Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


GARI LA BOZI KWA ALLY NIPISHE LAZUA UTATA

Mayasa mariwata
GARI aina ya Toyota IST lenye thamani ya shilingi milioni 13 alilotaka kulitoa bure msanii wa filamu Bongo, Fatuma Ayubu `Bozi’ kwenda kwa msanii wa Bongo Fleva, Ally Salumu `Ally Nipishe’ limezua utata kila kona ya jiji. Amani linamwaga ubuyu. Msanii wa filamu Bongo, Fatuma Ayubu `Bozi’. Tangu taarifa hizo zienee, wadau mbalimbali wa muziki na filamu wamekuwa njia panda huku wengine...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

BOZI AHOJIWA NA GLOBAL TV ONLINE, ASIKITISHWA NA ALLY NIPISHE KUKATAA GARI LAKE

Fatuma Ayubu `Bozi’ katika pozi ndani ya studio za Global TV Online. MSANII wa filamu Bongo, Fatuma Ayubu `Bozi’ leo amehojiwa na Global TV Online ambapo ameonyesha kusikitishwa na kitendo cha msanii wa Bongo Fleva, Ally Salumu `Ally Nipishe’ kukataa gari alilotaka kumnunulia. Bozi amefunguka hayo wakati akihojiwa katika Exclusive… ...

 

9 years ago

GPL

BOZI, ALLY NIPISHE WAMWAGANA

Mayasa Mariwata
Kwisha habari! Msanii wa sinema za Kibongo, Fatuma Ayubu `Bozi’ na mwandani wake ambaye ni Mbongo-Fleva, Ally Nipishe, wamemwagana kwa kile kilichodaiwa kuwa, jamaa huyo anapenda kulelewa. Msanii wa sinema za Kibongo, Fatuma Ayubu `Bozi’. Kwa mujibu wa chanzo kilichopo karibu ya wawili hao, Ally Nipishe alikuwa akiishi kwa Bozi maeneo ya Kinondoni-Mkwajuni, Dar ambapo hivi karibuni wametifuana baada ya Bozi...

 

10 years ago

GPL

BOZI, ALLY NIPISHE MAHABA NIUE!

Mayasa Mariwata Wamenaswa! Mwigizaji asiyeishiwa habari kwenye ulimwengu wa sinema za Kibongo, Fatuma Ayubu ‘Bozi’ ambaye hivi karibuni alitaka kumzawadia gari msanii wa Bongo Fleva, Ally Salumu ‘Ally Nipishe’, wawili hao wamebambwa laivu waikioneshana mahaba niue. ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1KlFp2B

 

9 years ago

Mwananchi

Gari la tume lazua utata kituoni

Gari lilokodiwa na tume ya uchaguzi ya Wilaya ya Arumeru Mashariki  limezua utata baada ya kukutwa na kiasi cha fedha zaidi ya Sh 6 milioni.

 

10 years ago

GPL

10 years ago

Vijimambo

Gari la DC wa Mbozi lazua tafrani jimboni kwa Kilango

Mbunge wa Same Mashariki, Anne Kilango Malecela akizozana na dereva wa mkuu wa wilaya ya Mbozi (aliyekataa kutaja jina lake) baada ya kukuta gari la mkuu huyo wa wilaya likipeperusha bendera katika jimbo la Same Mashariki jambo ambalo ni kinyume cha taratibu.Picha na Rehema Matowo
Same. Katika hali isiyo ya kawaida, Mkuu wa Wilaya ya Mbozi mkoani Mbeya, Dk Michael Kadege limekutwa likipeperusha bendera katika eneo la Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro na kuzua tafrani kati ya mkuu huyo na...

 

10 years ago

Mwananchi

Gari la DC wa Mbozi lazua tafrani jimboni kwa Kilango

Katika hali isiyo ya kawaida, Mkuu wa Wilaya ya Mbozi mkoani Mbeya, Dk Michael Kadege limekutwa likipeperusha bendera katika eneo la Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro na kuzua tafrani kati ya mkuu huyo na Mbunge wa Same Mashariki, Anne Kilango Malecela.

 

10 years ago

Bongo Movies

Gari Aina la BMW Alilopewa Kama Zawadi na Maneja Wake Martin Kadinda Lazua Maneno. Watu wahoji uwezo wa meneja wake huyo kumnunulia gari hilo huku ye akiendesha gari ''isiyoeleweka''.

Achana na lile gari aina ya Nissan Murano alilozawadiwa na mwandani wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, gari lingine aina ya BMW 545i aliloletewa Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ kwenye pati ya ‘bethidei’ yake ni utata mtupu na maswali kibao

NYUMBANI KWA MADAM
Pati hiyo ambayo iliandika historia katika ulimwengu maridhawa wa mastaa iliangushwa nyumbani kwa mwanadada huyo, Mtaa wa Bwawani, Kijitonyama jijini Dar, wikiendi iliyopita ambapo alitimiza umri wa miaka 26.
Katika shughuli...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani