Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nafuatwa nigombee urais, asema Dk Mahiga

Iringa. Balozi wa zamani wa Tanzania kwenye ofisi ya Umoja wa Mataifa (UN), Dk Augustine Mahiga amesema anafuatwa na makundi ya watu wanaomshawishi achukue fomu kuwania urais wa Jamhuri ya Muungano kwa tiketi ya CCM, lakini hajatoa jibu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Dk Mahiga kada wa 25 urais CCM

>Mwanadiplomasia mkongwe nchini, Dk Augustine Mahiga ametangaza nia ya kugombea urais na kuahidi kuimarisha misingi ya Taifa na kutengeneza mwelekeo imara wa nchi kuelekea uchumi wa kipato cha kati.

 

10 years ago

Habarileo

Balozi Mahiga rasmi urais CCM

Balozi Mahiga na mkewe, Elizabeth.MWANADIPLOMASIA maarufu, Balozi Dk Augustine Mahiga ametangaza nia kukiomba Chama Cha Mapinduzi (CCM) kumfikiria na hatimaye kupendekeza ili apate fursa ya kugombea nafasi ya Urais wa Tanzania.

 

10 years ago

Michuzi

BALOZI MAHIGA ATANGAZA NIA YA KUGOMBEA URAIS

Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii
ALIYEKUWA Balozi wa Kudumu wa Umoja wa Mataifa,Dk.  Augustine Mahiga ametangaza nia ya kugombea urais ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM), jijini Dar es salaam leo.
Akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo jijini Dar es Salaam, Mahiga amesema maadili yamemomonyoka na kufanya kuwepo kwa rushwa na ufisadi.
Mahiga amesema ubadhirifu na ufisadi katika taifa kunahitajika kuwepo kwa mwelekeo katika kuweza kupambana na vitu hivyo ili...

 

10 years ago

GPL

BALOZI MAHIGA AJITOSA MBIO KUWANIA URAIS WA TANZANIA

Balozi Dr. Augustine Mahiga (kushoto) akiwa na mkewe, Elizabeth Mahiga (katikati) na kada wa CCM Eng. Lucas B.Chogo. Wanahabari wakifuatilia tukio hilo. ALIYEKUWA  Balozi wa Kudumu wa Umoja wa Mataifa, Dr. Augustine  Mahiga,   amesema anazo sifa zote za kumfanya kuwa rais bora wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Aliyasema hayo hapo jana katika Idara ya Habari (Maelezo) alipokuwa...

 

10 years ago

Vijimambo

BALOZI MAHIGA KISHATANGZA NIA YA URAIS CCM LEO HII

Balozi Mahiga aliyekuwa muwakilishi wa Tanzania UN akiwa na Rais wa Zanzibar Dr. Shein, Balozi Mahiga ametangaza nia ya urais baada ya kujitasmini kuwa anafaa kuwa rais wa Tanzania kupitia chama tawala CCM.

 

10 years ago

Michuzi

BALOZI DR. MAHIGA DAWA SI KUHAMA CCM ASEMA YEYE NI MKOMBOZI WA CCM IRINGA MJINI.


Balozi Dr Mahiga -Iringa mjini.
Na matukiodaimaBlogALIYEKUWA balozi wa kudumu  wa umoja  wa mataifa (UN) na mgombea urais katika mchakato  wa ndani ya chama cha mapinduzi (CCM) balozi Dr Augustono Mahiga anayeomba kuteuliwa kuwa mgombea ubunge jimbo la Iringa mjini kupitia CCM amewashangaa makada  maarufu wa chama  hicho  walioshindwa katika mchakato wa ndani ya chama kwa nafasi ya urais kuhama chama hicho kuwa hao hawakuwa na mapenzi ya kuwatumikia  watanzania na kuwa watazunguka kote ila...

 

10 years ago

GPL

DIDA NIGOMBEE BWANA, KWANI WANAUME WAMEISHA?

Stori:mayasa mariwata
MTANGAZAJI  wa Redio Times FM, Khadija Shaibu ‘Dida’ amesema siku zote anapokuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi akigundua mtu wake ana ‘date’ na mwanamke mwingine, kamwe hatathubutu kugombea bwana ila atanawa mikono. Mtangazaji wa Redio Times FM, Khadija Shaibu ‘Dida’ akipozi. Akibonga na paparazi wetu hivi karibuni Dida alisema, hakuna kitu ambacho kwake anaona ni...

 

10 years ago

BBCSwahili

Museveni asema ana imani atashinda urais

Rais wa Uganda Yoweri Museveni amesema wagombea urais wanaoshindana naye kwenye uchaguzi mkuu mwaka ujao si tishio kwake.

 

10 years ago

Mwananchi

Prof Maghembe asema urais si mashindano ya urembo

Waziri wa Maji, Profesa Jumanne Maghembe ameshangazwa na utitiri wa watu wanaotaka kugombea urais kwenye Uchaguzi Mkuu 2015, akisema nafasi hiyo ya juu nchini haifanani na mashindano ya urembo ambayo mtu yeyote anaweza kujaribu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani