Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SIRI 4 MATUSI YA DIAMOND KWA DIVA

NImtifuano! Agosti 24, mwaka huu ilikuwa siku mbaya kwa nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ au baba Tiffah na mtangazaji anayekimbiza kwa sauti tamu hewani, Loveness Malinzi ‘Diva’ kufuatia kupishana lugha ndani ya studio za redio na hivyo, Diamond kumvurumishia matusi mwenzake.  ...Soma zaidi====>http://bit.ly/1U7HXqj ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Exclusive: Diva apanga kumshtaki Diamond kwa madai ya kudhalilishwa na kutishiwa kupigwa

Mtangazaji wa Clouds FM, Diva aka The Bawse amedai kupanga kumfungulia mashtaka Diamond Platnumz kwa madai kuwa staa huyo alimdhalilisha live kwenye redio na kumtishia kumpiga. Tukio hilo lilitokea jana mchana kwenye kipindi cha XXL ambapo mtangazaji wa kipindi hicho, Bdozen alitaka kujua kwanini wawili hao hawaelewani. Diamond alidai kuwa Diva amekuwa akimuongelea vibaya kwenye […]

 

10 years ago

Michuzi

Mh. Pindi Chana azindua kampeni ya Mpe riziki si matusi yenye lengo la kuondoa lugha chafu na matusi kwa wanawake wa sokoni

Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Mhe. Dkt. Pindi Chana (Mb) akizundua kampeni ya Mpe riziki si matusi yenye lengo la kuondoa lugha chafu na matusi kwa wanawake wa sokoni na wanaofanya shughuli zao katika sekta zisizo rasmi. Uzinduzi huo umefanyika katika ukumbi wa Belinda Jijini Dar es salaam tarehe 27 Februari 2015. Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Mhe. Dkt. Pindi Chana akizungumza mara baada ya kuzindua kampeni ya Mpe riziki si matusi yenye lengo la...

 

9 years ago

GPL

DIAMOND, DIVA KWANI ‘VEPE’, MMEJISAHAU EE?

KUNA baadhi ya nyakati unajikuta unashangazwa na baadhi ya maneno unayoweza kuyasikia kutoka kwa watu unaowaheshimu, hasa yanapotolewa hadharani. Binadamu tumeumbwa tukiwa na udhaifu mwingi, ingawa wapo baadhi ya wenzetu, licha ya kujua kuwa hakuna asiye na upungufu, wamekuwa hodari wa kuhubiri ya wenzao, huku yao, ambayo ni mabaya zaidi, wakiyaweka kando.
Na lipo pia tatizo la vijana wa mjini, kuelemewa sana na maneno ya...

 

10 years ago

Bongo Movies

Mashabiki wa Wema Sepetu na Diamond Platnumz..Matusi Hayamjengi Mtu, Yanambomoa!

Kwa mashabiki wa Wema Sepetu na Diamond Platnumz. Hawa wawili ni wasanii wetu wanaokubalika nchini, kila mmoja kwa namna yake na kila mmoja ana mashabiki wake. Waliwahi kuwa wapenzi lkn mambo hayakwenda kama mashabiki na wao walivyotaka wakaamua kwa amani kuachana. Lakini bado wanaheshimiana na hata familia zao zinaheshimiana. Na Wema Sepetu bado anamsapoti Diamond ni msanii wake wa kwanza nchini anayependa kazi zake.

Mpaka hapo, ukishaelewa hayo huwezi kupata ujasiri wa kuwatukana...

 

9 years ago

MillardAyo

Sentensi za Diva kuhusu Prezzo na Diamond Platnumz kwenye interview ya Mkasi Dec 21,2015

Mtu wangu kama hukuwa karibu na TV yako kuangalia show ya Mkasi on EATV December 21, 2015 usiku hizi ni sentensi za Mtangazaji wa Clouds FM, Diva aka The Bawse kuhusu uhusiano na rapper kutokea Kenya Prezzo pamoja na ugomvi uliotokea Agosti 24, 2015 kwenye kipindi cha XXL kati yake na Diamond Platnumz. ‘Kwanza Prezo tulikuwa […]

The post Sentensi za Diva kuhusu Prezzo na Diamond Platnumz kwenye interview ya Mkasi Dec 21,2015 appeared first on TZA_MillardAyo.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

CCM: YAANZA KUUZA UZA -HISA ZA PBL KWA $$$: milioni 80. SIRI SIRI

Asalamu Alaikhum Ndugu Watanzania Wa Zanzibar na Tanganyika natumai mumeamka salama na muko katika harakati za kutafuta KIJIO. Ama mimi sina budi ila kumshukuru Mwenyezi Mungu kwakunijaalia kunipa uzima, afay na muda huu mdogo wakufikisha ujumbe […]

The post CCM: YAANZA KUUZA UZA -HISA ZA PBL KWA $$$: milioni 80. SIRI SIRI appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

Bongo5

Diva kusherehekea Christmas kwa kutoa msaada kwa watoto yatima

Mtangazaji wa Clouds FM, Loveness aka Diva, atasherehekea sikukuu ya Christmas kwa kutoa msaada kwa watoto yatima wanaolelewa kwenye kituo cha Kigamboni Orphanage. Msaada huo utatolewa chini ya taasisi yake ya Diva Giving For Charity. “Together we rise, ni new Project iliokaa chini kwa muda mrefu sana kukusanya michango ya hapa na pale ili kuwasaidia […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani