Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAMA MJANE ANA SIKU TATU HAJATOKA NJE AKIDAI KUTISHIWA KUUWAWA KISA ARDHI

Mama Aureria Msuya (mjane) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani). Waandishi wa habari wakizungumza na mama huyo(hayupo pichani) akiwa kajifungia ndani.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Mjane alazimika kulala nje siku tatu Arusha Kisha hiki hapa:

Mjane Agnes Paulo Makuru amelazimika kulala nje kwa siku ya tatu sasa na mali zake kutolewa nje, baada ya mahakama kutengua uamuzi wa awali uliomtaja kuwa mrithi halali wa Nyumba ya Marehemu mumewe katika maeneo ya Kona ya Mbauda na Mto wa mbu Arusha.

 Akiwa katika eneo la Kona Mbauda anapoendelea kulinda mali zake zilizotolewa nje, Agnes amesema kuwa walipata barua ya mahakama ikiwahamuru kukabidhi hati za nyumba mbili iliyoko  eneo la kona ya Mbauda pamoja na nyumba iliyoko Mto wa Mbu...

 

10 years ago

Habarileo

Marufuku kutoka nje siku tatu

SIERRA Leone jana ilianza siku tatu za kujifungia ndani kwa wananchi wote, ikiwa ni hatua ya kukabiliana na kusambaa kwa ugonjwa wa ebola.

 

10 years ago

GPL

MUHIMBILI VIFO NJE NJE KISA DAWA HAKUNA

Stori: Haruni Sanchawa na Makongoro Oging’I
NATISHA! Uhaba mkubwa wa madawa, ongezeko la ada ya kitanda na chakula katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, umesababisha watu wengi kupoteza maisha kufuatia wagonjwa kukosa huduma na hivyo kurejea majumbani mwao. Baadhi ya wagonjwa wakiwa katika moja ya wodi za Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Uchunguzi uliofanywa na gazeti hili umebaini kuwa baada ya Bohari Kuu ya Madawa...

 

10 years ago

Habarileo

Mchungaji afa na miaka 114, mjane ana miaka 30

MCHUNGAJI Samuel Sadela (114), wa Kanisa la Gospel Apostolic huko Nigeria aliyehubiri kwa miaka 82 amefariki dunia na kuacha mjane mwenye umri wa miaka 30 aitwaye Christina aliyemuoa miaka saba iliyopita.

 

10 years ago

Michuzi

Mjane wa Rais wa Awamu ya TATU wa ZANZIBAR MAREHEMU Idrisa Abdulwakil Afariki Dunia, azikwa leo

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akijumuika na Viongozi wengine katika kumswalia aliyekuwa Mke wa Marehemu Rais wa Awamu ya Tatu wa Zanzibar Idrisa Abdulwakil (awamu ya tatu) Bibi Rehema Khamis katika msikiti Luta Kiembesamaki na kuzikwa Chukwani leo Wananchi wakibeba Jeneza la Marehemu Bi Rehema Khamis  aliyekuwa Mke wa Marehemu Rais wa Awamu ya Tatu  wa Zanzibar Idrisa Abdulwakil (awamu ya tatu) Chukwani alikozikwa leo wilaya ya...

 

10 years ago

Bongo5

Tyga apanga kumchukua mwanae kutoka kwa Blac Chyna akidai mama yake anakula bata 24/7

Tyga anadhani Blac Chyna hana uwezo wa kumlea vyema mwanae sababu muda mwingi amekuwa akijirusha na kula bata. Rapper huyo ana wasiwasi kuwa Blac Chyna anavutiwa zaidi kwenda club kuliko kumlea mtoto wao mwenye miaka 2 King Cairo, na sasa amepanga kuiomba mahakama impe ruhusa ya kuishi naye. Tyga anaamini mzazi mwenzie amepoteza focus ya […]

 

11 years ago

Michuzi

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,Bernard Membe Alipompokea Binti Mfalme wa Sweden, Mtukufu Victoria Lugrid Alice Desiree mara baada ya kuwasili nchini kwa ziara ya kikazi ya siku tatu

 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akimpokea Binti Mfalme wa Sweden, Mtukufu Victoria Lugrid Alice Desiree mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Kambarage Nyerere, nchini Tanzania kwa ziara ya kikazi ya siku tatu kuanzia Tarehe 19 hadi 21 Machi, 2014.   Mhe. Membe akiwa katika mazungumzo na Binti Mfalme wa Sweden, Mtukufu Victoria Lugrid Alice Desiree mara baada ya kuwasili nchini.
Mkurugenzi wa Idara ya Ulaya...

 

11 years ago

GPL

CHEKIBUDI ANA WATOTO 7, MABINTI HAWAMTAKI KISA MANDEVU!

MIPANGO
Chekibudi wewe ni msanii mahiri wa filamu Bongo, je, una mpango gani wa kujiendeleza kwa sasa na uigizaji? Salim Liundi, Dar, 0659601205
CHEKIBUDI:  Asante, kuhusu kujiendeleza ni kwamba kazi zangu zipo nyingi na nitaendelea kutoa zenye ubora zaidi, pia nina mpango wa kufungua kampuni yangu. Msanii mahiri wa filamu Bongo,Nasoro Awardhi 'Cheki Budi'. VIPI KUTOKA KIMATAIFA?
Kwanza nakupa hongera kwa… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani