Alichokifanya Messi Mapinduzi ni zaidi ya hatari
![](http://api.ning.com:80/files/3I-9LvQkoOQ7XpQMuBn5Kifm05xCBUMYJ-PBlf8wRIcZRhcF01NKG4bs3cbZi8RB2OPp1tDnVCySh7eNEx0qAB9z37-SJy98/MESI.jpg?width=650)
Kiungo mshambuliaji wa Simba, Ramadhani Singano. Na Abdi Suleiman, Zanzibar HAKIKA wale waliokuwa wanasema kuwa yawezekana kiungo mshambuliaji wa Simba, Ramadhani Singano alibahatisha kuwafanya ‘kitu mbaya’ mabeki wa Yanga, watakuwa wamekosea, kiungo huyo maarufu kwa jina la Messi, juzi alikuwa nyota wa mchezo na kuonyesha kiwango cha juu. Messi ambaye alifunga mabao yote katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Chuoni...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziBARABARA KIJICHI - MBAGALA KUU NI HATARI ZAIDI YA HATARI!
5 years ago
BBCSwahili29 Apr
Virusi vya Corona: Kwa nini ugonjwa huo ni hatari zaidi kwa wanaume zaidi ya wanawake
10 years ago
BBCSwahili24 Nov
Messi bora zaidi katika kandanda
10 years ago
BBCSwahili07 Jan
Messi mchezaji ghali zaidi duniani
10 years ago
Bongo503 Jan
Video: Lionel Messi aonesha control hatari ya mpira kwenye kipindi cha mchezo cha Japan
10 years ago
BBCSwahili19 Feb
WHO:Magonjwa ya Kitropiki hatari zaidi
10 years ago
Mwananchi09 Nov
Uchawi kuchangamkiwa na wa mjini ni hatari zaidi
10 years ago
Vijimambo09 Dec
WANAOFICHA ‘MAKUCHA’ KABLA YA NDOA NI HATARI ZAIDI!
Jumanne yetu ya leo tutakuwa na mada isemayo ‘wanaoficha ‘makucha’ kabla ya ndoa ni hatari zaidi’.
Nimelifungia neno ‘makucha’ kwa sababu kimazoea tunaita hivyo lakini kiuhalisia si makucha ni kucha. Zikiwa nyingi, ikiwa moja ni kucha!
Kuna wanaoficha makucha kabla ya ndoa ni msemo au hoja ambayo ipo miongoni mwa jamii yetu! Wengi hudai wapo wanawake au wanaume wenye tabia hii! Kwamba, kabla hajaolea au hajaoa...
11 years ago
Ykileo![](http://4.bp.blogspot.com/-d-evqmfxIik/U5MEWTRrQXI/AAAAAAAAAps/lfesbpFVj40/s72-c/00.jpg)
KUPERUZI KUPITIA WI-FI NI HATARI ZAIDI KIUSALAMA MTANDAO
![](http://4.bp.blogspot.com/-d-evqmfxIik/U5MEWTRrQXI/AAAAAAAAAps/lfesbpFVj40/s1600/00.jpg)
Haya niliyabainisha wakati nazungumzia changamoto mbali mbali tunazokumbana nazo za kiusalama mtandao kupitia matumizi yasiyo salama ya Wi-Fi yanayo endelea kushika kasi kaika maeneo mbali mbali hivi...