DIAMOND, DIVA KWANI ‘VEPE’, MMEJISAHAU EE?
![](http://api.ning.com:80/files/BKb27P3JwiFVcas6HB221zDbaZmwqEmhTlr*ye1KjUTXYRJDekHXqOCgpz84GZmp8unXpqjQBgLmSw1NDhrP4*a2Athq6QVk/MAMAWEMA.jpg)
KUNA baadhi ya nyakati unajikuta unashangazwa na baadhi ya maneno unayoweza kuyasikia kutoka kwa watu unaowaheshimu, hasa yanapotolewa hadharani. Binadamu tumeumbwa tukiwa na udhaifu mwingi, ingawa wapo baadhi ya wenzetu, licha ya kujua kuwa hakuna asiye na upungufu, wamekuwa hodari wa kuhubiri ya wenzao, huku yao, ambayo ni mabaya zaidi, wakiyaweka kando. Na lipo pia tatizo la vijana wa mjini, kuelemewa sana na maneno ya...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/HD0RdVTwp0B7lF8NfvyauFed5wygwyf5EzJ2p7a0ksvhbMMBE3DWfSnLo8DEQJXMMLGBsU1TWAdHCwi9dcIUXuSo0TvNFRGw/Diamond.gif?width=650)
SIRI 4 MATUSI YA DIAMOND KWA DIVA
9 years ago
Bongo525 Aug
Exclusive: Diva apanga kumshtaki Diamond kwa madai ya kudhalilishwa na kutishiwa kupigwa
9 years ago
MillardAyo22 Dec
Sentensi za Diva kuhusu Prezzo na Diamond Platnumz kwenye interview ya Mkasi Dec 21,2015
Mtu wangu kama hukuwa karibu na TV yako kuangalia show ya Mkasi on EATV December 21, 2015 usiku hizi ni sentensi za Mtangazaji wa Clouds FM, Diva aka The Bawse kuhusu uhusiano na rapper kutokea Kenya Prezzo pamoja na ugomvi uliotokea Agosti 24, 2015 kwenye kipindi cha XXL kati yake na Diamond Platnumz. ‘Kwanza Prezo tulikuwa […]
The post Sentensi za Diva kuhusu Prezzo na Diamond Platnumz kwenye interview ya Mkasi Dec 21,2015 appeared first on TZA_MillardAyo.
10 years ago
Mwananchi10 Nov
Ajabu! Wabunge wetu mmejisahau, mmegeuka kuwa janga
10 years ago
Bongo Movies20 Dec
MONALISA: Eti Kwani Tunafanana?
UTANI KIDOGO: Mwigizaji nguli wa filamu hapa nchini Yvonne Cherrie “Monalisa” ametupia picha hii mtandaoni akiwa na mama yake ambae pia ni muigizaji,Susan Lewis “Natasha” na kuandika maneno ya kiutani zaidi akijiita yeye CHEUSI na mama yake MAMVI nakuwauliza mashabiki kama wawili hawa wanafanana.
“Nipo na mamvi,nimekutana nae kang'ang'ania kupiga picha na cheusi mangala eti kwani tumefanana?”
Monalisa ni mwigizaji na muongozaji wa filamu mkongwe hapa Afrika ya mashariki naamesha shinda...
9 years ago
Raia Mwema23 Sep
Kinana, kwa nini? Kwani kunani?
NIMEKUWA nikiyasoma, tena na tena, makala ya Abdulrahman Kinana, Katibu Mkuu wa Chama cha Mapindu
Ahmed Rajab
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/JcikeZL6OiLnweJSD6GJFOfcpyN8ZhYDXRPNEm-4fi7SRJP2rug3TF1pcfeG6Hq8gVzYVQARiYWZ0XG1k7aTrPhJ23J1Xw1T/MAMAWEMA.jpg)
TID, KWANI WEWE NI MNYAMA KWELI?