Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mjane alazimika kulala nje siku tatu Arusha Kisha hiki hapa:

Mjane Agnes Paulo Makuru amelazimika kulala nje kwa siku ya tatu sasa na mali zake kutolewa nje, baada ya mahakama kutengua uamuzi wa awali uliomtaja kuwa mrithi halali wa Nyumba ya Marehemu mumewe katika maeneo ya Kona ya Mbauda na Mto wa mbu Arusha.

 Akiwa katika eneo la Kona Mbauda anapoendelea kulinda mali zake zilizotolewa nje, Agnes amesema kuwa walipata barua ya mahakama ikiwahamuru kukabidhi hati za nyumba mbili iliyoko  eneo la kona ya Mbauda pamoja na nyumba iliyoko Mto wa Mbu...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MAMA MJANE ANA SIKU TATU HAJATOKA NJE AKIDAI KUTISHIWA KUUWAWA KISA ARDHI

Mama Aureria Msuya (mjane) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani). Waandishi wa habari wakizungumza na mama huyo(hayupo pichani) akiwa kajifungia ndani.…

 

10 years ago

Habarileo

Marufuku kutoka nje siku tatu

SIERRA Leone jana ilianza siku tatu za kujifungia ndani kwa wananchi wote, ikiwa ni hatua ya kukabiliana na kusambaa kwa ugonjwa wa ebola.

 

10 years ago

Vijimambo

Lema avamiwa na ‘UVCCM’, gari yake lavyunjwa vioo; alazimika kufyatua risasi tatu hewani kujiokoa!

Gari la Godbless Lema lililovunjwa kioo huko Clock Tower, Arusha
Mbunge wa Arusha Mjini Mh Godbless Lema amekubwa na tukio la aina yake maeneo ya Clock Tower Jijini hapa ambapo vijana wanaoaminika kuwa vijana “wafuasi wa UVCCM” walishamshambulia kwa mawe na kufanikiwa kuvunja kioo cha nyuma ubavuni cha gari la Mbunge huyo.

Tukio hilo la kustaajabisha na kutiasha katika swala la amani na usalama kipindi hiki cha kampeni za Serikali za mitaa lilitokea kwenye Sheli iliyopo mkabala na New Arusha...

 

11 years ago

Michuzi

MKUTANO WA NNE WA WADAU WA NSSF WAENDELEA KWA SIKU YA TATU JIJINI ARUSHA LEO

 Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali na Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini,Mh. Zitto Kabwe akiwasilisha mada yake iliyohusu Umuhimu wa Mifuko ya Hifadhi za Jamii kwa Sekta zisizo rasmi wakati wa Mkutano wa nne wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) unaoambatana na Maadhimisho ya Miaka 50 ya NPF-NSSF unaoendelea,kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha.  Bi. Faustina Nti kutoka nchini Ghana akiwasilisha Mada yake yenye kueleza uzoefu wa...

 

10 years ago

Michuzi

Mjane wa Rais wa Awamu ya TATU wa ZANZIBAR MAREHEMU Idrisa Abdulwakil Afariki Dunia, azikwa leo

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akijumuika na Viongozi wengine katika kumswalia aliyekuwa Mke wa Marehemu Rais wa Awamu ya Tatu wa Zanzibar Idrisa Abdulwakil (awamu ya tatu) Bibi Rehema Khamis katika msikiti Luta Kiembesamaki na kuzikwa Chukwani leo Wananchi wakibeba Jeneza la Marehemu Bi Rehema Khamis  aliyekuwa Mke wa Marehemu Rais wa Awamu ya Tatu  wa Zanzibar Idrisa Abdulwakil (awamu ya tatu) Chukwani alikozikwa leo wilaya ya...

 

11 years ago

Michuzi

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,Bernard Membe Alipompokea Binti Mfalme wa Sweden, Mtukufu Victoria Lugrid Alice Desiree mara baada ya kuwasili nchini kwa ziara ya kikazi ya siku tatu

 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akimpokea Binti Mfalme wa Sweden, Mtukufu Victoria Lugrid Alice Desiree mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Kambarage Nyerere, nchini Tanzania kwa ziara ya kikazi ya siku tatu kuanzia Tarehe 19 hadi 21 Machi, 2014.   Mhe. Membe akiwa katika mazungumzo na Binti Mfalme wa Sweden, Mtukufu Victoria Lugrid Alice Desiree mara baada ya kuwasili nchini.
Mkurugenzi wa Idara ya Ulaya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kilichowaangusha wasaliti hiki hapa

TAMAA ya madaraka na fedha, vimetajwa kama sababu kubwa zilizowasambaratisha wanasiasa wengi waliowahi kuvuma ndani ya vyama mbalimbali vya upinzani nchini tangu kurejea kwa mfumo wa vyama vingi mwaka 1992...

 

10 years ago

Mwananchi

Unajua unapaswa kulala saa ngapi kwa siku?

Shirika la Afya Duniani (WHO) linaielezea afya ya binadamu kuwa ni hali ya kustawi kimwili, kiakili na kijamii na siyo kukosa maradhi pekee.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani