BOZI, ALLY NIPISHE MAHABA NIUE!
Mayasa Mariwata Wamenaswa! Mwigizaji asiyeishiwa habari kwenye ulimwengu wa sinema za Kibongo, Fatuma Ayubu ‘Bozi’ ambaye hivi karibuni alitaka kumzawadia gari msanii wa Bongo Fleva, Ally Salumu ‘Ally Nipishe’, wawili hao wamebambwa laivu waikioneshana mahaba niue. ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1KlFp2B
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPLBOZI, ALLY NIPISHE WAMWAGANA
10 years ago
GPLGARI LA BOZI KWA ALLY NIPISHE LAZUA UTATA
10 years ago
GPLBOZI AHOJIWA NA GLOBAL TV ONLINE, ASIKITISHWA NA ALLY NIPISHE KUKATAA GARI LAKE
11 years ago
GPLLUNGI NA MAHABA NIUE
10 years ago
GPL06 Jul
11 years ago
GPLSNURA AGANDWA NA MAHABA NIUE
9 years ago
Bongo Movies22 Nov
Diamond, Kajala Mahaba Niue!
NI gumzo! Ubuyu motomoto ambao unasambaa kwa kasi ya ajabu kama moto wa kifuu mjini unadai kuwa, staa nambari moja Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na mwigizaji Kajala Masanja wamedaiwa kuwa ni wapenzi na sasa ni mahaba niue, Risasi Jumamosi limesheheni full stori.
TUJIUNGE NA CHANZO
Kwa mujibu wa chanzo makini, uhusiano wa Diamond na Kajala unadaiwa kuibuka ghafla miezi kadhaa iliyopita lakini wamekuwa wakifanya siri nzito kabla ya hivi karibuni kukolea zaidi baada ya mpenzi...
10 years ago
GPLMAHABA NIUE YAMFICHA SNURA
10 years ago
GPLWEMA, IDRIS MAHABA NIUE!