Gari la DC wa Mbozi lazua tafrani jimboni kwa Kilango
Mbunge wa Same Mashariki, Anne Kilango Malecela akizozana na dereva wa mkuu wa wilaya ya Mbozi (aliyekataa kutaja jina lake) baada ya kukuta gari la mkuu huyo wa wilaya likipeperusha bendera katika jimbo la Same Mashariki jambo ambalo ni kinyume cha taratibu.Picha na Rehema Matowo
Same. Katika hali isiyo ya kawaida, Mkuu wa Wilaya ya Mbozi mkoani Mbeya, Dk Michael Kadege limekutwa likipeperusha bendera katika eneo la Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro na kuzua tafrani kati ya mkuu huyo na...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi12 Jan
Gari la DC wa Mbozi lazua tafrani jimboni kwa Kilango
10 years ago
GPL
GARI LA BOZI KWA ALLY NIPISHE LAZUA UTATA
10 years ago
Bongo Movies01 Oct
Gari Aina la BMW Alilopewa Kama Zawadi na Maneja Wake Martin Kadinda Lazua Maneno. Watu wahoji uwezo wa meneja wake huyo kumnunulia gari hilo huku ye akiendesha gari ''isiyoeleweka''.
Achana na lile gari aina ya Nissan Murano alilozawadiwa na mwandani wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, gari lingine aina ya BMW 545i aliloletewa Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ kwenye pati ya ‘bethidei’ yake ni utata mtupu na maswali kibao
NYUMBANI KWA MADAM
Pati hiyo ambayo iliandika historia katika ulimwengu maridhawa wa mastaa iliangushwa nyumbani kwa mwanadada huyo, Mtaa wa Bwawani, Kijitonyama jijini Dar, wikiendi iliyopita ambapo alitimiza umri wa miaka 26.
Katika shughuli...
9 years ago
Mwananchi25 Oct
Gari la tume lazua utata kituoni
11 years ago
Mwananchi08 May
Gari kuukuu lazusha tafrani bungeni
10 years ago
Michuzi
DEREVA AFARIKI DUNIA BAADA YA GARI ALILOKUWA AKISAFIRIA KUACHA NJIA NA KUPINDUKA WILAYANI MBOZI,MBEYA

Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo majira ya saa 01:30 huko eneo la mlowo, kata ya mlowo, tarafa ya vwawa, wilaya ya mbozi, mkoa wa mbeya katika barabara kuu ya mbeya/tunduma.
Aidha katika ajali hiyo watu wawili waliofahamika kwa majina ya 1....
10 years ago
Mwananchi11 Mar
KUELEKEA MAJIMBONI 2015 : CCM ijihadhari majimbo ya Mbarali, Mbozi Magharibi na Mbozi Mashariki
10 years ago
GPL
DK. SLAA AVISHWA VAZI LA KICHIFU, APEWA JINA LA 'MWENE WA MBOZI' HUKO MBOZI MKOANI MBEYA
10 years ago
MichuziMh. Anne Kilango aitaka Bodi ya Mikopo kutoa elimu zaidi kwa wadaiwa