Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WHO:Magonjwa ya Kitropiki hatari zaidi

Shirika la Afya duniani,WHO limeanzisha Kampeni ya kutoa uelewa kuhusu magonjwa 17 ya kitropiki

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

BARABARA KIJICHI - MBAGALA KUU NI HATARI ZAIDI YA HATARI!

Barabara ya Kijichi – Mbagala Kuu, ndani ya jiji la Dar es Salaam kama ilivyokutwa jana na Mdau Nathan Mpangala. Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Butiama, Bw. Haji Mgaya, alisema, dhahma hiyo ni ya muda mrefu na Manispaa ya Temeke ina taarifa hiyo kwa kupindi chote hivyo,lakini mpaka leo iko kimya tu.  Hapa dereva ‘akilala’ tu, kilio kitongoji kizima zikifuatiwa na salamu za rambirambi nyiiingi toka kwa viongozi. Inawezekana Manispaa ya Temeke haina picha halisi ya hatari...

 

10 years ago

GPL

MAGONJWA HATARI KWA WANAWAKE

KUNA magonjwa mengi ya hatari kwa wanawake ambayo huwakumba kwenye viungo vya uzazi na dalili za kuyatambua ni nyingi japokuwa wanaume pia huweza kupatwa na matatizo hayo. DALILI KWA WANAWAKE
Kwa upande wa wanawake, wanaweza kutambua kwamba wana ugonjwa ambao utaathiri viungo vya uzazi kwa kutokwa na majimaji au ute kwenye uke. Wanawake wanapaswa kutafuta msaada wa kimatibabu kwa daktari wakigundua lolote kati ya haya...

 

10 years ago

GPL

MAGONJWA HATARI KWA WANAWAKE-4

Tumalizie makala yetu kwa kueleza athari za magonjwa ya ngono yasipotibiwa mapema: Kijana wa kike hupatwa na tatizo la kuziba mirija ya uzazi ambapo husababisha ama mimba kutunga nje ya mfuko wa uzazi au ugumba; maambukizi katika mfuko wa uzazi; kupata magonjwa katika viungo muhimu mwilini; magonjwa ya moyo na mishipa ya damu, kansa ya kizazi, mabadiliko ya hedhi na mwishowe Ukimwi. Lakini pia si vibaya tukieleza athari kwa kijana...

 

9 years ago

Global Publishers

Magonjwa hatari yatokanayo na kujamiiana- 2

TULIANZA wiki iliyopita kueleza magonjwa hatari ya kujamiiana, leo tunaendelea kueleza tukijikita zaidi kufafanua yanavyoambukiza, tukianza na kisonono, endelea…

Mara nyingi dalili za magonjwa ya zinaa huwa hazionekani mapema kwa wanawake na hata baadhi ya wanaume.Watu wengi huhisi kuwa, kitendo cha kubusiana kwa ‘kula denda’ni salama, lakini si kama wanavyofikiria kwani baadhi ya magonjwa kama kaswende, herpes na mengine, yanaweza kuambukizwa kupitia njia hii.

Kondomu au mipira ya kiume...

 

10 years ago

GPL

MAGONJWA HATARI KWA WANAWAKE-2

WIKI iliyopita tulielezea magonjwa hatari kwa wanawake lakini pia huweza kuwakumba wanaume wengi wakajifunza kutokana na mada ile. Leo tutaeleza tabia zinazoweza kuchochea maambukizi ya magonjwa hayo hasa yale ya ngono.
Njia moja kubwa ya kuenea magonjwa ya ngono ni ya kujamiiana bila kutumia kinga ya kondomu. Vijana wengi hasa wa kike hukosa ujasiri wa kusisitiza matumizi ya kondomu kwa kuhofia kuachwa na wapenzi wao. Wengine...

 

9 years ago

Global Publishers

Magonjwa hatari yatokanayo na kujamiiana

Happy-couple-bed-008.jpgNitakuwa nayachambua magonjwa mbalimbali hatari yatokanayo na kujamiiana ambayo kitaalam huitwa Sexually Transmitted Diseases (STD) ili tuweze kujiepusha nayo na wale ambao wanasumbuliwa na magonjwa hayo waweze kuyatibu na kujiepusha kuwaambukiza wengine.

Ifahamike kuwa magonjwa yote ya zinaa huathiri wanawake na wanaume lakini baadhi ya magonjwa hayo huwa na madhara zaidi kwa wanawake, hii ni kwa sababu pale mjamzito anapokuwa na ugonjwa wa zinaa, baadhi ya magonjwa hayo huweza pia...

 

10 years ago

GPL

MAGONJWA HATARI KWA WANAWAKE-3

Leo naendelea kuelezea kuhusu magonjwa hatari kwa wanawake, lengo likiwa kukuelimisha kuhusiana na maradhi hayo. ATHARI YA KUTOTIBIWA MAPEMA MAGONJWA YA NGONO
Magonjwa haya ya ngono yasipotibiwa mapema na kwa usahihi yanaweza kuleta athari zifuatazo kwa mgonjwa. KWA WANAWAKE
Kwa mwanamke anaweza kupata tatizo la kuziba mirija ya uzazi na kukumbwa na tatizo la mimba kutunga nje ya mfuko wa uzazi au kutozaa kabisa. Mgonjwa wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Ukosefu wa makazi unachochea hatari ya kupata magonjwa ya akili

>Iwapo unaishi ndani ya nyumba yenye ua mzuri, kuta, paa na vitanda vizuri lakini bado unapata maradhi, je? Wanaishije wale waliokosa makazi kabisa?

 

11 years ago

Mwananchi

Haya ni magonjwa saba hatari yanayodhibitiwa kwa chanjo (2)

Katika mfululizo wa makala hizi za chanjo muhimu za magonjwa, leo maelezo yatajikita kwenye magonjwa matano, pepopunda, kifaduro, dondakoo, surua na homa ya ini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani