ALLY NIPISHE - WANAPEPETA (VIDEO)
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo10 years ago
Bongo510 Sep
New Video: Oscar nyerere & Dr mfyuzi ft Ally Nipishe – Amani
Video mpya kwa ajili ya kusisitiza mambo ya “Amani” kwa nchi ya Tanzania na Africa kwa ujumla,Vijana wawili shaphii omary(drmfyuzi) na Oscar Nyerere wakimshirikisha Ally Nipishe wameona ni vyema watumie vipaji vya uigizaji wa sauti za hayati Baba wa Taifa na Raisi kikwete ili kutunza na kudumisha amani ya nchi yao Tanzania na Africa kwa […]
9 years ago
GPLBOZI, ALLY NIPISHE WAMWAGANA
Mayasa Mariwata
Kwisha habari! Msanii wa sinema za Kibongo, Fatuma Ayubu `Bozi’ na mwandani wake ambaye ni Mbongo-Fleva, Ally Nipishe, wamemwagana kwa kile kilichodaiwa kuwa, jamaa huyo anapenda kulelewa. Msanii wa sinema za Kibongo, Fatuma Ayubu `Bozi’. Kwa mujibu wa chanzo kilichopo karibu ya wawili hao, Ally Nipishe alikuwa akiishi kwa Bozi maeneo ya Kinondoni-Mkwajuni, Dar ambapo hivi karibuni wametifuana baada ya Bozi...
10 years ago
GPLBOZI, ALLY NIPISHE MAHABA NIUE!
Mayasa Mariwata
Wamenaswa! Mwigizaji asiyeishiwa habari kwenye ulimwengu wa sinema za Kibongo, Fatuma Ayubu ‘Bozi’ ambaye hivi karibuni alitaka kumzawadia gari msanii wa Bongo Fleva, Ally Salumu ‘Ally Nipishe’, wawili hao wamebambwa laivu waikioneshana mahaba niue. ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1KlFp2B
10 years ago
GPLGARI LA BOZI KWA ALLY NIPISHE LAZUA UTATA
Mayasa mariwata
GARI aina ya Toyota IST lenye thamani ya shilingi milioni 13 alilotaka kulitoa bure msanii wa filamu Bongo, Fatuma Ayubu `Bozi’ kwenda kwa msanii wa Bongo Fleva, Ally Salumu `Ally Nipishe’ limezua utata kila kona ya jiji. Amani linamwaga ubuyu. Msanii wa filamu Bongo, Fatuma Ayubu `Bozi’. Tangu taarifa hizo zienee, wadau mbalimbali wa muziki na filamu wamekuwa njia panda huku wengine...
10 years ago
GPL30 Jun
10 years ago
GPLBOZI AHOJIWA NA GLOBAL TV ONLINE, ASIKITISHWA NA ALLY NIPISHE KUKATAA GARI LAKE
Fatuma Ayubu `Bozi’ katika pozi ndani ya studio za Global TV Online. MSANII wa filamu Bongo, Fatuma Ayubu `Bozi’ leo amehojiwa na Global TV Online ambapo ameonyesha kusikitishwa na kitendo cha msanii wa Bongo Fleva, Ally Salumu `Ally Nipishe’ kukataa gari alilotaka kumnunulia. Bozi amefunguka hayo wakati akihojiwa katika Exclusive… ...
5 years ago
The Citizen Daily02 Mar
VIDEO: CCM's Secretary General Dr Bashiru Ally at Mwananchi Communications Headquaters
VIDEO: CCM's Secretary General Dr Bashiru Ally at Mwananchi Communications Headquaters The Citizen Daily
10 years ago
GPL26 Aug
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania