Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kifo chenye utata, Ndugu warudisha mwili wa marehemu Polisi Serengeti

Na Sosy Wema,

Serengeti.

Katika hali isiyokuwa ya kawaida ndugu wa mtuhumiwa mmoja ambaye kwa sasa ni marehemu wamelazimika kurudisha mwili wa ndugu yao katika kituo kikuu cha polisi wilayani Serengeti kwa kile walichokieleza kuwa kifo cha ndugu yao huyo kilitokana na kipigo ambacho alikipata wakati akiwa mikoni mwa jeshi polisi na Askari wa TANAPA.

 

Msafara wa magari ukiwa na baadhi ya ndugu wa marehemu Samson Nyakiha (70) aliyefia katika Hospitali ya Rufaa ya Bugando alikokuwa akipatiwa...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

AMBER ROSE ATOA KITABU CHENYE UTATA!

Mwanamitindo anayetikisa Marekani, Amber Rose. New York, Marekani
MWANAMITINDO anayetikisa Marekani, Amber Rose juzikati alizindua kitabu chake kinachotambulika kama How To Be A Bad Bitch kilichoacha utata katika mitandao ya kijamii kutokana na jina lake. Kava la kitabu kinachoitwa 'How To Be A Bad Bitch'. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Amber aliachia kava la kitabu hicho kinachotoa somo la jinsi ya kufanikiwa kwenye maisha...

 

10 years ago

Mwananchi

Polisi warudisha vifaa vya Mansour

Jeshi la Polisi Zanzibar, limerudisha kompyuta mpakato ya waziri wa zamani wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Mansour Yusuph Himid pamoja na vifaa vyake vya mawasiliano.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Familia yatishia kususia mwili wa ndugu yao

FAMILIA ya marehemu Elinema Massawe imesema wataususa mwili wa marehemu ndugu yao katika Kituo cha Polisi Mbezi kwa Yusufu pindi polisi hao watakapolazimisha kazi ya upasuaji kufanywa na  Daktari wa...

 

11 years ago

Michuzi

MTANZANIA AFARIKI MAREKANI, NDUGU WA MAREHEMU WATAKIWA KUJITOKEZA

Habari kutoka Madison Wisconsin nchini Marekani zinasema kuwa mtanzania, Michael Agustine Lukindo (pichani), amefariki Dunia na hakuna taarifa zozote kuhusiana na ndugu zake. Lukindo ambaye ni mwenyeji wa Mkoa wa Tanga ameacha mke na watoto wanne. Kwa mujibu wa rafiki wa marehemu, Oliver Temba  juhudi za kuwapata ndugu zake hazikufanikiwa. Marehemu Michael Lukindo amefariki dunia mjini Madison Wisconsin-USA, kutokana na hali hiyo familia ya marehemu imewaomba ndugu wea marehemu kujitokeza...

 

10 years ago

CloudsFM

MWILI WA MAREHEMU WAZIKWA NA KUKU TUMBONI

KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, mwili wa Benadetha Steven (35), aliyefariki dunia juzi umefanyiwa matambiko ya kimila baada ya kupasuliwa na wembe ukiwa kaburini na kuingiziwa kuku ndani ya tumbo lake ikiwa ni ishara ya kuondoa mkosi. Tukio hilo lilitokea juzi katika Mtaa wa Mapinduzi wakati waombolezaji wakiwa hatua ya mwisho ya kumzika marehemu.
Lakini ghafla alijitokeza ndugu wa marehemu mwanamke kuwazuia waombolezaji, huku mwenyewe akiingia kaburini na kufungua sanduku na kuanza...

 

11 years ago

Mwananchi

Kifo cha meneja wa Ewura utata mtupu

>Wakati kukiwa na utata wa kifo cha Meneja wa Biashara ya Petroli wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (Ewura), imebainika kuwa tofauti ya takwimu kati ya mamlaka hiyo na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), iliyotolewa kwenye Kamati ya Bunge ya Bajeti ni Sh25 bilioni.

 

10 years ago

BBCSwahili

Utata wajitokeza kifo cha Meshack Yebei

Hali tata imezidi kujitokeza juu ya kifo cha mtu anayetajwa kuwa shahidi katika kesi inayomkabili Naibu Rais wa Kenya William Ruto

 

10 years ago

Tanzania Daima

Utata maelezo kifo cha mshtakiwa wa ugaidi

WAKATI Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha ikielezwa kuwa taratibu za mazishi ya mtuhumiwa wa pili katika kesi ya ugaidi ya tukio la mlipuko wa bomu katika Baa ya Arusha Night...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani