Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Aliyeua mke kwa wivu naye auawa

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, David MisimeWATU wenye hasira wamempiga hadi kumuua mwanamume, aliyemuua mke wake kwa kumpiga rungu tumboni.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Aliyeua mke bila kukusudia aachwa huru kwa masharti

MAHAKAMA Kuu Tanzania Kanda ya Sumbawanga mkoani Rukwa, imemwachia huru kwa masharti, Evod Johannes (34) maarufu Luvanda, baada ya kukiri kumuua mke wake bila kukusudia.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Auawa kwa wivu wa mapenzi

MWANAKIJIJI cha Itenka Tarafa ya Nsimbo wilayani Mlele Katavi, Mary Magese (39) ameuwawa na mwili wake kutupwa katika kisima cha maji. Mauaji hayo yalifanyika Septemba 14 mwaka huu saa mbili...

 

10 years ago

GPL

AMUUA MKE KWA WIVU WA MAPENZI

Shangwe Thani, Shinyanga
UKATILI! Mwanamke mmoja, Regina Salago (24) (pichani) ameuawa kinyama kwa kupigwa na kitu kizito kichwani na kuvunjwavunjwa shingo na mikono na mume wake, Kishimba Keya, kutokana na wivu wa kimapenzi. Regina Salago enzi za uhai wake. Tukio hilo la kinyama, limetokea hivi karibuni katika Kijiji cha Maganzo, Kata ya Songwa wilayani Kishapu, Shinyanga.Akizungumza na gazeti hili kuhusu tukio hilo, mama...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mume aua mke kwa wivu wa mapenzi

NEEMA Sanga (33), mkazi wa Mngeta wilayani Kilombero mkoani hapa, ameuwawa nyumbani kwake kwa kucharangwa mapanga na anayedaiwa kuwa mumewe, Laurian Labani, kwa wivu wa mapenzi. Akizungumza na Waandishi wa...

 

11 years ago

Dewji Blog

Binti wa kazi ajeruhiwa vibaya kwa kumwagiwa uji wa moto na mke wa bosi wake, kisa wivu wa kimapenzi

jeraha

Msichana Jackline Lasway akiwa amelazwa katika wodi ya kina mama namba mbili katika hospitali ya Mkoa wa Singida baada ya kujeruhiwa kwa kumwagiwa uji wa moto wakati akiwa dukani kwa bosi wake eneo la soko kuu Manispaa ya Singida.

Na Mwandishi Wetu , Singida.

Msichana mmoja mkazi wa eneo la Minga Manispaa ya Singida amenusurika kifo baada ya kumwagiwa uji wa moto na mke wa tajiri wake wa dukani  kutokana na kile kinachosadikiwa kuwa ni wivu wa kimapenzi.

Msichana huyo Jackline Lasway...

 

9 years ago

Mwananchi

Mke auawa kwa mapanga, mume akimbia

Mwanamke kazi wa Kijiji cha Mgunga, wilayani Igunga, Gama Jilala ameuawa kwa kukatwa mapanga na watu wasiojulikana.

 

11 years ago

GPL

MKE ACHOMA NYUMBA KISA WIVU WA MAPENZI

Stori:DUSTAN SHEKIDELE, MOROGORO KATIKA hali ya kusikitisha, mwanamke mmoja mwenye ujauzito wa miezi 7 sasa, Vaileth Kibwana, anashikiliwa na Jeshi la Polisi mjini hapa baada ya mwishoni mwa wiki iliyopita kuiteketeza nyumba yao kwa moto, katika kile kinachodaiwa kuwa ni wivu wa kimapenzi baina yake na mumewe. Mume wa mwanamke Vaileth Kibwana, anyeshikiliwa na jeshi la polisi kwa kuchoma moto nyumba yao  na kuteketeza mali...

 

11 years ago

Mwananchi

Aua kikongwe, naye auawa

Kijana mmoja mkazi wa Kijiji cha Mabalanga wilayani Kilindi, Hassani Said (28) amemuua kwa kumkata na jembe kichwani bibi yake, lakini baadaye akauawa na wananchi wa eneo hilo.

 

10 years ago

Mwananchi

WIVU WA MAPENZI: Mke amkata mume sehemu za siri

>Mkazi wa Kijiji cha Majimaji, Kata ya Chalinze, wilayani Tunduru (jina linahifadhiwa), anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumkata sehemu za siri mume wake.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani