Aliyeleta hofu abainika hana Ebola
KIJANA Ally Selemeni (30), mkazi wa Mikindani, mkoani Mtwara aliyeleta hofu kwa wananchi waliokuwepo katika maeneo ya hospitali ya Rufaa ya Ligula kuwa ana dalili za ugonjwa wa Ebola, anaendelea...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili07 Oct
Mgonjwa Ebola abainika Hispania
10 years ago
BBCSwahili03 Jul
Hofu ya Ebola DRC
10 years ago
BBCSwahili28 Aug
WHO:Hofu ya 20,000 kuambukizwa Ebola
10 years ago
Mtanzania12 Aug
Hofu ya Ebola yatanda nchini
NA EDITHA KARLO, KIGOMA
RAIA wa Burundi aliyetambulika kwa jina la Buchumi Joel (39), amefariki dunia baada ya kuugua ugonjwa wenye dalili sawa na Ebola, ikiwa ni pamoja na kutokwa na damu sehemu mbalimbali za mwili wake.
Madaktari, wauguzi na ndugu waliomuhudumia mgonjwa huyo, wamewekwa chini ya uangalizi maalumu kwa siku 21 kama hatua ya tahadhari, huku wakisubiri kupokea majibu ya sampuli za vipimo ili kubaini iwapo kweli ni ugonjwa wa Ebola ama la.
Akizungumza na waandishi wa habari...
10 years ago
BBCSwahili10 Oct
Ebola:Hofu ya maambukizi zaidi
11 years ago
BBCSwahili07 Aug
Ebola yazua hofu Nigeria
10 years ago
BBCSwahili14 Aug
Hofu ya Ebola Tanzania, mmoja ahofiwa
9 years ago
BBCSwahili09 Oct
Hofu yatanda kuhusu Ebola Nigeria
10 years ago
BBCSwahili02 Oct
Ebola:Hofu kwa watoto Marekani