Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Andy Murray asonga mbele French Open

Muingereza Andy Murray amezidi kusonga mbele katika mashindano ya French Open baada ya kutinga mzunguko wa tatu kwenye mashindano hayo pale alipomshinda Joao Sousa raia wa Ureno

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Murray asonga mbele Australian Open

Andy Murray yumo mbioni kushinda mashindano ya Tennis ya Australian Open baada ya kumbwaga Feliciano Lopez katika raundi ya 3

 

11 years ago

GPL

ANDY MURRAY ATINGA RAUNDI YA 3 FRENCH OPEN

Andy Murray ametinga raundi ya tatu kwa kumtoa Marinko Matosevic. Andy Murray akikwaana na Marinko Matosevic. Mashabiki wakishuhudia mpambano…

 

10 years ago

GPL

ANDY MURRAY AONDOLEWA US OPEN

Mserbia Novak Djokovic baada ya ushindi dhidi ya Murray. Andy Murray wakati wa mpambano huo.…

 

9 years ago

BBCSwahili

Andy Murray nje US Open

Mcheza Tenisi Andy Murray ameyaaga mashindano ya US Open baada ya kuchapwa na Kevin Anderson wa Afrika ya kusini.

 

9 years ago

BBCSwahili

Andy Murray , Novak wajipanga Us Open

Andy Murray amepangwa kucheza wa tatu nyuma ya Novak Djokovich na Rodger Federer kuelekea michuano ya US Open inayotarajiwa kuanza juma lijalo

 

10 years ago

BBCSwahili

Konta asonga mbele Watson atupwa nje

Mcheza tenesi Johanna Konta ametinga hatua ya nane bora ya michuano ya kimataifa ya tenesi ya Aegon.

 

9 years ago

BBCSwahili

Andy Murray atwaa kikombe

Nyota namba tatu kwa ubora wa mchezo wa tenesi muingereza Andy Murray ametwaa ubingwa wa michuano ya Rogers

 

10 years ago

BBCSwahili

Loic Courteau kujiunga na Andy Murray?

Kocha wa mchezo wa tenesi Loic Courteau anafanya mazungumzo ya kujiunga na timu ya Andy Murray msimu ujao.

 

10 years ago

BBCSwahili

Andy Murray ambwaga David Ferre

Mchezaji Tennis Andy Murray amembwaga David Ferrer katika mashindano ya wazi ya Vienna.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani