Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Aliyefiwa na ndugu sita kupewa tiba ya kisaikolojia

>Familia ya kijana Emmanuel Mpilla (27),  aliyepoteza ndugu sita katika ajali ya moto, imepanga kumpa tiba ya kisaikolojia ili kuirudisha akili yake katika hali ya kawaida.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

TBN WATOA UBANI KWA MWANAHABARI CONRAD MPILA ALIYEFIWA NA WATU SITA WA FAMILIA MOJA

 Mwenyekiti wa muda wa Chama cha Bloggers Tanzania (Tanzania Bloggers Network - TBN ), Joachim Mushi (kulia) akitoa poe na kisha kukabidhi ubani wa fedha shilingi laki tano (500,000/-) jana zilizotolewa kwa mwanahabari wa Kitulo FM ya Njombe Bw. Conrad Mpila kama pole toka TBN baada ya kupoteza ndugu watano wa familia moja katika ajali ya moto iliyotokea hivi karibuni na kuua watu sita eneo la Kipunguni jijini Dar es Salaam. Katikati ni mmoja wa wajumbe wa TBN, Dotto Mwaibale. TBN ilishiriki...

 

9 years ago

Michuzi

MTOTO CHINI YA MIEZI SITA HAWATAKIWI KUPEWA MAZIWA YA NG'OMBE-TFNC


Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii.

IMEELEZWA kuwa Mtoto chini ya mwezi hatakiwi kunywa maziwa yeyote isipokuwa ya mama yake, kutokana na maziwa ya ng’ombe  kuwa mazito na hayawezi kumsaidia mtoto katika kukua kwake.
Hayo ameyasema mtaalam wa lishe  wa Taasisi ya Chakula  lishe  nchini (TFNC),Neema Joshua wakati wa semina ya waandishi wa habari ya kuwajengea uwezo wa masuala ya Lishe,amesema maziwa ya ng’ombe yanatumika tu pale hakuna namna ya kuweza kupata maziwa mengine.
Amesema watoto chini ya...

 

10 years ago

CloudsFM

Makamu wa rais, Dk. Bilal ahudhuria mazishi ya ndugu sita waliokufa kwa ajali ya moto Dar.

MAKAMU wa Rais, Dk. Gharib Bilal leo amewaongoza mamia ya wakazi wa Jiji la Dar es Salaam katika mazishi ya watu sita wa familia moja waliofariki dunia katika ajali ya moto iliyotokea wiki iliyopita huko Kipunguni jijini Dar es Salaam.Mazishi hayo yamefanyika leo katika makaburi ya Airwing, Keko jijini Dar e s Salaam huku yakiuhudhuriwa na watu mbalimbali wakiwemo viongozi wa vyama na serikali, taasisi na makampuni binafsi.Akizungumza kwa huzuni wakati akiwapa pole ndugu, majirani, marafiki...

 

10 years ago

Dewji Blog

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana awasili Mkoani Iringa kwa ziara ya siku sita

2

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akivishwa skafu mara baada ya kuwasili mkoani Iringa kuanza ziara ya siku sita ya kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010 na kuhimiza wananchi kushiriki katika shughuli za maendeleo ikiwa ni pamoja na kukagua uhai wa chama. Katika ziara hiyo Katibu Mkuu Abdulrahman Kinana anaongozana na Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi, Kulia ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa Ndugu Jesca Msambatavangu na katikati ni Katibu...

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA NA MSAFARA WAKE WAWASILI LEO MKOANI GEITA NA KUANZA ZIARA YA SIKU SITA

Katibu Mkuu wa CCM,Ndg Kinana akisisitiza jambo mbele ya Wananchi (hawapo pichani),kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika jioni ya leo katika viwanja vya stendi ya mabasi mjini humo.Umati wa wakazi wa Chato mjini wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana alipokuwa akihutubia kwenye uwanja wa stendi ya Zamani.Katibu Mkuu wa CCM aliwaambia wananchi hao kuwa Serikali inabidi ifute kodi kandamizi zinazowazuia wananchi kurahisisha maisha yao. Katibu wa Itikadi na Uenezi Nape...

 

11 years ago

Mwananchi

Mama aliyefiwa na mtoto atoa ya moyoni

Devotha Mbutwa, mama wa mtoto Janeth Kihoko, aliyekufa wakati akiogelea na wenzake, amemsamehe mzazi wenzake aliyemchukua mwananye kwenda kwenye hoteli ambayo mauti ilimkuta.

 

9 years ago

StarTV

Ukosefu wa vifaa tiba hospitali wachangia watu kutumia tiba za jadi.

Ongezeko la ugonjwa wa Malaria na U.T.I kwa wananchi wanaoishi vijijini na idadi ndogo ya madaktari nchini ni baadhi ya sababu zinazochangia kwa kiasi kikubwa wagonjwa wengi kukimbilia kwa waganga wa tiba za jadi kupata matibabu licha ya magonjwa hayo kuwa na tiba za uhakika Hospitali na kwenye vituo vya Afya.

Tiba ya Asili ilipitishwa na Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania mwaka 2002 baada ya sheria namba 23 ya Tiba Mbadala kupitishwa.

Katika Kituo cha Afya cha Jamii Mjini Kahama,...

 

11 years ago

Mwananchi

TIBA MBADALA: Kunywa maji ya moto ni tiba ya magonjwa mengi

>Kuna tiba nyingi za kitabibu, zilizogawanyikaa katika makundi mbalimbali. Kuna zile za hospitali ambazo ni lazima zinunuliwe, lakini kuna tiba ambazo kwa ushauri wa daktari hata wewe unaweza kuziandaa bila kutumia gharama kubwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani