Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Aliyekuwa Meya jela kwa mauaji Rwanda

Mahakama nchini Ujerumani imemhukumu jela miaka 14 aliyekuwa meya nchini Rwanda Onesphore Rwabukombe, kwa kuhusika na mauaji ya kimbari mwaka 1994.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Aliyekuwa Meya Rwanda 'kudumu' gerezani

Meya wa zamani aliyepatikana na hatia ya kuhusika na mauaji ya kimbari nchini Rwanda ameongezewa kifungo chake kutoka miaka 15 hadi 25

 

10 years ago

BBCSwahili

Polisi jela kwa kumuua mwanaharakati Rwanda

Polisi wawili nchini Rwanda, wamefungwa miaka 20 jela kwa kumuua mwanaharakati wa kupinga ufisadi, aliyekuwa anachunguza kashfa ya ulanguzi wa madini mpakani .

 

10 years ago

GPL

SALMAN KHAN WA BOLLYWOOD AHUKUMIWA JELA MIAKA 5 KWA MAUAJI

Mwigizaji maarufu wa filamu za Bollywood nchini India Salman Khan. Mwigizaji maarufu wa filamu za Bollywood nchini India Salman Khan amekuhumiwa kifungo cha miaka mitano jela baada ya kupatikana na hatia ya kumuua mtu mmoja asiye na makazi alipokuwa akiendesha gari huku akiwa amelewa mjini Mumbai. Khan alikuwa ameshtakiwa kwa kuua bila kukusudia baada ya kuelekeza gari lake kwenye kundi la watu waliokuwa wamelala kwenye njia...

 

9 years ago

Raia Mwema

Pauline, mwanamama wa Rwanda aliyehukumiwa kwa ubakaji, mauaji

MAHAKAMA ya Kimataifa ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda (ICTR) imerejea hukumu ya awali na kuamua wa

Mwandishi Wetu

 

5 years ago

BBCSwahili

Mauaji ya Rwanda: Jinsi Felicien Kabuga alivyojificha kwa miaka 26

Kabuga mwenye miaka 84 amekuwa mafichoni kwa muda mrefu hali ya kwamba jopo la kimataifa lililobuniwa kuchunguza mauaji hayo ya 1994 liliacha kufanya kazi yake.

 

10 years ago

Vijimambo

Muimbaji Maarufu Rwanda Afungwa Miaka 10 Jela kwa Kupanga Njama Kumuua Rais Kagame.

Muimbaji maarufu wa Rwanda amehukumiwa kifungo cha miaka 10 jela baada ya kushtakiwa kwa njama za kutaka kumuua Rais Kagame na kuonyesha chuki dhidi ya serikali.
Kizito Mihigo awali alisema alikuwa na makosa na kuomba msamaha, akimaanisha hukumu yake ipunguzwe.Kizito Mihigo amekuhumiwa jela miaka 10 kwa njama za kutaka kumuua Rais Paul KagameMshtakiwa mwenzake, Cassien Ntamuhanga kiongozi wa kituo cha redio ya Kikristo, alifungwa miaka 25 kwa ugaidi na matusi.Ameendelea kukataa mashtaka...

 

10 years ago

Bongo5

Mwanamuziki maarufu wa Rwanda afungwa miaka 10 jela kwa kupanga njama dhidi ya Rais Kagame

Mahakama ya Rwanda Ijumaa iliyopita ilimhukumu mwanamuziki maarufu wa nchini humo, Kizito Mihigo kifungo cha miaka 10 jela kwa kosa la kupanga njama dhidi ya serikali ya Rais Paul Kagame. Kizito Mihigo Mihigo alipatikana na hatia ya kuanzisha kundi la kihalifu na njama ya kutekeleza mauaji japo jaji alitupilia mbali makosa ya kuhusika kwenye vitendo […]

 

10 years ago

Michuzi

Mahakama ya Umoja wa Mataifa ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda (UN-ICTR) yatoa gari kwa jeshi la magereza arusha

 Mahakama ya Umoja wa Mataifa ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda (UN-ICTR) imetoa msaada wa gari lililoimarishwa kiusalama - amored vehicle - linaloonekana nyuma kwa Idara ya Magereza nchini kwenye sherehe fupi iliyofanyika mjini Arusha. Akikabidhi gari hilo Mkugenzi wa Idara ya Utawala wa ICTR Dr. Saraha Kilemi alisema kuwa msaada huo ni shukrani za mahakama hiyo kwa Idara hiyo kwa ushirikiano iliyoutoa kwa mahakama hiyo kwa kipindi cha miaka zaidi ya 20 ya kazi za mahakama hiyo...

 

11 years ago

BBCSwahili

Wake wa meya walio jela washinda uchaguzi

Wake 2 wa meya wawili wa upinzani waotumikia kifungo cha jela nchini Venezuela wameshinda uchaguzi na kuwarithi waume zao.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani