tukio hilo lilitokea jana mchana kwenye kipindi cha XXL ambapo mtangazaji wa kipindi hicho, Bdozen alitaka kujua kwanini wawili hao hawaelewani. Diamond alidai kuwa Diva amekuwa akimuongelea vibaya kwenye […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

EXCLUSIVE: TEVEZ AFUNGUKA ALIVYOTESWA, KUDHALILISHWA

Majeraha ya mgongoni aliyopata, Jumanne Hassan ‘Tevez’ wakati wa kuteswa.Na Musa MatejaEXCLUSIVE! Kile kisa cha mtalaka wa mwimba taarab mahiri Bongo, Aisha Ramadhani Nkongo ‘Isha Mashauzi’, Jumanne Hassan ‘Tevez’ kuteswa na kudhalilishwa nchini Afrika Kusini kisa kikidaiwa ni kudhulumu mzigo wa wafanyabiashara wenzake kimeingia awamu nyingine!Kwa mara ya kwanza Gazeti Pendwa la Amani Tanzania limeweza kuzungumza na Tevez kwa dakika arobaini na tano kutokea nchini humo ambako anauguza...

 

9 years ago

GPL

SIRI 4 MATUSI YA DIAMOND KWA DIVA

NImtifuano! Agosti 24, mwaka huu ilikuwa siku mbaya kwa nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ au baba Tiffah na mtangazaji anayekimbiza kwa sauti tamu hewani, Loveness Malinzi ‘Diva’ kufuatia kupishana lugha ndani ya studio za redio na hivyo, Diamond kumvurumishia matusi mwenzake.  ...Soma zaidi====>http://bit.ly/1U7HXqj ...

 

11 years ago

GPL

ALI KIBA KUTISHIWA KUUAWA, DIAMOND KUHOJIWA POLISI

Andrew Carlos na Shakoor Jongo
SAKATA la staa wa Bongo Fleva, Ally Saleh ‘Ali Kiba’ kunusurika kuuawa na watu wasiojulikana kwa kutumia bastola limechukua sura mpya, safari hii, Nasibu Abdul ‘Diamond’ amefunguka kuwa amejiandaa kuhojiwa na polisi. Ally Saleh ‘Ali Kiba’. Kwa mujibu wa chanzo chetu katika jeshi hilo jijini Dar, Diamond ambaye amekuwa akitajwa sana katika sakata hilo kupitia...

 

9 years ago

StarTV

Mwili waharibika kwa madai ya kuhifadhiwa chini kwa  madai ya uzembe Sekou Toure

Mwili wa kijana aliyekuwa akiishi mitaani jijini Mwanza marehemu Baraka Hamisi hatimaye umezikwa baada ya kukosa hifadhi katika jokofu la maiti kwa takribani siku sita katika Hospitali ya Mkoa wa Mwanza Sekou Toure

Marehemu Bakari Hamisi mwenye umri wa miaka 22 kijana wa mitaani aliyekuwa akijishughulisha na biashara ndogondogo alifariki dunia alipokuwa akipelekwa hospitalini hapo na vijana wenzake wa mitaani kwa ajili ya kupata matibabu.

Awali kabla ya kufikwa na mauti, vijana wenzake wa...

 

10 years ago

GPL

TAMKO LA KUDHALILISHWA KWA MASHEIKH WANAOTUHUMIWA KWA UGAIDI

Katibu Mkuu wa Baraza Kuu na jumuiya na taasisi za Kiislam Tanzania, Ramadhani Sanze akisisitiza jambo. Sheikh Ally Baswalehe akisikiliza swali.…

 

10 years ago

Bongo Movies

Diamond atangaza rasmi kufunga ndoa na Wema. Apanga kufanya harusi uwanja wa taifa

Msanii huyo ghali zaidi nchini kwa sasa, ametamka hayo alipozungumza na Mwanaspoti nyumbani kwake Sinza jijini Dar es Salaam juzi Jumatano. Alisema kuna mambo mengi yaliyomchelewesha kufikia hatua hiyo, ikiwamo maandalizi kwani amepanga mashabiki wake wahudhurie harusi hiyo.

“Ndoa ni kitu cha heri na baraka, lakini kitu kinachofanya kidogo mambo yachelewe ni kwamba sisi au mimi ni mtu ninayefahamika, kwa hiyo hata ndoa yangu watu wengi wanatamani waihudhurie,” alisema Diamond.

Pia...

 

9 years ago

GPL

DIAMOND, DIVA KWANI ‘VEPE’, MMEJISAHAU EE?

KUNA baadhi ya nyakati unajikuta unashangazwa na baadhi ya maneno unayoweza kuyasikia kutoka kwa watu unaowaheshimu, hasa yanapotolewa hadharani. Binadamu tumeumbwa tukiwa na udhaifu mwingi, ingawa wapo baadhi ya wenzetu, licha ya kujua kuwa hakuna asiye na upungufu, wamekuwa hodari wa kuhubiri ya wenzao, huku yao, ambayo ni mabaya zaidi, wakiyaweka kando.
Na lipo pia tatizo la vijana wa mjini, kuelemewa sana na maneno ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani