Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MWILI WA MAREHEMU WAZIKWA NA KUKU TUMBONI

KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, mwili wa Benadetha Steven (35), aliyefariki dunia juzi umefanyiwa matambiko ya kimila baada ya kupasuliwa na wembe ukiwa kaburini na kuingiziwa kuku ndani ya tumbo lake ikiwa ni ishara ya kuondoa mkosi. Tukio hilo lilitokea juzi katika Mtaa wa Mapinduzi wakati waombolezaji wakiwa hatua ya mwisho ya kumzika marehemu.
Lakini ghafla alijitokeza ndugu wa marehemu mwanamke kuwazuia waombolezaji, huku mwenyewe akiingia kaburini na kufungua sanduku na kuanza...

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

MWILI WA BABA MZAZI WA GEORGE SIMBACHAWENE , MAREHEMU BONIFACE SIMBACHAWENE WAZIKWA KIJIJINI PWAGA, JIMBO LA KIBAKWE WILAYANI MPWAPWA


Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene na Mkewe Mariana Simbachawene, wakiweka picha ya Baba Mzazi wa waziri huyo Marehemu Boniface Simbachawene wakati wa ibada ya mazishi yaliyofanyika katika Kijiji cha Pwaga kilichopo Jimbo la Kibakwe , wilayani Mpwapwa mkoani Dodoma.

Spika wa Bunge la Jamhuri la Muungano wa Tanzania, Job Ndugai akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lililohifadhi mwili wa Baba Mzazi wa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George...

 

10 years ago

Mtanzania

Kaburi la aliyezikwa na kuku tumboni lafukuliwa

Pg 2Na Kadama Malunde, Shinyanga
SIKU chache baada ya Benadetha Steven (35) aliyefariki dunia na kuzikwa na kifaranga cha kuku tumboni kwa madai ya kuondoa mikosi katika familia, kaburi lake limefukuliwa na watu wasiojulikana.
Benadetha (35) aliyekuwa mkazi wa Mtaa wa Mapinduzi, Kata ya Ndala, Manispaa ya Shinyanga mkoani Shinyanga, alifariki Januari 1 mwaka huu katika Hospitali ya Mkoa wa Shinyanga alikokuwa amelazwa akitibiwa uvimbe tumboni na kuzikwa katika makaburi ya Masekelo.
Mazishi yake...

 

10 years ago

Mwananchi

Mwili wa mwanafunzi aliyechapwa wazikwa

Mwili wa mwanafunzi wa kidato cha pili katika Shule ya Sekondari Matui wilayani Kiteto Mkoa wa Manyara, Noel Bichima aliyefariki dunia kwa madai ya kuchapwa viboko na mwalimu wake, umezikwa jana kwenye Kijiji cha Matui.

 

10 years ago

GPL

MWILI WA AISHA MADINDA WAZIKWA MAKABURI YA KIBADA, KIGAMBONI JIJINI DAR

Maziko ya mwili wa marehemu Aisha Madinda yakifanyika katika makaburi ya Kibada, Kigamboni jioni hii. Mwili wa Aisha Madinda ukishushwa kaburini.…

 

9 years ago

Vijimambo

MWILI WA MAREHEMU DK KIGODA WAPOKELEWA JIJINI DAR

 Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akizungumza na vyombo vya habari jinsi alivyomfahamu aliyekuwa waziri wa Viwanda na Biashara, marehemu Dk Abdallah Kigoda wakati wa mapokezi ya mwili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Dar es Salaam jioni hii, ukitokea India ambako alipatwa na mauti. Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Waziri wa Viwanda na Biashara, na Mgombea ubunge Jimbo la Handeni kupitia CCM, marahemu Dk Abdallah Kigoda, ukihamishiwa kwenye gari lingine wakati wa...

 

11 years ago

GPL

MWILI WA MAREHEMU AMINA NGALUMA WAWASILI DAR

Mwili  wa mwanamuziki Amina Ngaluma ukipokelewa Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere ukitokea Thailand alipofia. Jeneza lenye mwili wa  Amina Ngaluma likiwekwa kwenye gari tayari kupelekwa kwa mumewe Kitunda.…

 

10 years ago

GPL

MWILI WA MAREHEMU WA AJALI YA MUSOMA WALETA KIZAAZAA

Wananchi mjini Musoma wakiwa eneo la makaburi ya Musima Bus kushuhudia tukio hilo. LEneo la makaburi ya Musima Bus walipozikwa baadhi ya marehemu wa ajali ya mabasi ya Mwanza Coach na J4 Express…

 

9 years ago

StarTV

Rais Kikwete aongoza waombolezaji kuuga mwili wa marehemu

Rais Jakaya Kikwete amewaongoza waombolezaji waliojitokeza kuuaga mwili wa aliyekuwa mwenyekiti wa chama cha Democratic, mchingaji Christopher Mtikila katika viwanja vya karimjee jijini Dar es salaam.

Mchungaji Mtikila alifariki dunia October nne katika ajali ya gari iliyotokea eneo la Msolwa Chalinze alipokuwa akitokea Iringa kwenye mikutano ya kampeni ya wabunge na udiwani kupitia chama chake.

Baada ya viongozi mbalimbali wa serikali, dini na vyama vya siasa kutoa pole kwa wafiwa Makamu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani