Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Murray asonga mbele Australian Open

Andy Murray yumo mbioni kushinda mashindano ya Tennis ya Australian Open baada ya kumbwaga Feliciano Lopez katika raundi ya 3

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Andy Murray asonga mbele French Open

Muingereza Andy Murray amezidi kusonga mbele katika mashindano ya French Open baada ya kutinga mzunguko wa tatu kwenye mashindano hayo pale alipomshinda Joao Sousa raia wa Ureno

 

10 years ago

BBCSwahili

Konta asonga mbele Watson atupwa nje

Mcheza tenesi Johanna Konta ametinga hatua ya nane bora ya michuano ya kimataifa ya tenesi ya Aegon.

 

11 years ago

GPL

WAWRINKA BINGWA AUSTRALIAN OPEN

Stanislas Wawrinka. MCHEZA Tenisi kutoka Uswisi, Stanislas Wawrinka ametwaa taji la Grand Slam, kwa kumshinda Rafael Nadal kwa seti 6-3, 6-2, 3-6, 6-3 katika mechi ya fainali ya michuano ya Australian Open hivi punde. Rafael…

 

10 years ago

BBCSwahili

Murry atinga fainali Australian Open

Mwingereza Andy Murry ameshaingia hatua ya fainali baada ya kufunga mpinzani wake Thomas Berdych katika hatua ya nusu fainali.

 

11 years ago

BBCSwahili

Jua kali lasitisha Australian Open

Viwango vya juu vya joto vimewalazimisha waandalizi wa mashindano ya tennis ya Australian Open, kusimamisha mashindano hayo.

 

9 years ago

BBCSwahili

Andy Murray nje US Open

Mcheza Tenisi Andy Murray ameyaaga mashindano ya US Open baada ya kuchapwa na Kevin Anderson wa Afrika ya kusini.

 

10 years ago

GPL

ANDY MURRAY AONDOLEWA US OPEN

Mserbia Novak Djokovic baada ya ushindi dhidi ya Murray. Andy Murray wakati wa mpambano huo.…

 

9 years ago

BBCSwahili

Andy Murray , Novak wajipanga Us Open

Andy Murray amepangwa kucheza wa tatu nyuma ya Novak Djokovich na Rodger Federer kuelekea michuano ya US Open inayotarajiwa kuanza juma lijalo

 

10 years ago

BBCSwahili

Murray atinga robo fainali Miami Open

Andy Murray amekuwa Mwingereza wa kwanza kuweka historia katika mchezo wa tenis wa mashindano ya Miami Open.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani