Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ANGALIA ALAMA HIZI, ANZA MWAKA NA FIKRA MPYA!-5

NILIANZA mada hii wiki ya kwanza ya mwaka huu mpya na leo nahitimisha katika juma la mwisho la mwezi huu. Naam! Lengo lilikuwa ni kuwafumbua macho na kutambua penzi la dhati ili tuwe na fikra mpya. Marafiki zangu, mapenzi si mateso ya moyo. Hatupaswi kuwa kwenye uhusiano wa kimazoea tu. Lazima tuangalie, tupo kwenye mstari sahihi? Baada ya utambuzi huo, sasa tunaweza kuamua kuendelea au lah! Wiki jana nilimalizia pale nilipoanza...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

ANGALIA ALAMA HIZI, ANZA MWAKA NA FIKRA MPYA!

KUNA wakati unafikiria kufanya kitu fulani muhimu kwa ajili ya yule uliyemteua kuwa mwenzi wa maisha yako? Je, huwa unafikiria kama upo katika uhusiano sahihi au unakwenda tu mradi siku zinakwenda?
Wapo watu ambao wako tu kwenye uhusiano kabla ya uchumba lakini matukio kibao yametokea. Wameshafumaniana, wameshapigana, wameshatoleana maneno machafu, wameshadhalilishana nk. Je, ni sahihi kuendelea katika uhusiano huo? Jibu ni...

 

11 years ago

GPL

ANGALIA ALAMA HIZI, ANZA MWAKA NA FIKRA MPYA!-3

KAMA hutajitambua na kujithamini, hatatokea mtu wa kukujulisha kuwa wewe ni mwenye thamani. Maisha yako ni muhimu, afya yako pia ni muhimu sana. Kila kitu chako kina umuhimu wake, lakini usitegemee mtu akueleze, anza wewe! Marafiki zangu tunaangalia namna ya kugundua penzi la kweli na kusimamia katika uhusiano ulio sahihi. Nilieleza katika matoleo yaliyopita kuwa, ni vizuri kuwa kwenye uhusiano wenye malengo. Kwamba kudumu...

 

11 years ago

GPL

ANGALIA ALAMA HIZI, ANZA MWAKA NA FIKRA MPYA!-2

KUDUMU katika uhusiano kwa muda mrefu bila ndoa si kigezo kwamba mwenzi wako anakupenda. Tulia kwa muda, anza mwaka ukiwa na fikra mpya. Hebu jiulize, uko kwenye uhusiano na mwenzi wako kwa muda gani sasa? Kuna dalili za kuingia kwenye ndoa? Marafiki, wanaotakiwa kujivunia kudumu kwenye uhusiano ni wanandoa. Ni halali kabisa kwa mtu aliye kwenye ndoa kutamba kwamba anafurahi kwamba yupo na mwenzake muda mrefu kwa sababu tayari...

 

11 years ago

GPL

ANZA MWAKA MPYA NA KANUNI HIZI ZA MAFANIKIO

HERI ya mwaka mpya ndugu msomaji! Ni matumaini yangu kuwa umevuka salama na kuingia Mwaka Mpya 2014 ukiwa na ari kubwa ya mafanikio hususan kupitia ujasiriamali.
Nimeamua kuuanza mwaka huu kwa mada hii ambayo tulishawahi kuijadili siku za nyuma lakini siyo vibaya kama tukiijadili tena kwa kina. Mada yetu inahusu kanuni za mafanikio kwa mjasiriamali, ambapo tutachambua kwa kina kanuni  zitakazokuongoza unapoamua kujitosa...

 

10 years ago

Mwananchi

Anza mwaka kwa mwonekano mpya

Mwaka unapomalizika, wengi huwa na matarajio makubwa hasa kubadilisha mfumo wa maisha kuendana na mabadiliko ya mwaka, lakini, pamoja na hayo, wapo wanaoona kuwa hakuna haja ya kufanya hivyo wakiamini, wanachotaka kufanya hakihitaji mabadiliko.

 

10 years ago

Mwananchi

Ni mwaka wa tathmini na fikra mpya kwenye elimu yetu

Wiki hii inahitimisha mwaka 2014 na kuanza rasmi Mwaka Mpya 2015. Ni jambo la kumshukuru Mungu kwa neema zake katika mambo yote aliyotujalia mwaka mzima uliopita.

 

9 years ago

MillardAyo

Anza weekend yako ya mwaka mpya kwa kutazama mechi 21 kali za kuvutia, kwa Tanzania, Uingereza na Hispania

Ligi Kuu soka Tanzania bara imesimama kwa muda kupisha michuano ya Kombe la Mapinduzi inayoanza January 3 2016 Zanzibar, lakini hiyo haimaanishi mtu wangu hakuna mechi kali za soka weekend ya January 2 na January 3. Najua bado unasherehekea mwaka mpya lakini, hizi ndio mechi 21 sio za kukosa siku ya Jumamosi ya January 2 […]

The post Anza weekend yako ya mwaka mpya kwa kutazama mechi 21 kali za kuvutia, kwa Tanzania, Uingereza na Hispania appeared first on TZA_MillardAyo.

 

9 years ago

MillardAyo

Anza weekend yako ya mwaka mpya kwa mechi 21 kali za kuvutia, kwa Tanzania, Uingereza na Hispania Jan 2 na 3…

Ligi Kuu soka Tanzania bara imesimama kwa muda kupisha michuano ya Kombe la Mapinduzi inayoanza January 3 2016 Zanzibar, lakini hiyo haimaanishi mtu wangu hakuna mechi kali za soka weekend ya January 2 na January. Najua bado unasherehekea mwaka mpya lakini, hizi ndio mechi 21 sio za kukosa siku ya Jumamosi ya January 2 na […]

The post Anza weekend yako ya mwaka mpya kwa mechi 21 kali za kuvutia, kwa Tanzania, Uingereza na Hispania Jan 2 na 3… appeared first on TZA_MillardAyo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Hizi si zama za zidumu fikra za mtu mmoja

KWA masuala ya mapenzi au imani, kila mtu huwa na haki ya kupenda akitakacho na kuamini lile analolipenda na hata kuliabudu. Ukiachilia wengi wanaoabudu Mungu, wapo wanaoabudu sanamu, watu, wanyama...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani