ANGALIA ZIARA YA RAIS JAKAYA KIKWETE CHINA
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziRAIS JAKAYA KIKWETE AFANYA ZIARA MKOANI KILIMANJARO
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
11 years ago
Michuzi.jpg)
Taswira za siku ya kwanza ya Ziara ya Rais Kikwete na mama salma kikwete nchini China
.jpg)
.jpg)
10 years ago
Michuzi
9 years ago
Dewji Blog06 Dec
Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akutana na Rais Mstaafu Jakaya Kikwete, kwenye mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika na China, Jijini Johannesburg

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Rais Mstaafu wa awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, wakati walipokutana kwenye Mkutano wa Tano wa Wakuu wa Nchi za Afrika na China, wakati wakitembelea Mabanda ya maonesho ya mkutano huo uliofanyika Jijini Johannesburg Afrika ya Kusini jana Dec 4, 2015. ambapo Dkt. Jakaya Kikwete alihudhuria mkutano huo kama Rais Mstaafu mwalikwa. Mkutano huo unamalizika leo . (Picha Zote na OMR).

Makamu...
9 years ago
Dewji Blog06 Dec
Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akutana na Rais Mstaafu Jakaya Kikwete, kwenye mkutano wa tano wa Wakuu wa Nchi za Afrika na China, Jijini Johannesburg

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Rais Mstaafu wa awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, wakati walipokutana kwenye Mkutano wa Tano wa Wakuu wa Nchi za Afrika na China, wakati wakitembelea Mabanda ya maonesho ya mkutano huo uliofanyika Jijini Johannesburg Afrika ya Kusini jana Dec 4, 2015. ambapo Dkt. Jakaya Kikwete alihudhuria mkutano huo kama Rais Mstaafu mwalikwa. Mkutano huo unamalizika leo . (Picha Zote na OMR).

Makamu...
10 years ago
Michuzi
10 years ago
Michuzi
11 years ago
Dewji Blog21 Oct
Rais Kikwete aanza ziara rasmi ya China
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo, Jumanne, Oktoba 21, 2014, anaanza ziara rasmi ya siku sita katika Jamhuri ya Watu wa China kwa mwaliko wa Rais Xi Jinping, ikiwa ni ziara yake ya pili nchini humo akiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano.
Baada ya China, Rais Kikwete atafanya ziara rasmi ya siku tatu nchini Vietnam kwa mwaliko wa Rais wa nchi hiyo.
Wakati wa ziara yake nchini...
11 years ago
Vijimambo
Rais Kikwete aanza ziara rasmi ya China leo

Watu wa China kwa mwaliko wa Rais Xi Jinping.