AMBER ROSE ATOA KITABU CHENYE UTATA!
![](http://api.ning.com:80/files/gikBPgJguSVl4OgdU2fpphjycPhdYfcyXkjQx2sdbqUSjUmbBHcItrybO2XQQ5HqifYpBzgNcygFYGNahIad1EAnj0czQuog/amberrose.jpg?width=650)
Mwanamitindo anayetikisa Marekani, Amber Rose. New York, Marekani MWANAMITINDO anayetikisa Marekani, Amber Rose juzikati alizindua kitabu chake kinachotambulika kama How To Be A Bad Bitch kilichoacha utata katika mitandao ya kijamii kutokana na jina lake. Kava la kitabu kinachoitwa 'How To Be A Bad Bitch'. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Amber aliachia kava la kitabu hicho kinachotoa somo la jinsi ya kufanikiwa kwenye maisha...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
StarTV12 Jan
Kifo chenye utata, Ndugu warudisha mwili wa marehemu Polisi Serengeti
Na Sosy Wema,
Serengeti.
Katika hali isiyokuwa ya kawaida ndugu wa mtuhumiwa mmoja ambaye kwa sasa ni marehemu wamelazimika kurudisha mwili wa ndugu yao katika kituo kikuu cha polisi wilayani Serengeti kwa kile walichokieleza kuwa kifo cha ndugu yao huyo kilitokana na kipigo ambacho alikipata wakati akiwa mikoni mwa jeshi polisi na Askari wa TANAPA.
Msafara wa magari ukiwa na baadhi ya ndugu wa marehemu Samson Nyakiha (70) aliyefia katika Hospitali ya Rufaa ya Bugando alikokuwa akipatiwa...
9 years ago
Mtanzania28 Nov
AMBER ROSE ATEKWA NA MR. IBU
MPENZI wa zamani wa Wiz Khalifa, Amber Rose, ameonekana kuvutiwa na mwigizaji kutoka nchini Nigeria,
John Okafor ‘Mr Ibu’ kutokana na filamu yake ya Sugar Daddy.
Filamu hiyo ya Sugar Daddy imefanya vizuri nchini Nigeria, lakini kwa sasa imevuka mipaka ambapo imefika
nchini Marekani na kumgusa mrembo huyo.
Kupitia Instagram, Amber Rose aliweka picha ya msanii huyo na kudai kwamba ni ‘bonge la msanii’ ambaye
anavutiwa naye.
“Mr Ibu, anafanya vizuri, nimependa kile ambacho amekifanya...
10 years ago
Mtanzania01 Apr
Wiz Khalifa, Amber Rose warudiana
BADI MCHOMOLO NA MTANDAO
MWANAMITINDO maarufu nchini Marekani, Amber Rose amejikuta akirudisha moyo kwa baba mtoto wake, Wiz Khalifa, baada ya kuusilikiza wimbo wa msanii huyo uitwao ‘See You Again’.
Taarifa za kurudiana kwao zinaeleza kwamba Amber Rose baada ya kuusikia wimbo huo ukipigwa kwenye filamu ya Furious 7, alionekana mnyonge akakumbuka maisha walipokuwa wawili baada ya hapo alimpigia simu Wiz Khalifa akamuomba warudiane.
“Sisi ni wazazi japokuwa kulikuwa na mgogoro, lakini...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/D*jRkBJZGXXGaBbtdKQ9wXvI23jKXgv15bzpPH7SoEhptU5W0JZwZQY7s1HQd0D75tup*GHOSU-a8D4dk-8rCundWPd3Jm9O/MAMAWEMA.jpg)
ROSE NDAUKA, YA KIM, AMBER HAYAENDANI NA WEWE!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/uX0ODFdMLaembitej3gF6-yzhtbQ3BdWjva306uxWfQKWrz9qFu0a0XEswBWD8YSZJaN3W*b*d3b7Sz5Q7cHJY3TybnxCmvb/Hamisa.jpg?width=650)
HAMISA MABETO KAMA KIM, AMBER ROSE