Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kaburi la albino lafukuliwa kagera

Na Renatha Kipaka, Kagera

WATU wawili wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Kagera kwa kosa la kukutwa na mifupa mitatu pamoja na nywele za mtu mwenye ulemavu wa ngozi (albino) aliyefariki mwaka 2006 na kaburi lake kufukuliwa mwaka 2008.
Viungo hivyo vinadaiwa kuwa ni vya marehemu Zeulia Jestus (24), aliyekuwa mkazi wa Kijiji cha Rushwa, Kata ya Mushabago, Wilaya ya Muleba mkoani Kagera ambapo ilifahamika kuwa alifariki mwaka 2006 muda mfupi baada ya kujifungua katika zahanati ya...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

StarTV

Ufukuaji kaburi la Albino, Polisi Kagera yakamata watuhumiwa wawili

Na Mariam Emily,

Bukoba Kagera.

 

 

 

Polisi mkoani Kagera inawashikilia watu wawili kwa tuhuma za kufukua kaburi la mlemavu wa ngozi Baltazary John aliyefariki dunia mwaka 1999 katika kijiji cha Kandegesho wilayani Karagwe mkoani humo.

 

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera Kamishna Msaidizi wa Polisi Henry Mwaibambe amethibitisha kukamatwa kwa watuhumiwa hao ambao walikuwa katika harakati za kutafuta wateja kwa ajili ya kuuza viungo vya marehemu huyo.

 

Baadhi ya wananchi wamelaani kitendo cha...

 

10 years ago

CloudsFM

KABURI LA ALIYEZIKWA NA KUKU LAFUKULIWA

KABURI la Bernadetha Steven (35) aliyefariki na kudaiwa kuzikwa na kifaranga cha kuku tumboni wiki iliyopita katika mtaa wa Masekelo katika kata ya Masekelo, Manispaa ya Shinyanga, limefukuliwa na watu wasiojulikana.
Mkuu wa Upelelezi wa Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga, Mussa Taibu amethibitisha kuwapo kwa tukio hilo, huku akisema tukio hilo halivumiliki na kuwataka wananchi kushirikiana na Jeshi la Polisi kufanya uchunguzi wa wahusika wa tukio hilo.

Taarifa za kufukuliwa kwa kaburi hilo...

 

11 years ago

Mwananchi

Kaburi lafukuliwa, maiti aachwa mtupu

Wakazi wa Kijiji cha Ilagala mkoani hapa,wamepatwa na bumbuwazi baada ya kukuta kaburi limefukuliwa na maiti ikiwa tupu bila sanda.

 

10 years ago

Mtanzania

Kaburi la aliyezikwa na kuku tumboni lafukuliwa

Pg 2Na Kadama Malunde, Shinyanga
SIKU chache baada ya Benadetha Steven (35) aliyefariki dunia na kuzikwa na kifaranga cha kuku tumboni kwa madai ya kuondoa mikosi katika familia, kaburi lake limefukuliwa na watu wasiojulikana.
Benadetha (35) aliyekuwa mkazi wa Mtaa wa Mapinduzi, Kata ya Ndala, Manispaa ya Shinyanga mkoani Shinyanga, alifariki Januari 1 mwaka huu katika Hospitali ya Mkoa wa Shinyanga alikokuwa amelazwa akitibiwa uvimbe tumboni na kuzikwa katika makaburi ya Masekelo.
Mazishi yake...

 

10 years ago

Daily News

Kagera RC warns over albino killings


Kagera RC warns over albino killings
Daily News
KAGERA Regional Commisssioner, Mr John Mongella has called upon residents and leaders in the region to cooperate and end the senseless killing of people living with albinism. He warned that if person with albinism is killed, leaders and the entire ...

 

10 years ago

Mwananchi

MAUAJI ALBINO: Albino: Adhabu ya kifo sawa

>Mbunge wa Lindi Mjini, Salum Barwany amemwomba Rais Jakaya Kikwete kusaini hukumu ya kunyongwa hadi kufa inayowakabili watu wanne waliopatikana na hatia ya kumuua mtu mwenye ulemavu wa ngozi.

 

10 years ago

TheCitizen

NYERERE & KAGERA WAR-4: Kagera War: Lessons and challenges

>Besides recapturing the Kagera Salient and driving Idi Amin out of Uganda, Tanzania’s second major success in the eight-month war lay in the organisation of its fighting force.

 

10 years ago

GPL

JB AFUNGUKIA KABURI LA KUAMBIANA

Staa wa filamu Bongo, Jacob Steven ‘JB’. GLADNESS MALLYA BAADA ya wadau mbalimbali kuhoji kwa nini staa wa filamu Bongo, Jacob Steven ‘JB’ ameliacha kaburi la aliyekuwa mwongozaji wa filamu katika kampuni yake, marehemu Adam Kuambiana mwenyewe amefunguka kwamba hali ya kifedha ni ngumu kwa sasa. Akipiga stori na Centre Spread, JB alisema anatamani kulikarabati kaburi la Kuambiana ambalo limetoboka na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani