ALICHOKISEMA RAY C BAADA YA KUKUMBWA NA ISHU YA PANYA ROAD
Jitiririshe hapa chini na alichokusema juu ya hawa wanaojiita panya rodi maana ni shida, Picha kwa hisani ya Millard Ayo .com
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL08 Jan
10 years ago
VijimamboDiamond afunguka na kuhusu ishu ya kumtema Wema na kuhamia kwa Menina, hiki ndo alichokisema...
Diamond afunguka na kuhusu ishu ya kumtema Wema na kuhamia kwa Menina, hiki ndo alichokisema...
Hatimaye Diamond Platnumz amefunguka kuhusutetesi zinazoendelea kuwa ameachana na WemaSepetu na kwamba ana mpango wa kufunga ndoana Meninah Diamond alisema kuwa tetesi hizo zimekuwa zikimhuzunisha kwa kiasi kikubwa. “Unajua hizi habari kiukweli zimekuwazikinihuzunisha sana,” amesema msanii huyo.“Unajua mie ni mtu mmoja ambaye sipendikuzunguzia mambo ya rumors, siju magazeti huwasipendi kuzungumzia...
10 years ago
VijimamboALICHOKISEMA RAY C KUHUSU KUKAMATWA KWA CHIDI BENZ NA MADAWA YA KULEVYA
kutafuta suluhu,nimejaribu kila njia kukushauri badala yake ukaja na rungu la kimasai na kunitandika nalo nyumbani kwangu!nadhani janga hili lililokukuta litakuwa Kama jibu kwako kwamba
unakoenda si salama kabisa kaka yangu ni bora ubadilishe njia...
10 years ago
CloudsFM05 Jan
Panya Road 36 mbaroni
Vijana wa kikundi hicho wenye umri wa kati ya miaka 16 mpaka 30, walizua vurugu katika maeneo mbalimbali ya jiji na kusababisha baadhi ya shughuli kusitishwa kwa muda.
Wananchi walikuwa na hofu ya kuvamiwa na wahalifu wa kikundi hicho, waliokuwa wanapiga watu, kupora na kuharibu magari.
Akizungumza na waandishi...
10 years ago
Mtanzania06 Jan
Panya Road 500 mbaroni
Na Waandishi Wetu, Dar es Salaam
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, limewatia mbaroni vijana 500, maarufu Panya Road ambao wamekuwa wakijihusisha na vitendo vya uhalifu wa kutumia silaha na uporaji.
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamishna Suleimani Kova, alisema vijana hao walikamatwa katika operesheni maalumu iliyofanyika katika mikoa mitatu ya kipolisi ya Ilala ambako walikamatwa vijana 104, Temeke (168) na Kinondoni (202).
Alisema operesheni hiyo ilitokana...
10 years ago
AllAfrica.Com06 Jan
500 Arrested Over 'Panya Road'
IPPmedia
500 Arrested Over 'Panya Road'
AllAfrica.com
POLICE in Dar es Salaam have arrested 510 youth, suspected of being members of a criminal group known as 'panya road,' who are alleged to have invaded and attacked people in the city on Friday evening. Special Zone Police Commander Suleiman Kova ...
510 'panya road' netted in Dar es SalaamIPPmedia
Tanzanian police arrest 36 in connection with gang violenceSabahi Online
all 18
11 years ago
Mwananchi29 May
Wazazi wa ‘Panya road’ wakamatwa
10 years ago
TheCitizen10 Jan
‘Panya Road’: Possible economic causes and solutions
10 years ago
Mtanzania03 Jan
Panya Road waivuruga Dar
Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamishna Suleiman Kova
Na Waandishi Wetu
GENGE la vijana wanaojihusisha na vitendo vya uhalifu jijini Dar es Salaam linalofahamika zaidi kwa jina la Panya Road, jana usiku lilivamia maeneo mbalimbali ya jiji na kufanya vitendo vya uhalifu.
Taarifa za kufanyika kwa vitendo hivyo vya uhalifu zilifika katika chumba cha habari cha gazeti la MTANZANIA Jumamosi saa 2.00 usiku na dakika chache baadaye zilisambaa katika mitandao ya kijamii huku zikiwa...