Andiko la Ray Kuhusu Picha Chafu za Msichana Kwenye ‘Account Fake’ FB
TANGAZO. Wadau katika watu naowaeshimu duniani ni wanawake maaana najua halisi ya mwanamke ni mama zetu wametuweka tumboni miezi 9 kwenye shida na rahaa.
Sasa wacha nirudi kwenye point yangu ya msingi kuna mtu kafungua account fake kwenye facebook nakujiita vicent kigosi kwanza kabisa kulikuwa na utapeli wa yeye mwenye account hiyo fake kwa kusema eti kuwa mimi nahitaji wasanii kwa hiyo alikuwa anawalipisha watu pesa ilo nililikanusha na kuwaambia watanzania kama ni account fake wala sio...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
Press Alert: Fake Twaweza Facebook Account

10 years ago
CloudsFM03 Dec
5 years ago
The New York Times22 Feb
The Price of Wells Fargo’s Fake Account Scandal Grows by $3 Billion
10 years ago
Bongo Movies07 May
Andiko Hili la Wema Kuhusu Sheria ya Makosa ya Mtandao 2015, Laungwa Mkono na Wengi
Naomba mimi kama Wema Sepetu, nitoe tamko langu rasmi kuhusu hii Sheria mpya iliyopitishwa bungeni. Naongelea Sheria ya cybercrime au cyberbulling. Ukweli ni Kwamba watanzania tunatumia vibaya mitandao ya kijamii. Matusi yamekuwa ni mengi na sometimes hawavumiliki. Kwa kweli kunahitahija Kuwa na laws in place za kupunguza unyanyasaji kupititia mitandao ya kijamii. That said, yes nai support hii bill ya cyber crime to an extend.
Kama jinsi ambavyo watanzania tunatumia vibaya mitandao kwa...
10 years ago
BBCSwahili13 Nov
Picha chafu zamfikisha rumande Uganda
11 years ago
GPL
PICHA CHAFU ZA WEMA, DIAMOND ZATINGA BUNGENI
10 years ago
Bongo Movies26 Feb
Mziwanda Aomba Radhi kwa Picha ya Chafu
Nuhu Mziwanda ambae ni mchumba wa mwanamuziki na muigizaji Shilole (Shishi baby) ameomba radhi jana kupitia ukurasa wake wa Instagram baada ya kupost picha ambayo inaonyesha maungo ya ndani ya mpenzi wake huyo walipokuwa wakioga.
Picha hiyo ilimuonyesha Shilole akiwa kifua wazi. Kwa mujibu wa Nuhu Mziwanda amesema kuwa alipost picha hiyo ili apate Kiki kwa ajili ya video yake mpya Zimataa ambayo bado haijatoka mpaka sasa.
Baada ya juzi usiku Nuhu Mziwanda kupost picha hiyo kwenye ukurasa...
9 years ago
Bongo515 Dec
Picha: Utashangaa msichana huyu anavyoweza kulikunja umbo lake

Unaweza kudhani mwili wake hauna mifupa lakini Zlata ni binadamu kama sisi na anayofanya yatakuduwaza.
Zlata ambaye ni raia wa Urusi ametoa kalenda ya mwaka 2016 yenye picha mbalimbali zinazomuonesha akiufanya mwili wake atakavyo.
Tazama picha zaidi.