Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MONALISA: Eti Kwani Tunafanana?

UTANI KIDOGO: Mwigizaji nguli wa filamu  hapa nchini Yvonne Cherrie “Monalisa” ametupia picha hii mtandaoni akiwa na mama yake ambae pia ni muigizaji,Susan Lewis “Natasha” na kuandika maneno ya kiutani zaidi akijiita yeye CHEUSI na mama yake MAMVI nakuwauliza mashabiki kama wawili hawa  wanafanana.

“Nipo na mamvi,nimekutana nae kang'ang'ania kupiga picha na cheusi mangala eti kwani tumefanana?”

Monalisa ni mwigizaji na muongozaji wa filamu mkongwe hapa Afrika ya mashariki naamesha shinda...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

ETI ‘SIWEZI KUISHI BILA YEYE’ KWANI YEYE NANI?

Hakuna shaka tulio wengi tupo katika uhusiano wa kimapenzi wa mashaka. Hakuna hata mmoja wetu ambaye anaweza kujiaminisha kwa asilimia mia moja kwamba mpenzi wake aliye naye anampenda kwa dhati kabisa au anazuga. Hii inabaki kuwa siri ya anayependa!

Lakini sasa, kuna kitu nilichogundua miongoni mwetu, kitu ambacho tusipokuwa makini nacho tunaweza kujikuta tunajilazimisha kuishi maisha ya huzuni wakati tunayo haki ya kuishi maisha yenye furaha.
Ukweli ni kwamba, kila mtu anao uhuru wa kupenda...

 

10 years ago

GPL

ETI ‘SIWEZI KUISHI BILA YEYE’ KWANI YEYE NANI?

Hakuna shaka tulio wengi tupo katika uhusiano wa kimapenzi wa mashaka. Hakuna hata mmoja wetu ambaye anaweza kujiaminisha kwa asilimia mia moja kwamba mpenzi wake aliye naye anampenda kwa dhati kabisa au anazuga. Hii inabaki kuwa siri ya anayependa! Lakini sasa, kuna kitu nilichogundua miongoni mwetu, kitu ambacho tusipokuwa makini nacho tunaweza kujikuta tunajilazimisha kuishi maisha ya huzuni wakati tunayo haki ya kuishi maisha...

 

10 years ago

GPL

ETI ‘SIWEZI KUISHI BILA YEYE’, KWANI YEYE NI ‘OKSIJENI’?

Hakuna shaka tulio wengi tupo katika uhusiano wa kimapenzi wa mashaka. Hakuna hata mmoja wetu ambaye anaweza kujiaminisha kwa asilimia mia moja kwamba mpenzi wake aliye naye anampenda kwa dhati kabisa au anazuga. Hii inabaki kuwa siri ya anayependa! Lakini sasa, kuna kitu nilichogundua miongoni mwetu, kitu ambacho tusipokuwa makini nacho tunaweza kujikuta tunajilazimisha kuishi maisha ya huzuni wakati tunayo haki ya kuishi...

 

10 years ago

Bongo Movies

Uwiii! Eti, eti, Kajala anatumia nafasi ya kuonekana kwenye TV "kuvutia mabwana", Nora huyo karopoka

Muigizaji maarufu nchini aliyetamba mwanzoni mwa miaka ya 2000 Nora Nuru Nassoro aliyepotea kwa muda, ameibukia kwenye Runinga ya EATV na kumbutua staa mwenzake, Kajala Masanja kwamba, anatumia nafasi ya kuonekana kwenye filamu kujipatia wanaume kama si mabwana!

 

Akizungumza kupitia Kipindi cha Mkasi kinachoratibiwa na Mtangazaji Salama Jabir, Jumatatu iliyopita, Nora alisema fani ya uigizaji imevamiwa kwa sasa kwani kuna watu ambao wanaingia kwenye gemu ili wauze sura na kuonekana na...

 

10 years ago

GPL

TID, KWANI WEWE NI MNYAMA KWELI?

INAUMA kidogo kuandika kuhusu mtu ambaye umefanya naye kazi kwa karibu kwa kipindi kirefu, anapoendelea kuripotiwa kufanya matukio yanayotofautiana na nafasi yake katika jamii. Na inauma zaidi, vitendo hivyo vinavyoripotiwa kufanywa naye, mwisho wa siku vinaweza kumfanya akajikuta yupo chini ya vyombo vya sheria. Hapa ninamzungumzia Khalid Mohamed, yule kijana wa Kinondoni, jijini Dar es Salaam anayefahamika zaidi kwa jina la...

 

9 years ago

Raia Mwema

Kinana, kwa nini? Kwani kunani?

NIMEKUWA nikiyasoma, tena na tena, makala ya Abdulrahman Kinana, Katibu Mkuu wa Chama cha Mapindu

Ahmed Rajab

 

10 years ago

Mwananchi

Kwani dhambi 2015 tukijitoe michezo yote?

Leo ni siku ya 349 kwa mwaka huu kabla ya kuhitimisha siku 365 na robo.  

 

10 years ago

GPL

DIDA NIGOMBEE BWANA, KWANI WANAUME WAMEISHA?

Stori:mayasa mariwata
MTANGAZAJI  wa Redio Times FM, Khadija Shaibu ‘Dida’ amesema siku zote anapokuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi akigundua mtu wake ana ‘date’ na mwanamke mwingine, kamwe hatathubutu kugombea bwana ila atanawa mikono. Mtangazaji wa Redio Times FM, Khadija Shaibu ‘Dida’ akipozi. Akibonga na paparazi wetu hivi karibuni Dida alisema, hakuna kitu ambacho kwake anaona ni...

 

9 years ago

Bongo5

Music: Dully Sykes — Kwani wewe ni Nani?

Msanii nguli wa Bongo Fleva Dully Sykes amechia wimbo mpya unaitwa “Kwani wewe ni Nani?”. Studio za 4:12 Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani