KABURI LA ALIYEZIKWA NA KUKU LAFUKULIWA
Mkuu wa Upelelezi wa Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga, Mussa Taibu amethibitisha kuwapo kwa tukio hilo, huku akisema tukio hilo halivumiliki na kuwataka wananchi kushirikiana na Jeshi la Polisi kufanya uchunguzi wa wahusika wa tukio hilo.
Taarifa za kufukuliwa kwa kaburi hilo...
CloudsFM
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania14 Jan
Kaburi la aliyezikwa na kuku tumboni lafukuliwa
Na Kadama Malunde, Shinyanga
SIKU chache baada ya Benadetha Steven (35) aliyefariki dunia na kuzikwa na kifaranga cha kuku tumboni kwa madai ya kuondoa mikosi katika familia, kaburi lake limefukuliwa na watu wasiojulikana.
Benadetha (35) aliyekuwa mkazi wa Mtaa wa Mapinduzi, Kata ya Ndala, Manispaa ya Shinyanga mkoani Shinyanga, alifariki Januari 1 mwaka huu katika Hospitali ya Mkoa wa Shinyanga alikokuwa amelazwa akitibiwa uvimbe tumboni na kuzikwa katika makaburi ya Masekelo.
Mazishi yake...
10 years ago
Mtanzania25 Mar
Kaburi la albino lafukuliwa kagera
Na Renatha Kipaka, Kagera
WATU wawili wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Kagera kwa kosa la kukutwa na mifupa mitatu pamoja na nywele za mtu mwenye ulemavu wa ngozi (albino) aliyefariki mwaka 2006 na kaburi lake kufukuliwa mwaka 2008.
Viungo hivyo vinadaiwa kuwa ni vya marehemu Zeulia Jestus (24), aliyekuwa mkazi wa Kijiji cha Rushwa, Kata ya Mushabago, Wilaya ya Muleba mkoani Kagera ambapo ilifahamika kuwa alifariki mwaka 2006 muda mfupi baada ya kujifungua katika zahanati ya...
11 years ago
Mwananchi17 Jan
Kaburi lafukuliwa, maiti aachwa mtupu
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Xl3n4nptF*r79W4rvRC-SAwqDr9ByCakqGoyAsjx9EqE6BlO2InxAXSF*p959ULLzdFIynaD8XQfpNiww8OOT8qo8LFVMpF7/witness.jpg?width=650)
BINTI ALIYEZIKWA AIBUKIA KWAO
11 years ago
Dewji Blog14 Apr
Mazishi ya mwandishi wa habari “Thomas Lipuka Komba”aliyezikwa kijijini kwao Mkili wilayani Nyasa
Baadhi ya Waandishi wa habari wakiwa mbele ya sanduku Marehemu Lipuka Komba.
Baadhi ya waandishi wa habari wa Mkoa wa Ruvuma wakishusha sanduku kaburini.
Katibu mtendaji wa Ruvuma Press akichukuwa matukio.
Mjane wa marehemu Christina Haule akiweka shada la maua.
Mwandishi wa habari Thomas Lipuka Komba amezikwa kijijini kwake Mkili wilayani Nyasa Juzi.
Marehemu alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa Moyo kwa muda mrefu hali iliyosababisha kifo cha ghafla.
Marehemu Thomas Lipuka Komba ni...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-XKUMdDpDbFM/VapaAbDN64I/AAAAAAAHqWQ/kTJCn8qanxI/s72-c/b5.jpg)
Mama Salma Kikwete ajiunga na waombolezaji kwenye msiba wa mwanamuziki Ramadhani Masanja Banza Stone aliyezikwa jijini Dar es salaam
![](http://1.bp.blogspot.com/-XKUMdDpDbFM/VapaAbDN64I/AAAAAAAHqWQ/kTJCn8qanxI/s640/b5.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-WWwDQ6g0heM/VapaCIjGUbI/AAAAAAAHqWc/KxmNknAURCI/s640/b6.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-5K_DpjCSaNI/VapaD8mAVfI/AAAAAAAHqWo/435Td19g5qg/s640/b8.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-tLMe1DiHoHA/VapZloM_vCI/AAAAAAAHqVI/m856FA-Uo9I/s72-c/b1.jpg)
Mama Salma Kikwete ajiunga na waombolezaji kwenye msiba wa mwanamuziki Ramadhani Masanja Banza Stone aliyezikwa leo jijini Dar es salaam
![](http://1.bp.blogspot.com/-tLMe1DiHoHA/VapZloM_vCI/AAAAAAAHqVI/m856FA-Uo9I/s640/b1.jpg)
10 years ago
GPL![](http://4.bp.blogspot.com/-ND0izCP6zzw/VapZ4Im8nxI/AAAAAAAHqV4/erlbWAEU3GY/s640/b2.jpg)
MAMA SALMA KIKWETE AJIUNGA NA WAOMBOLEZAJI KWENYE MSIBA WA MWANAMUZIKI RAMADHANI MASANJA BANZA STONE ALIYEZIKWA JANA JIJINI DAR ES SALAAM