Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Amali waahidi kuendelea kulitumia shirika la Posta

WIZARA ya Elimu na Mafunzo ya Amali imetakiwa kuzitumia huduma za Posta nchini kwa ajili ya kuongeza ufanisi na kusafirisha vifurushi kwa haraka.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Posta kuendelea kuboresha huduma

SHIRIKA la Posta Tanzania limewaomba watumiaji na wananchi kwa ujumla waendelee kuwa na imani na huduma za posta. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana katika maadhimisho...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Shirika la Posta lajipanga kupanua wigo wa huduma

KWA mujibu wa takwimu za Shirika la Umoja wa Posta Duniani (UPU) mtandao wa mawasiliano kwa njia ya Posta unajumuisha ofisi za posta 660,000 zenye uwezo wa kusambaza wastani wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

MIAKA 50 YA MUUNGANO : Shirika la Posta lajivunia mafanikio

SHIRIKA la Posta Tanzania limeshiriki katika maonyesho ya miaka 50 ya Muungano yaliyofanyika Mnazi Mmoja, Dar es Salaam. Lengo la ushiriki huo ni kuonyesha jamii kuwa wanadumisha muungano uliopo baina...

 

11 years ago

Michuzi

Shirika la Posta Tanzania katika maonyesho ya Sabasaba

Baadhi ya Wafanyakazi wa Shirika la Posta Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja ndani ya banda lao,kwenye Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa Dar es Salaam (Sabasaba). Afisa Masoko wa Shirika la Posta Tanzania,Happy Iteba (kushoto) akitoa maelezo kwa wateja waliotembelea banda la Posta kwenye maonyesho ya Sabasaba jijini Dar es Salaam leo. Maafisa Masoko wa Shirika la Posta Tanzania Happy Iteba na James Musyaji wakiwahudumia wateja waliotembelea banda hilo.

 

5 years ago

Bongo5

Serikali kurejesha deni la shilingi bilioni 3.2 za Shirika la Posta

Serikali imeahidi kuwa italirejeshea Shirika la Posta Tanzania kiasi cha shilingi bilioni 3.2, ambazo zilitumika kuwalipa wastaafu wa Shirika la Posta na Simu la Afrika Mashariki, punde ifikapo tarehe 30, mwezi Juni mwaka huu.

Ahadi hiyo imetolewa Bungeni Mjini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji, alipokuwa akijibu swali la nyongeza kutoka kwa Mbunge wa Ludewa, Mhe. Deo Ngalawa (CCM), aliyehoji,

Serikali ilikuwa na mpango gani wa kuwalipa Wastaafu hawa...

 

11 years ago

Michuzi

Shirika la Posta Tanzania (TPC) lawatunuku Wafanyakazi wake bora

Postamasta mkuu na afisa mtendaji mkuu wa shirika la posta Tanzania Ndugu Deos Khamisi Mndeme(mwenye koti kushoto) akikabidhi cheti na hundi kwa mfanyakazi bora kitaifa kutoka wafanyakazi wasimamizi, Ndugu Michael Mhagama (kulia). Ndugu Deos Khamisi Mndeme akikabidhi cheti na hundi kwa mfanyakazi bora kutoka wafanyakazi watendaji Ndugu Joseph Kakokele.
Mfanyakazi bora kutoka Divisheni ya Rasimali za Shirika, Fredrick Makundi, akipokea cheti na tuzo kutoka kwa Postamasta Mkuu wa Shirika...

 

11 years ago

Michuzi

SHIRIKA LA POSTA TANZANIA LATOA TAARIFA JUU YA UTEKELEZAJI WAKE WA MPANGO KABAMBE WA MIAKA KUMI (2014-2023).

 Pichani ni Postamasta Mkuu na Mtendaji Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania,Bwa.Deos Mndeme akizungumza na Waandishi wa Habari kwenye Makao makuu ya Ofisi hizo jijini Dar mapema leo kuhusiana na taarifa juu ya utekelezaji wa Mpango Kabambe wa miaka kumi (2014-2023) wa shirika la Posta Tanzania. Pichani Kulia ni Meneja Mkuu Uendeshaji wa Biashara,Bwa.Fortunatus Kapinga akifafanua jambo kuhusiana na taarifa juu ya utekelezaji wa Mpango Kabambe wa miaka kumi (2014-2023) wa shirika la Posta...

 

11 years ago

Michuzi

SHIRIKA LA POSTA TANZANIA LATOA HUDUMA MBALIMBALI MAONESHO YA SABA SABA

Wafanyakazi wa shirika la Posta wakiwa katika picha ya pamoja katika banda lao ndani ya  maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar-es-salaam yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere, barabara ya Kilwa, jijini Dar es Salaam. Mmoja wa Wafanyakazi wa Shirika la Posta Tanzania,akimuelezea mmoja wa wateja wao aliefika kwenye banda lao kwa ajili ya kufahamu huduma mbalimbali zitolewazo na shirika hilo,kwenye maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar-es-salaam yanayoendelea...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani