Rais Kikwete aanza ziara rasmi ya China leo
![](http://3.bp.blogspot.com/-miM9JbgdOUY/VEbYYuEMmTI/AAAAAAADKSQ/EYQ4M7ljgqE/s72-c/c1.jpg)
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagwa na Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange na IGP Ernest Mangu wakati akiondoka katika Uwanjawa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam usiku wakuamkia leo tayari kuanza ziara rasmi ya siku sita katika Jamhuri ya
Watu wa China kwa mwaliko wa Rais Xi Jinping.Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagwa na Mkuu wa Wilaya ya Ilala MheRaymond Mushi wakati akiondoka katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa waJulius Nyerere jijini Dar es salaam usiku wa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog21 Oct
Rais Kikwete aanza ziara rasmi ya China
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo, Jumanne, Oktoba 21, 2014, anaanza ziara rasmi ya siku sita katika Jamhuri ya Watu wa China kwa mwaliko wa Rais Xi Jinping, ikiwa ni ziara yake ya pili nchini humo akiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano.
Baada ya China, Rais Kikwete atafanya ziara rasmi ya siku tatu nchini Vietnam kwa mwaliko wa Rais wa nchi hiyo.
Wakati wa ziara yake nchini...
9 years ago
BBCSwahili05 Nov
Rais wa China aanza ziara Vietnam
11 years ago
Habarileo31 Mar
Rais Kikwete aanza ziara Uingereza
RAIS Jakaya Kikwete amewasili mjini London, Uingereza, kwa ziara rasmi ya siku tatu ya kidola, moja ya ziara nadra kufanywa na viongozi wa nchi za nje nchini Uingereza.
10 years ago
Michuzi21 Aug
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-WRVYHUFFBR8/VWx3q25832I/AAAAAAAHbIY/Bd5UBcdqyyA/s72-c/New%2BPicture.png)
Rais Kikwete aanza ziara ya nchi tatu Ulaya
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIADIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
![](http://1.bp.blogspot.com/-WRVYHUFFBR8/VWx3q25832I/AAAAAAAHbIY/Bd5UBcdqyyA/s1600/New%2BPicture.png)
Telephone: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: ikulucommpress@googlemail.comWebsite : www.ikulu.go.tz Fax: 255-22-2113425
PRESIDENT’S OFFICE, STATE HOUSE, 1 BARACK OBAMA ROAD, 11400 DAR ES SALAAM.Tanzania. TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais Kikwete aanza ziara ya nchi tatu Ulaya.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo, Jumatatu,...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-Yxt2O7PRhW8/UziEE2p-HrI/AAAAAAAFXdc/hxPqDoTwQa8/s72-c/6.jpg)
KATIBU MKUU WA CCM,KINANA AANZA ZIARA YAKE RASMI WILAYANI NKASI LEO MKOANI RUKWA
![](http://1.bp.blogspot.com/-Yxt2O7PRhW8/UziEE2p-HrI/AAAAAAAFXdc/hxPqDoTwQa8/s1600/6.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-vfSgk0pHU1M/UziELx1Aq-I/AAAAAAAFXdk/MRCzN6YNH6M/s1600/7.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-7btTCq07I30/Uzmm1NwyQjI/AAAAAAAFXjs/xoRt33nJwvI/s72-c/1.jpg)
KATIBU MKUU WA CCM,KINANA AANZA RASMI ZIARA YAKE WILAYANI NKASI MKOANI RUKWA LEO
![](http://4.bp.blogspot.com/-7btTCq07I30/Uzmm1NwyQjI/AAAAAAAFXjs/xoRt33nJwvI/s1600/1.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-J7-wTq4gZHg/UznNhzknyQI/AAAAAAAFXmA/AOX8sf0LQys/s1600/15.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-Z_1-m92vFiY/VEfvv28F9pI/AAAAAAAGsu8/EIOL0J-eCVk/s72-c/unnamed%2B(18).jpg)
Taswira za siku ya kwanza ya Ziara ya Rais Kikwete na mama salma kikwete nchini China
![](http://4.bp.blogspot.com/-Z_1-m92vFiY/VEfvv28F9pI/AAAAAAAGsu8/EIOL0J-eCVk/s1600/unnamed%2B(18).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-ETB4-wqRnzw/VEfvwxxoFaI/AAAAAAAGsvM/LbM_T6UeIBs/s1600/unnamed%2B(19).jpg)
10 years ago
Michuzi05 Nov