DIDA NIGOMBEE BWANA, KWANI WANAUME WAMEISHA?
![](http://api.ning.com:80/files/YRV3Lv4YkEJez7HIeWyP7iLLAw32bT1OJ-i9dR2N0KgFtgXi6eqqQnxtwuC0705HcdxIntrb0qKqCGR95VXGJtw2Lx-pf-Nx/IMG20131113WA0001.jpg?width=650)
Stori:mayasa mariwata MTANGAZAJI wa Redio Times FM, Khadija Shaibu ‘Dida’ amesema siku zote anapokuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi akigundua mtu wake ana ‘date’ na mwanamke mwingine, kamwe hatathubutu kugombea bwana ila atanawa mikono. Mtangazaji wa Redio Times FM, Khadija Shaibu ‘Dida’ akipozi. Akibonga na paparazi wetu hivi karibuni Dida alisema, hakuna kitu ambacho kwake anaona ni...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi26 Apr
Nafuatwa nigombee urais, asema Dk Mahiga
10 years ago
VijimamboMWENYEKITI WA TAWI LA CCM NY BWANA SELF AKIDA AENDA KUTOA POLE NYUMBANI KWA BWANA KIBODYA.
Nyumbani kwa Bwana Isaac Kibondya akiongea na watu walioenda kumpa pole nyumbani kwake baada ya kufiwa na mkwe wake, Kifo kimetokea huko Tanzania siku ya Tarehe July, 16. Marehemu ni mzazi wa Mke wa Bwana Kibodya na Kama inakumbukwa wote walikuwa Tanzania kumuona marehemu akiwa anaumwa mwezi uliopita.
Mwenyekiti wa tawi la CCM New York bwana Seif Akida pamoja na Ny Ebra wote kutoka New York wakiwa nyumbani kwa bwana Kibodya Vail, Springfield. MA kutoa pole.
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ykZ*wTWqMzZDyeAbjFMqxoGqJasG1UF4qL4mU2FyO7YOJRmJDPRrhoTCw8ytuimrnKBkfwa8rsHRew6aDEpg2egr7raIhOnc/MenCantResistAboutAWoman.jpg?width=650)
WAMEISHA MPAKA UMPENDE MPENZI WA RAFIKI YAKO?
9 years ago
Vijimambo14 Aug
WAMEISHA MPAKA UMPENDE MPENZI WA RAFIKI YAKO?
![](http://api.ning.com/files/ykZ*wTWqMzZDyeAbjFMqxoGqJasG1UF4qL4mU2FyO7YOJRmJDPRrhoTCw8ytuimrnKBkfwa8rsHRew6aDEpg2egr7raIhOnc/MenCantResistAboutAWoman.jpg?width=650)
Leo nataka kuzungumzia ile hali ya mtu kutokea kumpenda mtu ambaye tayari yuko kwenye uhusiano wa kimapenzi. Hilo limekuwa likitokea sana huko mtaani, unakuta kijana anampenda sana mke wa mtu kiasi cha kutamani aachike amuoe yeye.
Si hivyo tu, unakuta mwanamke anatokea kumzimikia mume wa mtu na kuhisi yeye ndiye alistahili kuolewa na...
10 years ago
Mwananchi24 Dec
Tibaijuka: Bwana alitoa, bwana ametwaa
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-gl49bYfuLRU/VV4Ef12encI/AAAAAAAAuI4/VXWFgPJinb8/s72-c/07dcmbege.jpg)
Story ya wanawake wa Rombo kukodi wanaume Kenya kuwaridhisha kimapenzi yatinga bungeni, wanaume wataka waombwe radhi
![](http://4.bp.blogspot.com/-gl49bYfuLRU/VV4Ef12encI/AAAAAAAAuI4/VXWFgPJinb8/s640/07dcmbege.jpg)
Habari iliyoandikwa kwenye gazeti la Mwananchi juzi yenye kichwa cha habari ‘Wanawake wa Rombo wakodi wanaume kutoka Kenya’ imeibukia bungeni leo.Habari hiyo iliandikwa kutokana na kauli aliyoitoa mkuu wa wilaya ya Rombo, Lembris Kipuyo, aliyedai kuwa kutokana na wanaume wa wilaya hiyo kuwa walevi wa kutupa, wake zao wamekuwa wakikodi wanaume kutoka Kenya ili kuwaridhisha kimapenzi.
“Tatizo la ulevi wilayani Rombo na matumizi ya pombe zisizokuwa na viwango ni kubwa sana na linahitaji nguvu...
10 years ago
Bongo Movies20 Dec
MONALISA: Eti Kwani Tunafanana?
UTANI KIDOGO: Mwigizaji nguli wa filamu hapa nchini Yvonne Cherrie “Monalisa” ametupia picha hii mtandaoni akiwa na mama yake ambae pia ni muigizaji,Susan Lewis “Natasha” na kuandika maneno ya kiutani zaidi akijiita yeye CHEUSI na mama yake MAMVI nakuwauliza mashabiki kama wawili hawa wanafanana.
“Nipo na mamvi,nimekutana nae kang'ang'ania kupiga picha na cheusi mangala eti kwani tumefanana?”
Monalisa ni mwigizaji na muongozaji wa filamu mkongwe hapa Afrika ya mashariki naamesha shinda...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/JcikeZL6OiLnweJSD6GJFOfcpyN8ZhYDXRPNEm-4fi7SRJP2rug3TF1pcfeG6Hq8gVzYVQARiYWZ0XG1k7aTrPhJ23J1Xw1T/MAMAWEMA.jpg)
TID, KWANI WEWE NI MNYAMA KWELI?
9 years ago
Raia Mwema23 Sep
Kinana, kwa nini? Kwani kunani?
NIMEKUWA nikiyasoma, tena na tena, makala ya Abdulrahman Kinana, Katibu Mkuu wa Chama cha Mapindu
Ahmed Rajab