Kaburi la aliyezikwa na kuku tumboni lafukuliwa
Na Kadama Malunde, Shinyanga
SIKU chache baada ya Benadetha Steven (35) aliyefariki dunia na kuzikwa na kifaranga cha kuku tumboni kwa madai ya kuondoa mikosi katika familia, kaburi lake limefukuliwa na watu wasiojulikana.
Benadetha (35) aliyekuwa mkazi wa Mtaa wa Mapinduzi, Kata ya Ndala, Manispaa ya Shinyanga mkoani Shinyanga, alifariki Januari 1 mwaka huu katika Hospitali ya Mkoa wa Shinyanga alikokuwa amelazwa akitibiwa uvimbe tumboni na kuzikwa katika makaburi ya Masekelo.
Mazishi yake...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
CloudsFM14 Jan
KABURI LA ALIYEZIKWA NA KUKU LAFUKULIWA
Mkuu wa Upelelezi wa Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga, Mussa Taibu amethibitisha kuwapo kwa tukio hilo, huku akisema tukio hilo halivumiliki na kuwataka wananchi kushirikiana na Jeshi la Polisi kufanya uchunguzi wa wahusika wa tukio hilo.
Taarifa za kufukuliwa kwa kaburi hilo...
10 years ago
Mtanzania25 Mar
Kaburi la albino lafukuliwa kagera
Na Renatha Kipaka, Kagera
WATU wawili wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Kagera kwa kosa la kukutwa na mifupa mitatu pamoja na nywele za mtu mwenye ulemavu wa ngozi (albino) aliyefariki mwaka 2006 na kaburi lake kufukuliwa mwaka 2008.
Viungo hivyo vinadaiwa kuwa ni vya marehemu Zeulia Jestus (24), aliyekuwa mkazi wa Kijiji cha Rushwa, Kata ya Mushabago, Wilaya ya Muleba mkoani Kagera ambapo ilifahamika kuwa alifariki mwaka 2006 muda mfupi baada ya kujifungua katika zahanati ya...
11 years ago
Mwananchi17 Jan
Kaburi lafukuliwa, maiti aachwa mtupu
10 years ago
CloudsFM05 Jan
MWILI WA MAREHEMU WAZIKWA NA KUKU TUMBONI
Lakini ghafla alijitokeza ndugu wa marehemu mwanamke kuwazuia waombolezaji, huku mwenyewe akiingia kaburini na kufungua sanduku na kuanza...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Xl3n4nptF*r79W4rvRC-SAwqDr9ByCakqGoyAsjx9EqE6BlO2InxAXSF*p959ULLzdFIynaD8XQfpNiww8OOT8qo8LFVMpF7/witness.jpg?width=650)
BINTI ALIYEZIKWA AIBUKIA KWAO
11 years ago
Habarileo18 May
Daktari asahau kitambaa tumboni
MKAZI wa wilaya ya Urambo mkoani Tabora, Mwamini Adamu ametolewa mfuko wa kizazi na kukatwa sehemu ya utumbo baada ya mganga wa idara ya upasuaji katika wilaya hiyo kusahau kitambaa tumboni kwa mwanamama huyo wakati akijifungua.
11 years ago
Tanzania Daima01 Mar
Msongo humwathiri mtoto tumboni
WIKI iliyopita tuliona jinsi ambavyo msongo wa mawazo unavyoweza kuathiri utungaji wa mimba. Kwa kuwa msongo wa mawazo una athari zaidi ya hiyo, nimeona ni vema kwa wiki hii, kabla...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/f*E8U3rGFXoUZEH1XJhooTgwNIGMKBPpGYG6xAMvmrw93I1Nk-eRLI6vI1lZyTpOg*PMaKp3QcdMSt0waxXnrEGib*etZcnU/FRONTAMANI1.jpg?width=750)
HOFU MTOTO WA ZARI KUFIA TUMBONI
11 years ago
Tanzania Daima26 Dec
Prolife yahimiza uhai wa mtoto tumboni
SHIRIKA la Kutetea Uhai wa Binadamu la Prolife limewataka Watanzania kuthamini uhai wa mtoto toka mimba inapotungwa ili kufuatana na misingi ya imani. Akizungumza baada ya ibada ya Krismasi, jijini...