Messi bora zaidi katika kandanda
Nyota wa Barcelona Lionel Messi amesifiwa kuwa 'mchezaji bora zaidi katika historia ya kandanda', anasema rais Josep Maria Bartomeu.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili20 Jun
Cristiano Ronaldo na Lionel Messi: Ni nani atakayewarithi nyota wa mchezo wa kandanda duniani muongo huu?
Huku tukielekea katika muongo mpya, BBC Sport anauliza ni nani atakayechukua mahal pao Lionel Messi na Cristiano Ronaldo kama viongozi wa soka duniani?
10 years ago
BBCSwahili13 Apr
Mchezo wa bahati na sibu katika kandanda
Je unashbikia timu gani ya kandanda, Je umeshiriki mchezo wa kubahatisha ? Sikiza masaibu ya wapenzi wa timu za soka waliobashiri kushindwa
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-D37aWHuOehY/VEuIzpivlAI/AAAAAAAGtS8/6pCaCSOZEHI/s72-c/MMGM0812.jpg)
TEAMDIZOMOJA YAICHAPA TEAMISMAIL BAO 4-1 KATIKA KUSHEREHEKEA MIAKA 4 YA KUNDI LA KANDANDA
![](http://2.bp.blogspot.com/-D37aWHuOehY/VEuIzpivlAI/AAAAAAAGtS8/6pCaCSOZEHI/s1600/MMGM0812.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-RBGEbxkNbgM/VEuI1Vpui8I/AAAAAAAGtTE/lOgPb_9VuGE/s1600/MMGM0689.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-pMhpJXyfo0E/VDztO-T7RJI/AAAAAAAAnpQ/YPhplvwwTfE/s72-c/Dizo-Moja-na-ISmail-Banner.jpg)
Group la Kandanda katika Mtandao wa Facebook kuadhimisha miaka mitano ya uwepo wake
![](http://1.bp.blogspot.com/-pMhpJXyfo0E/VDztO-T7RJI/AAAAAAAAnpQ/YPhplvwwTfE/s1600/Dizo-Moja-na-ISmail-Banner.jpg)
Kuadhmisha siku hiyo, Members wa Kundi hilo wametengeneza timu ambazo ni #TeamDizomoja na #TeamIsmail, ambazo zitachuana siku hiyo katika viwanja vya TCC Sigara-Chang’ombe.
Timu hizo zote mbili zimekuwa na maandalizi ya Takribani Miezi miwili sasa, na usajili ulishafungwa tarehe 11/10/2014.
Sherehe hizo zinatarajiwa kuanza saa 3 Asubuhi ikifuatiwa na Offline...
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/08/2BB6AC0D00000578-3213173-image-a-3_1440697335072.jpg)
LIONEL MESSI MCHEZAJI BORA ULAYA
Mchezaji Bora wa Ligi ya Mabingwa Ulaya, Â Lionel Messi. MONACO, Ufaransa LIONEL Messi ametangazwa kuwa Mchezaji Bora wa Ligi ya Mabingwa Ulaya na kumpiku Cristiano Ronaldo katika tuzo zilizotolewa jana ambazo pia dunia ilishuhudia Manchester United ikirejea kwenye michuano hiyo hatua ya makundi. Messi, staa wa Barcelona, aliingia hatua ya fainali ya tuzo hizo pamoja na straika wa timu yake, Luis Suarez pamoja na Ronaldo wa...
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-_AimqVcz5hE/Vobhx7c-JLI/AAAAAAAIP08/1RWdns8p_Lg/s72-c/4f1928bd-440a-4f85-a1ef-25724e9bd413.jpg)
Kandanda Day 2015 yafungua mwaka kwa kukabidhi vitabu na mipira katika kituo cha watoto.
Baada ya kufanikisha kwa Tamasha la siku ya Kandanda hapo Oktoba 17 mwaka jana, Tamasha lililobeba Ujumbe wa "#OneBallOnTxt Book" ikiwa ni Dhima kamili ya kunyanyua Mchezo wa mpira wa miguu kuanzia ngazi ya shule ya msingi na kuwasisitizia watoto wetu umuhimu wa kusoma pia, Timu nzima ya Wanakandanda imeonelea Kuufungua Mwaka 2016 kwa kwenda kutembelea Kituo cha kulelea watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu na kukabidhi Mchango wao ambao ulitokana na mauzo ya fulana za Tamasha la Siku ya...
10 years ago
Bongo502 Dec
Nani kuibuka mwanasoka bora? Ni Ronaldo, Messi au Neuer?
Fifa imetoa orodha ya mwisho ya wachezaji watatu wanaowania tuzo ya mwanasoka bora duniani maarufu kwa jina la FIFA Ballon d’Or 2014. Cristiano Ronaldo, Lionel Messi na Manuel Neuer ndio wachezaji walioteuliwa kuwania tuzo ya FIFA Ballon d’Or 2014. Watatu hao ndiyo wameingia fainali na mshindi atapatikana Januari 12, 2015. Wachezaji hao ni Cristiano Ronaldo […]
10 years ago
BBCSwahili02 Dec
Tuzo Fifa:Ronaldo,Messi,Neuer nani bora?
Fifa imewataja Cristiano Ronaldo, Lionel Messi na Manuel Neuer kuwania Tuzo ya mchezaji bora wa Dunia.
10 years ago
BBCSwahili07 Jan
Messi mchezaji ghali zaidi duniani
Lionel Messi ampiga bao Christiano Ronaldo katika orodha ya Wachezaji wenye thamani duniani
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania