Alikiba avunja rekodi ya downloads kwenye mtandao wa Mkito.com
Nyimbo mbili za Alikiba zimefanikiwa kuongoza kama nyimbo zinazopakuliwa kwa wingi katika tovuti ya Mkito.com. Wimbo uliotokea kupendwa zaidi wa Mwana ulipanda hadi nafasi ya kwanza ndani ya masaa 12 baada ya kuzinduliwa Julai 24 mwaka huu. Mpaka sasa “Mwana” ya Alikiba imeendelea kuwa wimbo uliopakuliwa zaidi tangu kuanzishwa kwa Mkito.com mwezi Mei mwaka huu. […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Jamtz.Com![](http://2.bp.blogspot.com/-qyVuuh1BP0U/VBb4dOIIM6I/AAAAAAAABI4/RSHfWknneoU/s72-c/Alikiba.png)
ALI KIBA AVUNJA REKODI YA DOWNLOADS KATIKA MTANDAO WA MKITO.COM
Tweet
![](http://2.bp.blogspot.com/-qyVuuh1BP0U/VBb4dOIIM6I/AAAAAAAABI4/RSHfWknneoU/s1600/Alikiba.png)
Nyimbo mbili za Alikiba zimefanikiwa kuongoza kama nyimbo zinazopakuliwa kwa wingi katika tovuti ya Mkito.com. Wimbo uliotokea kupendwa zaidi wa Mwana ulipanda hadi nafasi ya kwanza ndani ya masaa 12 baada ya kuzinduliwa Julai 24 mwaka huu.Mpaka sasa “Mwana” ya Alikiba imeendelea kuwa wimbo uliopakuliwa zaidi tangu kuanzishwa kwa Mkito.com mwezi Mei mwaka huu. Wanamuziki wengine wanaofanya vizuri ndani ya Mkito ni Fid Q, Vanessa Mdee, Young Killer, Diamond Platnumz, Linah, Rich...
![](http://2.bp.blogspot.com/-qyVuuh1BP0U/VBb4dOIIM6I/AAAAAAAABI4/RSHfWknneoU/s1600/Alikiba.png)
Nyimbo mbili za Alikiba zimefanikiwa kuongoza kama nyimbo zinazopakuliwa kwa wingi katika tovuti ya Mkito.com. Wimbo uliotokea kupendwa zaidi wa Mwana ulipanda hadi nafasi ya kwanza ndani ya masaa 12 baada ya kuzinduliwa Julai 24 mwaka huu.Mpaka sasa “Mwana” ya Alikiba imeendelea kuwa wimbo uliopakuliwa zaidi tangu kuanzishwa kwa Mkito.com mwezi Mei mwaka huu. Wanamuziki wengine wanaofanya vizuri ndani ya Mkito ni Fid Q, Vanessa Mdee, Young Killer, Diamond Platnumz, Linah, Rich...
10 years ago
Bongo520 Dec
Nicki Minaj avunja rekodi nyingine kwenye chati za Billboard
Single ya Nicki Minaj ’Only’ imefanikiwa kukamata nafasi ya kwanza kwenye Hot R&B/Hip-Hop Songs chart za Billboard, na kumfanya awe msanii wa kike aliyewahi kuwa na nyimbo nyingi zaidi zilizofika nafasi ya kwanza tokea chati hizo zianzishwe miaka 56 iliyopita. Nicki amevunja rekodi iliyokuwa ikishikiliwa na Missy Elliot aliyekuwa na nyimbo tatu zilizokamata nafasi ya […]
10 years ago
Bongo523 Jan
Diamond, Mwana FA na Alikiba waongoza chart ya Mkito ya nyimbo 100 zilizopakuliwa zaidi
Diamond Platnumz, Mwana FA na Alikiba ndio wasanii ambao nyimbo zao zimepakuliwa zaidi kwenye mtandao wa Mkito. Hizi ni nyimbo 10 zilizoongoza kwenye orodha hiyo ya nyimbo 100 zilizopakuliwa zaidi tangu kuanzishwa kwa mtandao huo. 1.Diamond – Ntampata Wapi 2.Mwana FA f/ AliKiba – Kiboko Yangu 3.Yamoto Band – Ntakupwelepweta 4.Alikiba – Mwana 5.Joh Makini […]
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/JSct6ft9ycQkHB8DlzsTuGFmNQIi1ncT8Nt3IaDdHsVT-4vFGuyz2BLQ7WZpjBFI--9RAh*xciBxrgDHBqi-jNBEhTD-0c-K/kimetto.jpg?width=650)
MKENYA AVUNJA REKODI BERLIN
Dennis Kimetto. MWANARIADHA raia wa Kenya, Dennis Kimetto leo amevunja rekodi ya mbio za marathon jijini Berlin nchini Ujerumani kwa ushindi wake wa saa 2, dakika 2 na sekunde 57. Kijana huyo mwenye umri wa miaka 30, amevunja rekodi hiyo akipunguza sekunde 26 katika rekodi iliyowekwa na Mkenya mwenzake Wilson Kipsang ya 2: 03: 23 katika mashindano hayo yaliyofanyika mwaka jana jijini Berlin. Kimetto amesema: "najisikia vizuri...
11 years ago
BBCSwahili30 Apr
Ronaldo avunja rekodi ya Messi
Christiano Ronaldo amevunja rekodi ya ufungaji mabao mengi katika ligi ya mabingwa barani Uropa
9 years ago
BBCSwahili23 Sep
Lewandowski avunja rekodi ya mabao
Robert Lewandowski ameweka rekodi ya mabao matano yaliyofungwa kwa kasi zaidi na mchezaji mmoja Bundesliga.
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/hnZ2zBlGGNX576jsDpLt4tri2ui5oK-TR8xXj2BaJMYe3pHB1I1xyEfXPo9i1h7sqQEBc1Nc5dHdVJagfHyqhCIJnVJeFrUF/mtvemas2015justinbieber.jpg?width=650)
JUSTINE BIEBER AVUNJA REKODI YA EMINEM
Mshkaji anayefanya poa kwenye Gemu la Muziki wa RnB Dunia, Justine Bieber . New York, Marekani MSHIKAJI anayefanya poa kwenye Gemu la Muziki wa RnB Dunia, Justine Bieber amevunja rekodi kwa kuwa Msanii Bora wa Muda Wote wa MTV EMAs baada ya kujinyakulia tuzo sita ambazo ni, Tuzo ya Msanii Bora wa Kiume (Best Male Awards), Wimbo Bora wa Kushirikishana (Best Collaboration), Msanii Bora wa Kanada (Best Canadian Act), Msanii Bora...
11 years ago
BBCSwahili09 Jul
Klose avunja rekodi ya ufungaji mabao
Mshambulizi wa Ujerumani Miroslav Klose amevunja rekodi ya kuwa mfungaji mabao mengi zaidi ya kombe la dunia
9 years ago
BBCSwahili09 Sep
Rooney avunja rekodi ya magoli England
Wayne Rooney ameivunja rekodi ya upachikaji mabao ya muda wote katika timu ya taifa ya England, iliyokuwa ikishikiliwa na Sir Bobby Charlton.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania